Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Ni ubishi tu wa serikali yetu,Dunia yote inajua Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi.Hatuna hata Fact moja kudai Ziwa Nyasa ni la Tanzania.

Hakuna haja ya kuvutana kwa jambo lililokuwa wazi kabisa.
Tujipange kutumia vizuri maziwa mengine tuliyonayo.

Mkuu unaugua ugonjwa unaitwa psychosis, unahitaji tiba, hii ni mental disorder
 
Mkubwa usiogope sana
Hawa malawi ni sawa na mende tu kwa Tanzania.
Yaani kwa kifupi ni sawa tu na kelele za Dr Slaa kwa ccm

Chris,
Sio kila sehemu we uingize tuh chuki zako dhidi ya Dr Slaa,
Wakati mwingine tuzungumze kuhusu nchi yetu,Tanzania ni ardhi yetu...
 
  • Thanks
Reactions: HT
wachukue ziwa lote tu sioni kama tutakuwa na faida nalo.
 
Bwana Chriss...ukomavu wa mtu haupimwi kwa mvi za kichwani so far hata watoto siku hizi wanazo...nadhani una uwezo wa kuwaza zaidi ya hapo!..uwezo wako haujafika kikomo!
 
Hili swala lilitakiwa liwe lishaisha tangu mwaka jana pale lilipoibuliwa tuu.
Naona Membe sasa anataka alifanye mtaji wa kujijengea njia ya urais 2015.
 
Hili swala lilitakiwa liwe lishaisha tangu mwaka jana pale lilipoibuliwa tuu.
Naona Membe sasa anataka alifanye mtaji wa kujijengea njia ya urais 2015.


Sure Ndibalema,
Hawa jamaa kwa sasa kila kitu wao wanakiona ni mtaji tuh...
 
Ni ubishi tu wa serikali yetu,Dunia yote inajua Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi.Hatuna hata Fact moja kudai Ziwa Nyasa ni la Tanzania.

Hakuna haja ya kuvutana kwa jambo lililokuwa wazi kabisa.
Tujipange kutumia vizuri maziwa mengine tuliyonayo.

Kwa Mikataba ya wahuni waliolikuta wakajifanya kugawa yasiyowahusu? No way!
Kikwete akiwaachia hili ziwa nitamweka kumbukumbu mpaka vitukuu wajue.
Kama hawataki kwa hiyari ni kumtoa katika urais kabisa huyu Mama!
 
Ni ubishi tu wa serikali yetu,Dunia yote inajua Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi.Hatuna hata Fact moja kudai Ziwa Nyasa ni la Tanzania.

Hakuna haja ya kuvutana kwa jambo lililokuwa wazi kabisa.
Tujipange kutumia vizuri maziwa mengine tuliyonayo.
It is not that easy. Mikataba yote ya kimataifa inatambua kuwa nchi zinazopakana kwenye maji, mito na maziwa, mpaka unakuwa ni katikati. Hili la kwetu pia lilitakiwa liwe cleared tangu pale ambapo mikataba ya kimataifa ilipoagizwa mipaka ya kwenye water bodies iwe katikati. Lakini inaonekana Nyerere ndiye aliyepuuza those days wakati Malawi ikiwa chini ya Banda. Sasahivi mambo yamefika pabaya. Kama kila mmoja atakuwa anapuuza, watu wa kuelezea historia halisi ya pale mahali watakufa na tutabaki hatuna ushahidi wa kueleweka kuhusu hili ziwa. Acha tujadiliane tufikie muafaka.
 
  • Thanks
Reactions: HT
I Lakini inaonekana Nyerere ndiye aliyepuuza those days wakati Malawi ikiwa chini ya Banda. Sasahivi mambo yamefika pabaya.
Yamefikia pabaya kwa kuwa Rais anapenda Diplomasia kupita kiasi!
Mbona yule banda na makeke yake alikaa kimya? Huyu mama alipaswa kupewa onyo tu! Kukaa nae akideka hivi ni kumpa kichwa!
 
Mkubwa usiogope sana
Hawa malawi ni sawa na mende tu kwa Tanzania.
Yaani kwa kifupi ni sawa tu na kelele za Dr Slaa kwa ccm

Hata gadaffi aliwaita wapinzani wake "MENDE"... baadaye wakamng'oa na kumuua!...

Hata CCM itang'olewa na MENDE.
 
Kwa sababu tuna rais goegoe ndio maana hii migogoro inaibuka kama uyoga. Nilisema kwenye thread kama hii Tanzania lazima iboreshe maisha ya Watanzania wanaoishi kwenye upande wetu wa ziwa na kuweka vitega uchumi. Wazungu waliweka mipaka wakati kuna Watanganyika wengi tu ambao walikuwa wanaendesha maisha yao na kuvua samaki kule.

Wacha Wamalawi wapige ukelele kama wanataka kupimana nguvu wajaribu! Tusisumbuliwe na hivi viinchi ambavyo kwao kuwategemea ma-sugar-daddy ni jadi.
 
Ukiangalia ramani hii inaonyesha hatuna sehemu kabisa ya ziwa upande wa tanzania.

Tena kuonyesha walakini sehemu hiyo ya mpaka wametumia alama nyekundu tofauti na sehemu nyingine!


nyasayt4.jpg

WIZI MTUPU.....Jina halifanyi uhalali wa kumiliki Ziwa....mbona ziwa Nyanza hatujakuwa waroho wa kuwabania majirani zetu kuwa sehemu ya umiliki Pia.....? Ukiweka mpaka ukingoni maji siku yakikauka mpaka utakuwa wp? Je vyanzo vya maji vya sasa vya ziwa Nyasa vinatoka wapi? Waafrika tuacheni laana za kugombea rasilimali tunajimaliza wenyewe....Idea ya kuweka mpaka katikati ni ya Diplomasia ya hali ya juu mno....hatuna budi kuiunga mkono wote....si Wamalawi si Watanzania......!
 
Wakubwa niwekeni sawa, nilikuwa nauliza Ziwa Nyasa ni Ziwa Nyasa au Ziwa Malawi? Na je, Kwanini Ziwa Victoria liendelee kuitwa Ziwa Victoria na si Ziwa Nyanza? Au ndio kuwaenzi watawala wetu wazungu?

Usihangaike mkuu, hizi landmarks zinaweza kuwa na majina mawili au zaidi kulingana na watu gani wanaozitumia. Msumbiji nao wanaliita ziwa Nyasa au Lago Niassa. kwa sisi(wabongo) kuita ziwa viktoria, Nyanza ni sababu hatutaki kumtukuza malkia Viktoria kama wengine. Ziwa Nyanza lilikuwepo kabla ya Mzungu, John Speke aliyelipa jina kwa kumtukuza Malkia wake kuliona. Vile vile kabila la Luo(Kenya) wanaliita ziwa viktoria Nam Lolwe. Fanya mwenyewe Research google, bing nk utaona landmarks zenye zaidi ya majina mawili, hasa zinazotenganisha nchi mbili.
 
Back
Top Bottom