Mpambe ula ofisini kwa boss,Unajua mtu akizidisha upambe hadi inakuwa kero kwani kuna vitu vingine hata havijui, ila ni upambe tu!!
Mpambe ula ofisini kwa boss,Unajua mtu akizidisha upambe hadi inakuwa kero kwani kuna vitu vingine hata havijui, ila ni upambe tu!!
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Ni kweli lkn ni wangapi wenye kumudu kupanda ndege, mbona bus zinajaa badoTundu Lissu kachemka sana Sisi wakazi wa Bukoba ndege ni muhimu zaidi anataka tutumie mabasi wakati tuko mbali sana huduma kuu za serikali.
there you areKupanga ni kuchagua ndege ni muhimu pia,lkn tungeanza na vigusavo wengi mfano miradi igusayo watu ili kukuza ajira na kuongeza idadi ya walipa kodi,kisha ziada ndo tukimbilie kwenye miradi hii mikubwa bila kuwasomesha watu namba kwa kuathiri shughuli zao. Hicho kilichokusanywa ni kidogo sana kulinganisha na thamani za ndege hizo kama tungewekeza kwenye miradi mingine ya kukuza ajira za vijana nchini.
CAG amewahi kagua ATCL ikiwa na ndege mbili, concerns yake ilikuwa ni madeni makubwa yaliyokuwa yanaikabili ATCL, pili uzembe na pesa za operations kupotea bila kuwa vibali, sio ununuzi wa ndege.
Kumbukeni watu wanasema serikali iandae mazingira ya wawekezaji waje wawekeze kwenye shirala la ndege, hayo mazingira yanatakiwa yaandaliwe kwa miaka mingapi? kama toka mkapa hatuna shirika, kaja kikwete hatuna shirika, hiyo ni Zaidi ya miaka 20, wawekeaji mbona hawaji au kuliona hilo shirika la ndege? kwani miaka ya nyuma ATCL ilikuwa haina wawekezaji ambao wanaijua hii biashara kutoka SA mbona tulizidi kupata hasara? kuna vitu vingine serikali lazima ifanye kwanza ndipo wawekezaji waje, mfano ATCL hadi 2022 itakuwa na ndege Zaidi 11, hapo hata mkiongea na wawekezaji wanaweza kukusikiliza maana wanajua wakuja kuwekeza kwenye kitu cha kuleta faida, au wanaweza serikali wakatoa share, watu wakanunua likuwa shirika linaendeshwa makampuni, watu + serikali.
Hii nchi nimegundua ina wananchi wa ajabu sana, 20+ yrs bila shirika la ndege tulibenefit na nini? Maisha yetu yalikuwa bora pasipo shirika la ndege? hatua zipi tulipiga kama taifa pasipo shirika la ndege? uwepo wa shirika hili au ununuzi wa ndege hizi kumetufanya hatua tulizopiga miaka 20 iliyopita kurudi nyuma? Jibu ni no, kuna nchi yeyote duniani itaendelea bila serikali ku invest? hizo ajira kwa wananchi wake mtazipata wapi, uchumi utakuwa vipi, shida kuwa kila mtanzania kwa sasa ni politicians, hebu tuwasikilizeni watalaam wa uchumi wanasema nini kuhusu ununuzi wa ndege hizi, from there we discuss positively, hii ni nchi yetu sote.
akikujibu unitagHapo kwenye huo ukurasa walisema watanunua ndege kwa cash bila hata bunge kushirikishwa?
Kuwa raisi au kiongozi hakumaanishi ana akili kuliko wote,ni fursa tu kapewa kama anavowezapewa yeyeto. Ndege ugusa daraja la kati na juu lkn barabara ugusa madaraja yote.Ndege ni muhimu lkn barabara ni muhimu zaidi ya ndege.MTU akiwa na mawazo tofauti si kwamba anatumika na mabeberu atumike ili iweje,hali miradi na bajeti zetu bila wao atusongi,Yale ni maneno ya wanasiasa majukwaani lkn hata wao wanajua kutwa wanawaponda mabeberu hali watoto wao usoma kwa mabeberu wakiugua wanakimbilia kwa mabeberu.Kwa upeo wako wa mtindio wa ubongo unajiona unaakili saana kuliko rais wa nchi? Usafiri ni usafiri tu kwa nchi kubwa kama Tanzania lazima tuwe na usafiri wa anga kwa kukidhi angalau soko la ndani tu inatosha hata tusipofanya international flight. Kwa akili zako za kipimbi tutegemee barabara tu kusafiri? Usafiri wa anga lazima ukidhi vigezo vya kimataifa kwahiyo ubora na hadhi ya ndege zetu ni sawasawa na ubora na hadhi za ndege zoote za kimataifa.
Hatukununua ndege kwa kuangalia faida ya moja kwa moja bali kuboresha mazingira rafiki ya uwekezaji, utalii n.k. Ulishawahi kujiuliza gharama za kujenga mtandao wa barabara za lami nchini gharama yake kiasi gani? Gharama ya kilometa moja ya barabara ni bilioni moja kwa wastani zidisha mara kilometers za Barbara zoote utapata matrilion ya hela mbona hamhoji hizo gharama ambazo in zaidi mara ngapi ya gharama za kununua ndege? Mleta uzi na Tundu Lissu ni vibaraka wa Mabeberu! Kwa hayo ndo yanakutosha kulingana na akili zako ndogo maana nikichambua zaidi hutanielewa!
hapo meshadanganywa na huyu anayekula raha ughaibuni mmekurupuka kutuletea uozo ni lini mtabadilika acheni siasa za maji taka wandugu
e bwanaa hivi chanzo cha kifo chake ilikuwa nini?Sio kwamba hakuwa mfia siasa kama wewe!
e bwanaa hivi chanzo cha kifo chake ilikuwa nini?
Ndege zinatoa huduma kwa watanzania wa kati na chini? Achilia mbali nauli za ndege, Watanzania wengi hawajawahi kupanda ndege na wengi tu watafariki bila kupanda ndege, wewe ndo m***i kabisa
Sidhani kama akili zake zinauwezo wa kung'amua haya.Mkuu, usilidhalilishe shirika letu la ndege. Nalo liko kibiashara, si kihuduma. Unapochangia mada kama hizi, jiulize mara mbilimbili kabla ya kuandika. Kwahiyo, kwako wewe, ndege za ATCL zinatoa huduma kama ilivyo kwa shule, zahanati na mabomba? Bure kabisa wewe!
Ndio maana hata mleta mada ameanza kwa kusema, Faida gani yaweza kupatikana kwa kuweka trillions of monies kwenye biashara ya ndege ukilinganisha na Bakhresa anavyofanya kazi yenye manufaa kwa ummawansema ni huduma tu bila faida, trillion 2 zimewekwa tu bila faida,mbaya zaidi ndege zimenunuliwa nje
Wewe unasema hivyo wakati wenzako walishaanza kuhesabu faida toka mwaka wa kwanza tu?!!! Ndio maana watu wanakuwa na wasiwasi, na data zao kwani kwenye biashara ya ndege hakuna kitu kama hicho?na biashara hiyo sio suala la kukaa angani muda mrefu ndio kutengeneza jina/faida, ni zaidi ya hapo, RWANDA AIR, ana muda gani mbona hadi leo ni pesa za wananchi tu ndio zinazoliendesha hilo shirika? Bora hata yule CEO, wa uganda air, alimwambia museveni, kwa ndege hizi unazonikabidhi faida tutaanza kuipata baada ya miaka 10!!!hapa kwetu ni siasa tu, REVENUES, NDIO INAHESABIKA GROSS PROFIT!!! MakubwaHakuna ufisadi kwenye ununuzi wa ndege, wapinzani achene kupotosha kwa kichaka cha CAG, price za ndenge hizi ziko wazi kwenye website za mashiraka hayo ingawaje inaweza kushuka kulingana na majadiliano ya pande mbili. Lissu tofauti na siasa hajawahi fanya biashara, hiki ni kipindi cha investments from 2015-2020 hautegemei faida kubwa wakati huu, objective should be rebranding, and better service provisions ili waweze kuvutia wateja wengi Zaidi na hatimaye baadae kupata profit, ROI haiwezi kuwa ndani ya miaka mitatu, hakuna biashara ya hivyo duniani kwa large scale, labda biashara ndogo ndogo za kununua karanga sh 10 unauza same day sh 20. Tuwape muda wa kutosha ATCL na management ili wafanye kazi, siasa hizi za kusema hivi kesho vile ndo tutaua shirika.
Muda si mrefu Meko ataanza kuyawekea figisu hayo makampuni ya ndege ya Kimataifa ili zibaki ndege zake tuWazo la kuimarisha usafiri wa anga halikuwa baya sana, ila nafikiri watawala wangewekeza kwenye ndege ambazo zingerahisisha usafiri wa ndani, usafiri ambao ungewezesha accessibilty kwenye maeneo yote so hata investment ya ndege isingekuwa kwenye Ma Airbus or MaBoieng ya bei mbaya. Na kama focus ni kuvutia utalii basi watalii wangekuja na hayo mandege ya Mabeberu ila wakifika hapa kwetu lazima watumie ndege zetu za size ya kati.... Ni kujidanganya kuwa ATCL itaweza kushindana na EMIRATES, QATAR AIRWAYS, FLY DUBAI, KLM, SA AIRWAYS, BRITISH AIRWAYS, SWISS AIR n.k
Sasa si waweke bei ambazo hata watu wa Nanjilinji wataweza kumudu. au kama ilivyo elimu bure au zilivyo bei ya panadolWapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Wacha uchumi wa kati hata hizo super power na mapesa yao bado mashirika ya ndege ni ya private. BA ni moja wapoKwahiyo unataka nchi iendeshwe kama kiwanda cha mtu binafsi? Nitajie Nchi moja iliyo uchumi wa kati ambayo haina shirika la ndege.
Ati hawa ndio wapinzani!
Biashara ya ndege siku hizi, ni ushirikiano na mashirika mengine, hasa makubwa, kwa kupokezana abiria, sass hapa kwetu wa nadhania kuwa na direct flights, ndio ujanja!!! Huyo KQ, route ya New York, iko wapi?? UTAYASIKIKIA TU HIKI NI KISHINDO CHA AWAMU YA TANO!!Wazo la kuimarisha usafiri wa anga halikuwa baya sana, ila nafikiri watawala wangewekeza kwenye ndege ambazo zingerahisisha usafiri wa ndani, usafiri ambao ungewezesha accessibilty kwenye maeneo yote so hata investment ya ndege isingekuwa kwenye Ma Airbus or MaBoieng ya bei mbaya. Na kama focus ni kuvutia utalii basi watalii wangekuja na hayo mandege ya Mabeberu ila wakifika hapa kwetu lazima watumie ndege zetu za size ya kati.... Ni kujidanganya kuwa ATCL itaweza kushindana na EMIRATES, QATAR AIRWAYS, FLY DUBAI, KLM, SA AIRWAYS, BRITISH AIRWAYS, SWISS AIR n.k