Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

Unalipwa bei gani maana huachi kulalamika njaa kali? Je fedha unayolipwa kwa hicho cheo kipya inalipa au unampango wa kutimkia chama kingine maana wewe hutabiriki!
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.

Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.

Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.

VIVA UVCCM VIVA.
 
Umekuja kujitangaza kuwa umepewa 'cheo' UVCCM!!?
Bwana mdogo tafuta kazi ya kufanya niliwahi kusikia kuwa wewe ni mwalimu tafadhali tafuta pa kujishikiza, utadhalilika sana siku za hivi karibun usipofanya hivyo!

Hivi ajira ni nini? Je chama cha siasa hakiwezi kutoa ajira?
Naamini ingekuwa vema ukaelewa hayo kwanza
 
USHAURI WA BURE. Mr Mwampamba rudi nyumbani kule Mbozi kasaidie kufundisha pale Mlowo ama kule Iyula. CCM hawatakupatia nafasi ya kugombea ubunge kama unavyofikiria, please mdogo wangu , tafuta kazi utulie, siasa waachie wajanja. Wote sisi ni wafuasi wa vyama mbalimbali lakini tuna kazi zetu, kijana unapoteza muda hapo Lumumba. Hao jamaa sio wema , akija mwingine watakusahau kabisaaa. ni ushauri tu.
 
Jina la mtela Allan mwampamba limeendelea kukua kwa kasi kubwa katika medani za siasa hapa nchini hasa baada ya kijana huyo machachari jukwaani kujiunga na Chama Cha Mapinduzi akitokea chama cha Upinzani Chadema na kuwachachafywa viongozi na wanachama wa chadema kwa kutoa siri zao za ndani na mipango mbalimbali ya uhujumu iliyokuwa ikiandaliwa na chama hicho dhidi ya CCM na Serikali yake.

Wakati wa sokomoko la kusimamishwa akina mwampamba na shonza ndani ya chadema kutokana na kukua na kushamiri kwa makundi ya urais ndani ya chama hiko yakiongozwa na Zitto kabwe dhidi ya Dr Slaa, kiongozi mmoja wa chama cha siasa ambae pia ni mmoja wa wanajamvi maarufu kama tandaleone aliandika kuwaasa chadema juu ya nguvu na uwezo wa vijana hao kutoka kusini mwa Tanzania lakini kama ilivyo kawaida ya uongozi wa chadema hawakusikia nasaha hizo na hatimae sasa maneno ya tandaleone yametimia ambapo vijana Mtela amekuwa kaa la moto linalochoma nyumba ya chadema.

Kwa takribani miezi 6 tangu mtela ajiunge na CCM ameshavujisha mipango zaidi ya 14 iliyokuwa ikiendelea ambayo ilikuwa ya Chadema ya kuihujumu CCM na amekuwa akifanya hivyo katika vikao vya ndani vya CCM na hata katika majukwaa.

Kijana huyo kwa sasa ni mwanachama na mwajiriwa wa UVCCM na leo hii yupo pamoja na wajumbe wengine wa baraza kuu la taifa la UVCCM katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya Chama Kisiwandui Zanzibar akimpitisha Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo ya Vijana Ndugu Sixtus Mapunda.

Maisha ya Mtela ndani ya CCM yamekuwa ya faraja na yanayotamaniwa na kijana yeyote mwenye ndoto za kisiasa, mtela amepata fursa ndani ya CCM ambayo aliikosa chadema kwani fursa aliyoipata Mtela CCM kwa chadema inapatikana kwa watoto wa kichaga na wale wanaotoka uchagani tu. (ushahidi wa majina upo ya vijana ambao si waajiriwa wala wanachama vindakindaki wa chadema lakini wanafaidika na fursa ndani ya chadema kwa kuwa tu wanatoka katika maeneo hayo tajwa)

Mtela fanya siasa na simamia kweli hata ikiwa ukweli huo unatishia maisha yako, sisi tutakukumbuka hata baada ya kufikwa na yale wanayopanga yakufike, Tanzania ijayo itakukumbuka na Dunia itakukumbuka.
 
Attachments

  • 3.jpg
    3.jpg
    42.8 KB · Views: 140
  • 4.jpg
    4.jpg
    42.7 KB · Views: 125
  • 5.jpg
    5.jpg
    45.5 KB · Views: 125
du!sikuzote mi binafisi hua nasema nibora kua naubongo wenye fikira kuliko kua na ubongo misili ya bata chadema iko juu
 
Jina la mtela Allan mwampamba limeendelea kukua kwa kasi kubwa katika medani za siasa hapa nchini hasa baada ya kijana huyo machachari jukwaani kujiunga na Chama Cha Mapinduzi akitokea chama cha Upinzani Chadema na kuwachachafywa viongozi na wanachama wa chadema kwa kutoa siri zao za ndani na mipango mbalimbali ya uhujumu iliyokuwa ikiandaliwa na chama hicho dhidi ya CCM na Serikali yake.

Wakati wa sokomoko la kusimamishwa akina mwampamba na shonza ndani ya chadema kutokana na kukua na kushamiri kwa makundi ya urais ndani ya chama hiko yakiongozwa na Zitto kabwe dhidi ya Dr Slaa, kiongozi mmoja wa chama cha siasa ambae pia ni mmoja wa wanajamvi maarufu kama tandaleone aliandika kuwaasa chadema juu ya nguvu na uwezo wa vijana hao kutoka kusini mwa Tanzania lakini kama ilivyo kawaida ya uongozi wa chadema hawakusikia nasaha hizo na hatimae sasa maneno ya tandaleone yametimia ambapo vijana Mtela amekuwa kaa la moto linalochoma nyumba ya chadema.

Kwa takribani miezi 6 tangu mtela ajiunge na CCM ameshavujisha mipango zaidi ya 14 iliyokuwa ikiendelea ambayo ilikuwa ya Chadema ya kuihujumu CCM na amekuwa akifanya hivyo katika vikao vya ndani vya CCM na hata katika majukwaa.

Kijana huyo kwa sasa ni mwanachama na mwajiriwa wa UVCCM na leo hii yupo pamoja na wajumbe wengine wa baraza kuu la taifa la UVCCM katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya Chama Kisiwandui Zanzibar akimpitisha Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo ya Vijana Ndugu Sixtus Mapunda.

Maisha ya Mtela ndani ya CCM yamekuwa ya faraja na yanayotamaniwa na kijana yeyote mwenye ndoto za kisiasa, mtela amepata fursa ndani ya CCM ambayo aliikosa chadema kwani fursa aliyoipata Mtela CCM kwa chadema inapatikana kwa watoto wa kichaga na wale wanaotoka uchagani tu. (ushahidi wa majina upo ya vijana ambao si waajiriwa wala wanachama vindakindaki wa chadema lakini wanafaidika na fursa ndani ya chadema kwa kuwa tu wanatoka katika maeneo hayo tajwa)

Mtela fanya siasa na simamia kweli hata ikiwa ukweli huo unatishia maisha yako, sisi tutakukumbuka hata baada ya kufikwa na yale wanayopanga yakufike, Tanzania ijayo itakukumbuka na Dunia itakukumbuka.
SANA tu bwana MWAMPAMBA hakuna asiyemjua tena hasa kwa jinsi alivyowaanika viongozi wa CHADEMA.
 
Politics of manipulation at its best. Unajipiga picha mwenyewe, unazi-upload mtandaoni mwenyewe halafu anajisifia mwenyewe, halafu unasubiri watu watacoment vipi, ukiona kimya una-coment mwenyewe na kusubiri uone wengine wata-comment nini, ukiona kimya una-counter comment we mwenyewe mwisho inakuwa sawa sawa na kichaa.
 
Piga kazi mwanangu, achana na chama cha kikanda na kidini, zito ameona maisha yako rehani ameamua kuachana na magaidi, mimi ni mtu wa arusha lkn kiukweli cdm ni ya kikanda badala ya kuwa ya kitaifa zaidi, hata huku arusha watu wakristo ndio wanakishabikia cdm pamoja na wachaga
 
ustalajie chadema kushushwa nahuyo nyoka msaliti bali ccm sasa chini na mansour huko zanzibar mungu ibariki CHADEMA Ame
 
Kwa hiyo wewe ndo umeileta mada hii? Kama ulikuwa unafikiri unachokoza ujue ulichokiandika ni ukweli mtupu, MWAMPAMBA bwana yuko juu sana
 
ustalajie chadema kushushwa nahuyo nyoka msaliti bali ccm sasa chini na mansour huko zanzibar mungu ibariki CHADEMA Ame

Mbona mnalilia sana MANSOOR? Chukueni hilo gharasha kama kawaida yenu mlizike kisiasa kama akina SHIBUDA, MPENDAZOE , MILLYA na wengine.
 
1/09 West Bro 14 : 30 Swansea
01/09 Liverpoo 14:30 Manchest
01/09 Arsenal 17 : 00 Tottenha
 
Piga kazi mwanangu, achana na chama cha kikanda na kidini, zito ameona maisha yako rehani ameamua kuachana na magaidi, mimi ni mtu wa arusha lkn kiukweli cdm ni ya kikanda badala ya kuwa ya kitaifa zaidi, hata huku arusha watu wakristo ndio wanakishabikia cdm pamoja na wachaga
Msiwaamini wanasiasa hata wa upinzani-ZITTOMKABWE.
 
unaitaji kuombewa kwa kua unaonekana unapepo mchafu huoni ccm kua niutawala shetani ukisimamiwa na vipepo kama nyinyi
 
Back
Top Bottom