Ukweli kuhusu mwanamke ni upi?

Wana JF

Hivi mwanamke kaumbwa kutokana na Udongo au Ubavu wa Mumewe?

kama ni Udongo mbona hawana utii kama ule waliopewa viumbe viumbavyo kwa udongo,
na kama ni Ubavu wa Mume mbona hawana subira wala utii kwa waume (mbavu) wao.

Kule kwenye jukwaa la dini mada hii pengine ingejadilika vizuri zaidi....hapa watu wapo kwenye 'frequency' na 'wavelength' tofauti usishangae ukaambulia kejeli tu!
 
ivi umetumia somo gani la hojaji ya utii na udongo...........?????sjui mbavu sjui sjui nini
yan haupo kimataifa wala kimaandiko ..upo vuguvugu sana .
ebu kaogeshe ubongo wako kabla ya kutaka kudhadhalisha wbnadamu wenzako kwa itikad ya jinsia
we una matatioz ya akili na inaonekana una bfu na mkeo ndo mana heshima wala adabu hakup hata kdg wabak kulalamika tu
jiheshimu mkeo atakuheshimu
makorokocho ya mkeo kukosa adabu haisababishi uanze kuhesabu toka kwenye udongo,ubavu ,kisigino sjui nini yahussu????
kwan we una adabu,utii?
umeumbwa nanini?
 
Sio yeye jama bali ni Wakolosai 3:18-19 " Enyi akina mama watiini waume zenu, kwan ndivyo apendavyo bwana. Nany waume wapendeni wake zenu na msiwe wakali kwao".

kwa maana iyo vyote vyategemeana. usitegemee mwanamke atakutii huku umpendii, vimada kila pembe.
 
Nimechunguza majibu yote nimegundua hakuna hata Mbeijing mmoja katoa jibu ambalo ni positive na la kumsaidia jamaa zaidi ya kejeli,wapwaz wote wametoa majibu kwa uelewa wao na si jinsia yao.

Jamaa hapa anachunguza saikolojia zenu,habari ndo hiyo!!!
 
ivi umetumia somo gani la hojaji ya utii na udongo...........?????sjui mbavu sjui sjui nini
yan haupo kimataifa wala kimaandiko ..upo vuguvugu sana .
ebu kaogeshe ubongo wako kabla ya kutaka kudhadhalisha wbnadamu wenzako kwa itikad ya jinsia
we una matatioz ya akili na inaonekana una bfu na mkeo ndo mana heshima wala adabu hakup hata kdg wabak kulalamika tu
jiheshimu mkeo atakuheshimu
makorokocho ya mkeo kukosa adabu haisababishi uanze kuhesabu toka kwenye udongo,ubavu ,kisigino sjui nini yahussu????
kwan we una adabu,utii?
umeumbwa nanini?

haya sasa, :violin: :lalala::tea:
 
Nimechunguza majibu yote nimegundua hakuna hata Mbeijing mmoja katoa jibu ambalo ni positive na la kumsaidia jamaa zaidi ya kejeli,wapwaz wote wametoa majibu kwa uelewa wao na si jinsia yao.

Jamaa hapa anachunguza saikolojia zenu,habari ndo hiyo!!!
hamna cha kuchunguza saikolojia wala nini, jamaa kajimix kwa kugeneralize, angespecify kwamba baadhi ya wanawake (au mke wangu :sorry: coz cjui kama ameoa) ukisema mwanamke i.e. yeyote unamjumlisha na mama alokuzaa coz naye ni mwanamke, sijui kama unanisoma fresh mkuu Papa Mopao.
so nafikiri post ya jamaa ina problem kidogo labda aiedit.:preggers::A S thumbs_up:
 
bora umewaona naona wanazunguka mbuyu tu.
 
bora umewaona naona wanazunguka mbuyu tu.

Wewe unazunguka nini? nadhani topic yako isilenge upande mmoja wote mke na mume wanatakiwa kuheshimiana ( mke tii mumeo mume mpende mkeo) then mtaend up kuheshimiana nyote kwa pamoja.msipotoshe maadili ya dini kwa kuwakandamiza wanawake jamani.
 
hamna cha kuchunguza saikolojia wala nini, jamaa kajimix kwa kugeneralize, angespecify kwamba baadhi ya wanawake (au mke wangu :sorry: coz cjui kama ameoa) ukisema mwanamke i.e. yeyote unamjumlisha na mama alokuzaa coz naye ni mwanamke, sijui kama unanisoma fresh mkuu Papa Mopao.
so nafikiri post ya jamaa ina problem kidogo labda aiedit.:preggers::A S thumbs_up:

Nimekupata Chloe!

Hiyo post yake nimeisoma mara mbilimbili kweli nikagundua anachofanya yeye ni kuchunguza Saikolojia zeni ninyi wanawake na ndo maana kaandika hivyo. Siyo kwamba namtetea ila nazungumza navyoelewa mimi.

Hope umenipata Chloe Obrain!
 
Wana JF

Hivi mwanamke kaumbwa kutokana na Udongo au Ubavu wa Mumewe?

kama ni Udongo mbona hawana utii kama ule waliopewa viumbe viumbavyo kwa udongo,
na kama ni Ubavu wa Mume mbona hawana subira wala utii kwa waume (mbavu) wao.

mimi ningependa nikujibu kwa utii kabisa lakini kabla sijajibu labda ungenipa mfano kidogo, ni viumbe gani vilivyoumbwa na udongo vina utii? na kama wanawake ni kipande cha ubavu wa waume zao which means there is another half, je that half has utii? huwezi toa kipande cha chungwa kwenye limao, lazima vipande vifanane....ukishanijibu basi nitakupa jibu kamili
 
In the hospital the relatives gathered in the waiting room, where their family member lay gravely ill. Finally, the doctor came in looking tired and somber. "I'm afraid I'm the bearer of bad news," he said as he surveyed the worried faces.
"The only hope left for your loved one at this time is a brain
Transplant. It's an experimental procedure, very risky but it is the only hope. Insurance will cover the procedure, but you will have to pay for the Brain yourselves."
The family members sat silently as they absorbed the news. After a great Length of time, someone asked, "Well, how much does a brain cost?" The doctor quickly responded, "$50,000 for a male brain, and $ 200 for a Female brain."
The moment turned awkward. Men in the room tried not to smile, avoiding Eye contact with the women, but some actually smirked. A man unable to Control his curiosity, blurted out the question everyone wanted to ask, "Why is the male brain so much more?" The doctor smiled at the childish innocence and explained to the entire group, "It's just standard pricing procedure. We have to mark down the
Price of the female brains, because they've actually been used, the male Brains are hardly ever used by the owners. So they are as good as new"
 
Back
Top Bottom