Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,129
- 2,914
Nitajie Nchi moja iliyo uchumi wa kati ambayo haina shirika la ndege.
Ati hawa ndio wapinzani!
mbona serikali za nchi zilizoendelea hazina ndege?
Nitajie Nchi moja iliyo uchumi wa kati ambayo haina shirika la ndege.
Ati hawa ndio wapinzani!
Nitajie Nchi moja iliyo uchumi wa kati ambayo haina shirika la ndege.
Ati hawa ndio wapinzani!
.aliyemchoma ni nani?? sababu nini??
Hawajui kinachoendeleaKwanini wananchi wengi wanafurahi ndege tofauti na wanaokosoa.

ka-lissu mnakaona kamunguJe, zina faida gani economically?
Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services. Watalii hawawezi wakaacha kupanda ndege za makampuni makubwa yenye muda mrefu kwenye biashara pamoja na usalama wa uhakika waje wapande ndege za Magufuli.
By the way, hata hayo makampuni makubwa yanapata hasara na biashara ya ndege si biashara ya kutegemea kujenga uchumi. Je, Bunge limepitisha manunuzi ya ndege saba?
Hivi unaachaje kuwekeza kwenye kilimo, madini, elimu, gesi,maji, umeme then unaenda kuwekeza kwenye ndege kwa taifa changa kama hili ambalo watoto hawana madawati na hospitali mama wajawazito wanalala chini?
Hapo hatujagusa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Huu uongozi umechafua sana picha ya taifa hili; this is one of the worst leaderships. By the way, kila chenye mwanzo kina mwisho, walikuwepo wakina Mobutu, wapo wapi now? Tusibiri muda wake utafika tu.
View attachment 1250571
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
ATCL tayari imekufa kabla haijafufuka. Inaendeahwa kwa ruzuku tu ndiyo maana imehamishiwa kwenye Kasma #20 ya Ikulu ambayo CAG hakagui.Kwasababu hao wengi hawaelewi athari za kuwekeza katika miradi isiyo kuwa na tija!! JIWE anaogopa hata kuonesha audited accounts za ATCL kwa vile kununua ndege kwa mtindo wake ni uwekezaji wa kichefuchefu!!! Muda si mrefu wataanza kuficha sura zao pale gharama za uendeshaji zitakapozidi mapato!!! Kwanini hamuangalii performance ya mashirika mengine ya ndege kabla ya kujitumbukiza kununua aina hizi za ndege kwa pupa? Kitu gani kinawashinikiza mfanye maamuzi ya aina hii?Shirika kuendesha Dreamliner sio mchezo!!!
Sidhani hata hiyo strategic plan ya ATCL kama inashauri ndege zinunuliwe kiholela bila kuwa na uwiano na performance ya hizo zilizotangulia kununuliwa!!! Kama busara na weledi na sio pupa kutumika, tungeona shirika la ndege likianza safari za kimataifa baada ya kujihakikishia kulitawala solo la abiria la ndani.
Yaani umemuheshimu kweli!!!!!Mkuu, usilidhalilishe shirika letu la ndege. Nalo liko kibiashara, si kihuduma. Unapochangia mada kama hizi, jiulize mara mbilimbili kabla ya kuandika. Kwahiyo, kwako wewe, ndege za ATCL zinatoa huduma kama ilivyo kwa shule, zahanati na mabomba? Bure kabisa wewe!
ka-lissu mnakaona kamungu
Pablo Blanco,
Hivi wanasiasa wetu ni watu wa namna gani?
Kwenye manifest ya CHADEMA kuelekea uchaguzi 2015 walizungumzia azma ya serikali itakayoundwa na CHADEMA kufufua shirika la ATC kwa kununua ndege mpya.
Leo hii wakubwa hao hao wanabeza utekelezaji wa suala hilo hilo na Rais Magufuli halafu ni hao hao pia walipinga sana serikali kuzuia makenikia na wakitahadharisha kuwa TZ inawekushtakiwa na mashirika hayo ya kimataifa na mwishowe itabidi mlipa kodi ndiyo abebe mzigo huo. Leo matokeo yake wote tumeyaona. Sasa tumuamini nani? Wale ambao kila kitu wanaponda au wale ambao hutekeleza kwa vitendo?
Nadhani ifike wakati wanasiasa watafakari hayo wanayotuambia kwani inafika wakati wanajidhalilisha ni bora watafute mada nyingine za kutudanganya.
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Yaani wewe unaona hilo sio la msingi na halistahili kujadiliwa.Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Tunatanguliza mbele teni pasenti kwanza mengine baadaye. Mmekula hamjala, mmekunywa matope, vijana wanakosa mikopo elimu ya juu, huduma za afya mbovu, dawa hakuna, hakuna kuajiri, kazi ni moja teni pasenti mengine mtajijua raia.Je, zina faida gani economically?
Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services. Watalii hawawezi wakaacha kupanda ndege za makampuni makubwa yenye muda mrefu kwenye biashara pamoja na usalama wa uhakika waje wapande ndege za Magufuli.
By the way, hata hayo makampuni makubwa yanapata hasara na biashara ya ndege si biashara ya kutegemea kujenga uchumi. Je, Bunge limepitisha manunuzi ya ndege saba?
Hivi unaachaje kuwekeza kwenye kilimo, madini, elimu, gesi,maji, umeme then unaenda kuwekeza kwenye ndege kwa taifa changa kama hili ambalo watoto hawana madawati na hospitali mama wajawazito wanalala chini?
Hapo hatujagusa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Huu uongozi umechafua sana picha ya taifa hili; this is one of the worst leaderships. By the way, kila chenye mwanzo kina mwisho, walikuwepo wakina Mobutu, wapo wapi now? Tusibiri muda wake utafika tu.
View attachment 1250571
Hakuna faida yoyote zaidi ya teni pasenti kwa mnunuzi, usifikiri amekazania bure umesahau alivyokazania kuuza nyumba za serikali kumbe ana lake jambo.jibu swali,je ndege zina faida gani economically??
Hayo makampuni makubwa yanayo pata hasara kwanini yasifunge?Je, zina faida gani economically?
Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services. Watalii hawawezi wakaacha kupanda ndege za makampuni makubwa yenye muda mrefu kwenye biashara pamoja na usalama wa uhakika waje wapande ndege za Magufuli.
By the way, hata hayo makampuni makubwa yanapata hasara na biashara ya ndege si biashara ya kutegemea kujenga uchumi. Je, Bunge limepitisha manunuzi ya ndege saba?
Hivi unaachaje kuwekeza kwenye kilimo, madini, elimu, gesi,maji, umeme then unaenda kuwekeza kwenye ndege kwa taifa changa kama hili ambalo watoto hawana madawati na hospitali mama wajawazito wanalala chini?
Hapo hatujagusa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Huu uongozi umechafua sana picha ya taifa hili; this is one of the worst leaderships. By the way, kila chenye mwanzo kina mwisho, walikuwepo wakina Mobutu, wapo wapi now? Tusibiri muda wake utafika tu.
View attachment 1250571
IndiGo announces order for more than 300 Airbus planes
India’s biggest carrier seeks to entrench dominance in fast-growing aviation market.
Read more:Subscribe to read | Financial Times
Umeambiwa jina la ndege mpya ni Lubondo kwa lafudhi ye jiwe.Serikali yetu ni sikivu tutalifanyia kazi, alisikika kijana wa Lumumba.
Changamoto ni kwamba nchi inaongozwa na kipaumbele cha mtu mmoja.U
Tatizo la humu ndani kuna wengine hujifanya hamnazo ili warefushe uzi.Kwa hiyo ccm imepora imani ya Chadema?
Umesema vizuri, tuendelee kupaza sauti, wataelewa tu. Huyu mwizi anaye tumia kofia ya Uzalendo na Unyonge lazima atoke pale Magogoni.Kuna kitu watu hamjui ni kua magu anapiga cha juu kwenye madili karibia yote ya serikali siku hizi, ni ukweli mchungu ambao hamtaki kuusikia maana mnamuona ndugu yenu kama malaika kua hawezi fanya kitu kama hicho.
Hakukua na haja ya kununua ndege hizi kwa cash, tena kwa fujo ndege 11. Kafunga mashirika ya ndege mengine kama fastjet siku hizi kila mtu anapanda ATCL, ila cha kushangaza pamoja na yote hayo kuingiza 30Bil peke yake miaka yote hiyo inamaanisha hadi hiyo hela ije kurudi ni miaka zaidi ya 70. Hapo ni vizazi vingi vimepita.
Sasa tuacheni kugombana na kutukanana tujaribu kufikiria, kitu ambacho return yake ni 70 years (assuming tutaendelea hivi) hiyo hela si bora ingewekwa kwenye elimu na vitu vingine vya muhimu kama healthcare? Au kama tuna shida sana na ndege basi tungenunua angalau haat 5 mwisho, kuagiza ndege 11 kwa cash huku nchi yenyewe maskini na sehemu nyingine zote hazijadevelop ni kitu cha ajabu. Huo utalii mnaosema tunakuza tusijidanganye hata watanzania tu wataruka na Emirates, Qatar au mashirika mengine ambayo yana competitive prices, hakuna mtu atapanda ATCL bei za kijinga kwa sababu tu ya uzalendo, the market always win.
Ukweli hizo hela kwenye ndege zimetupwa tu, hizo ndege subiri ziange kupata matatizo tuinvest hela nyingine tena kuzifix. Wakati mashirika mengine duniani yanapunguza ndege sisi ndo tunaongeza tena kwa cash. Lol