Ukweli kuhusu mwanamke ni upi?

Edmund

Senior Member
Jul 17, 2009
123
62
Wana JF

Hivi mwanamke kaumbwa kutokana na Udongo au Ubavu wa Mumewe?

kama ni Udongo mbona hawana utii kama ule waliopewa viumbe viumbavyo kwa udongo,
na kama ni Ubavu wa Mume mbona hawana subira wala utii kwa waume (mbavu) wao.
 
Nyamayao mie nimeshindwa kumuelewa...sasa mbavu na utii inahusu nini?
 
MKUU UBAVU WAKO UPO NA UTAUPATA TU NA HAPO ITAKUWA MPAKA KIFO KIWATENGANISHe
 
yaani kuna thread nyengine zina lengo la kudhalilisha wanawake ............

mwanamme kaumbwa na nini kwani? yeye anao utii? kwa nani? na anauonyeshaje?
 
Kwani kiumbe gani unachokifahamu kimeumbwa na udongo na kinatii ? maswali mengine kichekesho
asante sana u made ma day :lalala:
 
\

halafu kwani huyo mwanamke yeye anatakiwa kutii tu hataki kitiiwa?...unajua bado cjaelewa eeehh.
 
Nyamayao mie nimeshindwa kumuelewa...sasa mbavu na utii inahusu nini?

halafu huo utii anatakiwa autoe mwanamke tu coz kaumbwa cjui katengenezwa na udongo so ha deserve cjui kutiiwa....mweh
 
kwa wanavyojidanganya ni kuwa mwanamke kama kaumbwa kwa mbavu za mwanamme means ndio ageuke slave wake! kazi kweli kweli
 
here we go again!!!

wewe umemuelewa??..mie nimetoka mtupu.

Nyamayao mie nimeshindwa kumuelewa...sasa mbavu na utii inahusu nini?

yaani kuna thread nyengine zina lengo la kudhalilisha wanawake ............

mwanamme kaumbwa na nini kwani? yeye anao utii? kwa nani? na anauonyeshaje?

Kwani kiumbe gani unachokifahamu kimeumbwa na udongo na kinatii ? maswali mengine kichekesho
asante sana u made ma day :lalala:

\

halafu kwani huyo mwanamke yeye anatakiwa kutii tu hataki kitiiwa?...unajua bado cjaelewa eeehh.

halafu huo utii anatakiwa autoe mwanamke tu coz kaumbwa cjui katengenezwa na udongo so ha deserve cjui kutiiwa....mweh

heheheh jamaa kachokoza beijing . acha niikimbie hii sredi kwa maslahi ya PM.
 
Wana JF

Hivi mwanamke kaumbwa kutokana na Udongo au Ubavu wa Mumewe?

kama ni Udongo mbona hawana utii kama ule waliopewa viumbe viumbavyo kwa udongo,
na kama ni Ubavu wa Mume mbona hawana subira wala utii kwa waume (mbavu) wao.

Pombe zako zikiisha kichwani andika vizuri na uisome mwenyewe zaidi ya mara tatu au watumie rafiki zako wawili watatu waipitie kisha ndo utume hapa....Sijaelewa hata...kumbuka unapopost kitu hapa ni sehemu ya public hivyo kuwa makini.
 
kwanza we ni mwanamke? au mwanaume? labda tuanzie hapo! then (Utii-i + (udongo-ud + mg)) +wa = Uti wa mgongo so mwanamke is directly proportional to spinal cord teh! teh! bila uti wa mgongo life is misserable, wanawake oyeeeeeee.......!!!!!! kama bado kuelewa pm me plz :A S-coffee:
 
Everyting is vague here. Moderator please do the needfull on this thread!
 
UTII NA UPENDO HAVILAZIMISHWI...wala havipatikani kwa kudaiwa au kwa mabavu..

Tafuta mbinu za kuonyeshwa utii na upendo.
 
Pombe zako zikiisha kichwani andika vizuri na uisome mwenyewe zaidi ya mara tatu au watumie rafiki zako wawili watatu waipitie kisha ndo utume hapa....Sijaelewa hata...kumbuka unapopost kitu hapa ni sehemu ya public hivyo kuwa makini.

....heeeeeeeeeeeeee, taratibuni jamani. Watu tumetofautiana.
Huenda mwenzetu huyu ni mwana seminari. Twende naye kidogo kidogo.
- kwanza ajue watoto hawanunuliwi sokoni, kisha tuingie naye kwenye maandiko, halafu ndio tumjibu bila kumuonea haya usoni.

Edmund wa Mwanagati,...rudia tena maandiko jinsi EVE alivyomshawishi ADAM na tunda la kati ndio ujue asili ya utii inaanzia wapi. Sie wengine tunakwenda kidunia dunia zaidi...mke moto, mume moto!
 
Sio yeye jama bali ni Wakolosai 3:18-19 " Enyi akina mama watiini waume zenu, kwan ndivyo apendavyo bwana. Nany waume wapendeni wake zenu na msiwe wakali kwao".
 
Back
Top Bottom