Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

This is rather a political issue but a legal issue that must be resolved by resorting to international Laws, the pertinent issue is that the stumbling sides have rocked the horns of political hang-over of which an amicable solution will never be succumbed. The fundamental evidences are based on colonial territorial Division which leaves the area in the Tanganyika territory and basing on international laws the area must be divided into a distance from territorial water to the high waters of which under this Division the AREA stands to be partly in Tanganyika and partly in Malawi.
 
Serikali yetu tukufu ya Dsm isimamie mipaka ya nchi yetu nzuri chonde mbona Nigeria waliweza nakumini Benard Membe uko makini sana
 
katika pekua pekua yangu nimepata kuona mahali kwamba Tanzania haina haki na ziwa Nyasa, tofauti na ziwa Tanganyika ama ziwa Victoria ambazo tunagawana maji na nchi kadhaa, lakini inasemekana kwamba Wamalawi wanadai kuwa Ziwa nyasa ambalo wao wanaliita ziwa malawi ni mali yao na mpaka halali ni ukingo wa ziwa na si ndani ya maji. je wana JF mnalionaje suala hili?

Nafikiri ni vyema ukatupa hiyo pekuapekua yako inayokufanya uamini kwamba hatuna ziwa hilo. hata kama umetumwa ... jitahidi kueleza zaidi ..
 
The Tanzanian-Malawi border on Lake Nyasa was put in 1890 by Germany and British colonial masters representing colonial Nyasaland and Tanganyika in the famous Heligoland Treaty.

Heligoland? Where is it? Its in Europe. Nations are right to claim back what is theirs, taken from them by misguided colonial rule or theft. The obelisk stolen and taken to Italy from Ethiopia is one example. Claiming back a territory mis-handled by those old rulers is another example. The people on the Tanzanian side have used and known this lake as their common property long before there was colonialists. If they later became Tanzanian, then that part of lake must remain Tanzanian, not withstanding a Heligoland treaty serving some European interest. And Tanzania cannot and should not relent on this, because that will be suicidal. If that happens, and it cannot happen, next Malawians will be claiming some territory bordering the lake, just as Kamuzu did then. And as now they will have reasons, most likely earthed from colonial times!

.....However, Mozambique (Portuguese) which was affected like us in the 1890 Heligoland treaty their border over lake Nyasa was changed to pass through the center of the lake.

A similar thing can now be done. Better late than never. Africans can sit and discuss to rectify issues mismanaged during colonial times!!

.....However, we are responsible for the extension of the problem. In 1963 our leaders agreed to the OAU resolution on colonial boundary sanctity. By using simple language those who represent our country in that meeting agreed to preserve the boundaries left by colonial master while knowing the issue over lake Nyasa and in fact we use this weapon when on of our neighbor country demanded that Mt Kilimanjaro was not ours. We lost that chance and here we are.We have justice but not supported by law.

No, claiming Tanzanian territory cannot be based on chance. That Tanzanian did not raise the issue with OAU then does not prevent her from claiming it now! Just think of it, somebody in Kyela touching the shoreline will be in Malawi, how practical is this? What about a high/low tide?

Call it Nyasa or Malawi or whatever name, It will be insane to deprive the Tanzanians the services of THEIR lake. Simple!
 
Hebu niambieni hilo ziwa linaupana kilometa ngapi na urefu km ngspi.je mozambique wao mbona wanamiliki sehemu ya ziwa kwanini Tz iambiwe ziwa si lao hebu fikeni vijiji vya Ngombo.Chimate.Kwambe.Matenje.Mtipwili.Chiulu.Kilosa.Mbambabay.Mkali.Liuli.Manda.Njambe.MAkonde hadi Kyela wananchi wale wanatumia ziwa lile ambalo ni urithi wao.Wanavua samaki.wanaoga maji yale.na wanasafiri kwa kutumia ziwa nyasa.Naona hao waingereza walikuwa na uelewa mdogo wa akili
 
Rais Joyce Banda wa Malawi hataki cho chote pungufu ya kutaka kumiliki ziwa lote la Nyasa kama alivyowaeleza Marais wa zamani wa Msumbiji na Afrika ya Kusini Bw. Chisano na Bw. Tabu Mbeki leo tarehe 15/07/2013!

Hivi kwa nini sisi Tanzania tuendelee kupoteza rasilimali zetu kujadili jambo ambalo ni wazi kabisa kwamba kamwe hatuwezi kukubali kupoteza haki yetu ya kumiliki nusu ya ziwa hilo!

Kama Malawi wana ndoto za kumiliki ziwa lote la Nyasa basi wasubili hadi kiama kama ambavyo wamevumilia kwa miaka 50 sasa tangu tupate uhuru!

Nashauri ni wakati muafaka sasa Tanzania kujitoa katika mazungumzo hayo yasiyo na tija! It is just a wastage of resources and our precious time to discuss something which will never come to the end!
 
Wajiondoe vipi wakati wenzako ushiriki wao kwenye hii dispute isiyo na kichwa wala miguu ni ulaji?
 
Poor Tanzania hahahaaaaaa bado Rwanda inawasubiri...CCM nambari1
 
Kwani wewe hujui au unajisahaulisha kwamba CCM ni no1

Kwenye suala la mipaka ya nchi mambo ya CCM au CDM hayahusiki, athari yoyote ya masuala kama haya haichagui uanachama, ni masuala ya nchi. Kwa mfano kagame alivyosema atamhit Kikwete hakumaanisha Kikwete kama mwenyekiti wa CCM (ila kama Rais wa TZ). Ndio maana inasemekana hata mauaji ya JWTZ huko Darful ni mojawapo ya kumhit Kikwete au TZ ktk mazingira ambayo Kagame hatafikiriwa kabisa!
 
Kwenye suala la mipaka ya nchi mambo ya CCM au CDM hayahusiki, athari yoyote ya masuala kama haya haichagui uanachama, ni masuala ya nchi. Kwa mfano kagame alivyosema atamhit Kikwete hakumaanisha Kikwete kama mwenyekiti wa CCM (ila kama Rais wa TZ). Ndio maana inasemekana hata mauaji ya JWTZ huko Darful ni mojawapo ya kumhit Kikwete au TZ ktk mazingira ambayo Kagame hatafikiriwa kabisa!

Ngoja Kapambala Mgawe akachunguze tujue cha kufanya. Ikithibitika mkono wa Kagame upo hapo ataumia! Tena sana.
 
Huyu mama si vijana wake wote kawapeleka kuwa mahousegirl na mahouseboy huko Korea ya Kusini, nchi nzima imebakiwa na vikongwe tu.Akileta za kuleta tutaingia LILONGWE kwa kutumia Green Guard na RED Brigade wakishirikiana na mgambo wa jiji. JWTZ siyo size yake huyu tutampa sifa za bure tu.
 


Nashauri ni wakati muafaka sasa Tanzania kujitoa katika mazungumzo hayo yasiyo na tija! It is just a wastage of resources and our precious time to discuss something which will never come to the end!

Mazungumzo hayo yalikua ni hatua zilizofikiwa kabla ya kwenda kwenye mahakama ya kimataifa.... kumbuka kinachogombewa siyo Ziwa Nyassa kama lilivyo inasadikika kuna mafuta ya kutosha ambapo utafiti unafanywa na Kampuni la Uingereza lenye mkataba na Malawi....! Hivyo Malawi wanasaidiwa na UK kulisukuma hili mahakama ya Kimataifa....!

My take;
Kwakuwa imekua ni mazoea kwa serikali ya sasa kujihusisha na watu wenye uwezo mdogo katika kila fani.... Rais Joyce Banda ameuona udhaifu wa timu yetu ya usuluhishi..... nawaambieni watu walioenda kutuwakilisha si ajabu kubwa walilonalo ni kutafuna posho za vikao

Hapa km taifa kulitakiwa watu kama Tindu Lissu ...! aiongoze timu ya majadiliano na hata km tunaenda kwenye mahakama ya kimataifa basi tuwe na watu wenye uwezo sio kina Jaji Werema ambao kazi yake kubwa ni kutafuta kamusi ya Kiswahili ili atuambie tusi ninini .., hana weledi wa taaluma km tulivyomtarajia.
 
Tuwe serious siyo kila jambo ni misuri. Ni kweli huyu Rais Mama hana sababu yoyote kutaka hili ziwa lote liwe lake. Hatuwezi kujitoa kwenye mazungumzo tutaonekana hatuna reasoning. Tuende tu, tu-lobby na kuwaelewesha wote, kwa busara zetu.

Sijui sheria, nasikia kuna mkataba wa hogoland sijui; ulifanywa na Ujerumani na Uingereza, huo tu ndiyo anautegemea. Kwa logic yangu (sijui sheria), Kwanza anakubali kuwa kabla mkataba ile sehemu ilikuwa upande wa Tanzania, sasa sisi Tanzania tunasema hatuutambui huo mkataba, tunavunja mkataba tunarudisha sehemu yetu, kuna makosa gani? Vile vile ku-consolidate point yetu tuwaulize kipi kimewafanya kutulia miaka zaid ya 50 kama siyo mia, kuacha sisi tuwe tunamiliki hiyo sehemu?

Hebu tupekue sheria naona huyu mama lazima kuna sehemu kubwa anabanwa, vile vile akina Tabao Mbeki na Chissano wanajua wazi kabisa kwa Tanzania na reputation yake kwao, ni maji marefu; wanamuonea haya tu huyu mama, diplomacy tena.


Msishawishiwe kuwa Uingereza au Marekani wako side ya Malawi, let us do our homework, this is just a pass time issue.
 
Poor Tanzania hahahaaaaaa bado Rwanda inawasubiri...CCM nambari1

Si wanajidanganya na uzalendo ulioonyeshwa na kwa Nyerere enzi za vita ya uganda wakidhani na sasa huo uzalendo upo, tutawakimbia na hawataamini kitakachowakuta
 
Hivi huyu Mama mbona anatutaka maneno kila kukicha au anadhani tutamwacha kwa kuwa yeye ni mwanamke? Nadhana kuna kitu anakitaka zaidi ya usuluhishi.
 
Back
Top Bottom