Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.

Kuzaliwa na mtindio wa ubongo ni bahati mbaya lakini kuwa ccm ni uzezeta wa kujitakia mwenyeweJifunze kuheshimu wengine ili uepukane na adhabu za hapa JF...karibu tena jukwaani!!
Hayakuhusu!
Kama hayamuhusu sasa kwanini umeleta taalifa ya cheo chako cha kazi mpya hapa janvini? unajua wewe unatuzalilisha sana vijana wa Mbeya(Green City)? yani umeonyesha picha mabaya sana kwa vijana wenzako wa hapa home Mbeya.
Nimemwachia Josephine Mushumbuzi aendelee nayo!!!
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Wagiriki ni maarufu kwa kuwa nawatu waliopata kuwa na akili zenye uwezo mkubwa.....Marekani ni mashughuli kwa ubabe na uchonganishi.....Africa matatizo.....hivyo kuna baadhi ya sehemu ukitaja unajua the person from there must be critical or ama activist eg Mbeya, Arusha kwa maana ya harakati za kumng'oa mkoloni mweusi nenda Dodoma ukaone ilivyokuwa kazi kuwafanya wagogo waache kuyaamini maccm ndio utajua Geographical factor inamashikombeya inahusiana vipi na utashi wa mtu.
.
Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
Sio vituko nasema kweli nimeajiriwa toka mwezi wa Tano na nimeamua kusema ili kuondoa mkanganyiko wa kuniuliza kwamba nasema nikiwa kama nani!!!
hicho kitengo kilikuepo au umepachikwa tu.?
Juliana yeye kapewa kitengo gani au bado anatafutiwa.?
Muulize Lemutuz atakuwekea picha maana anamfahamu vizuri sana mr zero!