Upadre sio taaluma dogo, muulize Dokta wa kwe atakuelimisha, na pia UDj sio taaluma vile vile. Acha kashfa tafadhari!!!!Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Napata shida sana kuona kiongozi ana akili ndogo kiasi hiki. Usidhani kila anayetoa maoni kwenye uzi wako ni mwanachadema. Ungefanya vyema kutoa mifano ndani ya chama chako kuliko kutaja walioko vyama vingine. Unataka kutuambia kuwa mnajifunza na kuiga kutoka vyama vingine hata kama wanafanya makosa?
Hahahah...Na wewe nawe...Joblesss......kukalia JF tu......Ni aibu kuwa na vijana au wazee kama wewe katika taifa hili.....Hivi kwa mtu anaemwona Mwampamba ana akili....duh...huyo atakuwa ndo hamnazo.....huyu Stella ni makapi ya Bavicha alitimuliwa....Na hata nyie CCM amewasaidia nini hadi sasa?
Mbona hata FRED MPENDAZOE nae kama siku hizi pia hasikiki vp kuna nini!!!!!!!
mimi nina Degree but mbowe ana zero form six na ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!!!!!
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
Sangara haohao walipekwa ziwa nyasa miaka ya 70 walikufa wote.Lini uliona Sangara akaelea baharini? Yaani pumba kwa kwenda mbele. Kweli CCM MAJANGAAAAA........!
Huyu ni mwalimu!!!!!kazi ipo elimu ya TZ.Rekebisha hapo kwanza.
Mods huu upuuzi
ukiendelea kufanywa na hawa wapuuzi tutakuwa hatulitendee haki Jukwaa.
Naomba adhabu zichukuliwe kwa huyu mpuuzi.
Hajajua bado kuwa watu wanamtafutia BAN nyingine.Masikini unatia huruma.....Nakushauri usepe maana naona umesha anza jichanganya na kujivua nguo.....
Mtela Mwampamba wa CCM, UMEMALIZA!
Hawa pro CHADEMA walidhani upo CCM kwa kutanga tanga?, you're in CCM to stay, we're all in CCM to stay. Period.
Kwanza nijipe pongezi Mimi mwenyewe kwa kufanikisha kumaliza salama kifungo changu(ban) hapa JF.
Napenda kusema haya ili kuondoa Mkanganyiko na maswali yasiokuwa na ulazima, Mimi Mtela Mwampamba ni mtumishi wa Chama cha Mapinduzi na niko katika Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi(UVCCM) na mimi ndie Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano ya UMMA makao makuu ya umoja wa vijana wa CCM.
Naomba ifahamike hivyo na nitatoa ushirikiano wa kutosha hapa JF kwa maswala yanayohusu UVCCM na Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba Vinavyoelea ziwani hata baharini pia vinaelea na Haramu kwako Halali kwa Mwenzio.
VIVA UVCCM VIVA.
unatia aibu sana,Sio vituko nasema kweli nimeajiriwa toka mwezi wa Tano na nimeamua kusema ili kuondoa mkanganyiko wa kuniuliza kwamba nasema nikiwa kama nani!!!
Hajajua bado kuwa watu wanamtafutia BAN nyingine.
Mi nataka kujua hicho kijitengo before kilikua kinashikiliwa na nani?
Leo ndo umekuja kusema ukweli! Je, yule Tambwe Hiza yeye ni nani saivi ndani ya CCM? Hajasikika muda mrefu saivi kuna nini kimemtokea?