akikujibu unitagWacha uchumi wa kati hata hizo super power na mapesa yao bado mashirika ya ndege ni ya private. BA ni moja wapo
aliyemchoma ni nani?? sababu nini??Alichomwa visu mara 9 na alikufa siku mbili baada.
Hakuna huduma isiyo na gharama. Kinachozungumziwa hapa ni mrejesho endelevu yanayogusa wananchi kutokana na uwekezaji wa kwenye ndege hizo.Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Aisse! kweli ilitakiwa iwe ELIMU, yaani kumbe ndege zinatoa huduma?????sasa mbona mnasema shirika limeingiza faida????! kalagabaho! kama nyie ndio washauri wake ana haki ya kuogopa moshi.Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Wapi nilipokubali? Nilichokataa ni kuwa ndege za ATCL si za huduma, ila ziko kibiashara. Usiniingizie maneno mdomoni Mkuu. Soma nilichoandika kama mchango wangu wa wazi. Hayo mambo ya uwekezaji na miaka yake ni maneno yakoWewe Bw.Mselewa unaamini kabisa investment kama hiyo inaweza kuwa na payback period ya miaka 3??Kama unakubaliana na huo ujumbe basi naanza kuwa na wasi wasi na wewe.Kuna investment zinachukua miaka 15 hadi 20 nk kubreak even.Acheni siasa hapa
Kwamba kujenga lami kilomita moja ni shilingi bilioni moja???unaifahamu kweli bilioni moja wewe???sidhani kama humo kichwani kwako kuna kilichobaki cha maana.Kwa upeo wako wa mtindio wa ubongo unajiona unaakili saana kuliko rais wa nchi? Usafiri ni usafiri tu kwa nchi kubwa kama Tanzania lazima tuwe na usafiri wa anga kwa kukidhi angalau soko la ndani tu inatosha hata tusipofanya international flight. Kwa akili zako za kipimbi tutegemee barabara tu kusafiri? Usafiri wa anga lazima ukidhi vigezo vya kimataifa kwahiyo ubora na hadhi ya ndege zetu ni sawasawa na ubora na hadhi za ndege zoote za kimataifa.
Hatukununua ndege kwa kuangalia faida ya moja kwa moja bali kuboresha mazingira rafiki ya uwekezaji, utalii n.k. Ulishawahi kujiuliza gharama za kujenga mtandao wa barabara za lami nchini gharama yake kiasi gani? Gharama ya kilometa moja ya barabara ni bilioni moja kwa wastani zidisha mara kilometers za Barbara zoote utapata matrilion ya hela mbona hamhoji hizo gharama ambazo in zaidi mara ngapi ya gharama za kununua ndege? Mleta uzi na Tundu Lissu ni vibaraka wa Mabeberu! Kwa hayo ndo yanakutosha kulingana na akili zako ndogo maana nikichambua zaidi hutanielewa!
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Kwanini wananchi wengi wanafurahi ndege tofauti na wanaokosoa.
Mgonjwa huyu lakini atulii kabisa kutwa yupo mitandaoni
mimi ni cdm kwa hili tuwe wakweli nimepitia comment nyingi kwenye post ya tundu lisu nimeona wanaompinga niwengi vyombo vya habari vimechangia sana vimekuwa vinatoa tu habari za ccm na rais waoWapi wananchi wanafurahia acha uongo ww
Kwanini wananchi wengi wanafurahi ndege tofauti na wanaokosoa.
Point ya msingi hapa ni ipiWapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Hata vile vinavyofanywa vizuri?Kukosoa ndiyo kazi ya upinzani huwezi kuwapangia vya kukosoa lazima wakosoe kuanzia dogo mpaka kubwa
Kuwa mfuasi wa hawa watu lazima ujitoe akili kama wafuasi waoNyie so ndo mlikua mnashangaa nchi kubwa Kama tz kuwa na ndege moja wakati Ka Rwanda Kana ndege za kutosha..sasa HV mmebadili his hewani