Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

Sual la mpaka wa ziwa nyasa kati ya Tanzania na Malawi sasa linaweza leta sura tofauti na lisipofuatiliwa mgogoro kati ya nchi hizi mbili waweza ibuka na kuleta mtafariku katika nchi zote. Hivyo ni jukumu la viongozi wetu kuhakikisha kuwa suala hilo linasuluhishwa kwa namna yoyote. Je ni kitu gani kifanyike ili hoja hii ya mpaka ikome?
Wanatishiana kupelekeana majeshi tu hawana lolote...
 
Inakera sana hapa uamuz ni kuamuru jesh kuchukua nafasi yake
 
The issue of Tanzania-Malawi conflict over lake Nyasa border is to be discussed basing on facts and reality rather than wishful thinking and nationalistic attitude. The Tanzanian-Malawi border on Lake Nyasa was put in 1890 by Germany and British colonial masters representing colonial Nyasaland and Tanganyika in the famous Heligoland Treaty. Germany by then was more concerned with the acquisition of strategic Heligoland in North Sea that they put less concern over their possession over East Africa that they readily forfeit Witu along the cost of Kenya neither bothered with anomalies over Nyasaland-Tanganyika border on the lake Nyasa.
After the defeat of the Axis powers (Germany and others) by Allied powers (Britain and others) in the 1st WW Germany lost all of her colonies. Tanganyika fell to Britain as Trusteeship Territory. There fore both Nyasaland and Tanganyika were ruled by one colonial power, therefore the issue of rectifying the Tanganyika-Nyasaland border over lake Nyasa was never raised up. However, Mozambique (Portuguese) which was affected like us in the 1890 Heligoland treaty their border over lake Nyasa was changed to pass through the center of the lake.
However, we are responsible for the extension of the problem. In 1963 our leaders agreed to the OAU resolution on colonial boundary sanctity. By using simple language those who represent our country in that meeting agreed to preserve the boundaries left by colonial master while knowing the issue over lake Nyasa and in fact we use this weapon when on of our neighbor country demanded that Mt Kilimanjaro was not ours.
Only two countries in Africa Somalia and Morocco declined to comply with OAU colonial boundary sanctity, on the ground that their territorial integrity was incomplete. Morocco was demanding Western Sahara which by 1963 was still under Spanish colonial rule and Samalia was demanding for the Somali Land which by 1963 was still under British colonial rule. If we could have raised the issue then perhaps by now the problem at hand could have been solved as that of Samalia and the issue of Western Sahara, who have been given mandate by the UN to decide over their fate.
We lost that chance and here we are.We have justice but not supported by law. Malawi knows about this that is why they are pressing the matter to be address by The ICJ. They know that the verdict will be against us, as the examples of case of Nigeria vs Cameroon and that of Ethiopia vs Eritrea to mention the few. Can we come to our senses and find amicable ways of dealing with the problem at hand? I submit.
 
Kwa mkataba wa Waingereza na Ujerumani wa mwaka 1890 uliohusika katika kuweka mipaka baina ya nchi za Afrika mashariki Tanganyika wakati huo na Tanzania ya leo haina haki ya kudai haki yoyote ya maji ya ziwa Nyasa. Mpaka halali unapita nchi kavu upande wa Tanganyika/Tanzania. Mipaka hii haijabadilishwa. Na ilithibitishwa na maamuzi ya kikao cha Nchi huru za Afrika (OAU) cha mwaka 1963. Tanzania iliridhia maamuzi yale. Mkataba wa Kimataifa unaohusu mipaka ya bahari kwa nchi zinazopakana na bahari, maana yakle ni hiyo hiyo, nchi zinazotenganishwa na bahari, hizo ndio zinachangia matumizi ya maji ya bahari husika, sio mito wala maziwa. Viongozi wetu wanatakiwa kueleza ukweli kuhusu hili. Wasituingize kwenye mgogoro ambao haupo.
 
Unatakiwa kuthibtisha uhalali wa Tanzania kumiliki raslimali husika na kinyume chake kwa nchi ya Malawi. vinginevyo utakuwa unapiga kelele ambazo hazitasaidia katika tatizo hili.Kazi ya kupiga kelele tuwaachie wanasiasa lakini tusiwakubalie kutuingiza katika mgomgoro usiokuwa na sababu kwa kutafuta sifa.
 
Kwamba Mnyakyusa na Mngoni wa mwambao akikanyaga maji ya Lake Nyasa ameingia Malawi, tayari huo ni mgogoro, bila ya kujali mikataba ya zamani inasemaje. Kwa hiyo usiseme kuwa wanasiasa wanatuingiza kwenye mgogoro kwa kutafuta sifa (na hii lugha ya kejeli inanifanya niamini kuwa wewe una asili ya Malawi) kwani tayari upo. Kama Mnyakyusa na Mngoni hana uhalali wa kumiliki/kutumia maji ya Ziwa Nyasa, ambayo ni sehemu ya maisha yao ya kila siku, hivyo Tanzania nayo haitakuwa na uhalali wa kumiliki sehemu hiyo ya Ziwa Nyasa.
 
Ni leo katika Taarifa yao ya habari,

Miongoni mwa habari kubwa iliyopewa Headline ni hii ya mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi.

Fishermen caught in middle of Lake Malawi row - Africa - Al Jazeera English

Ni wakati umefika sasa kwa serikali ya Tanzania kusimama kidete katika kusimamia kile kilicho na uhalisia kwa maslahi ya taifa hili na amani ya wananchi wake kwa ujumla,

Haya mambo ya kuficha ficha ukweli na kusema hali ni shwari hali ya kuwa moto unafuka na moshi unaonekana haisadii na haitasaidia..

THE CONFLICT IS ESCALATING...

TANZANIA KWANZA, AMANI KWANZA.
 
Kwani yule mama ameibuka tena? Au labda amesikia ya Rwanda. Last week Kenyatta kasema sisi tegemezi. Tutaweza kuwapiga wote kweli?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hebu weka hata kalink cha kusupport hii habari!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Ni ubishi tu wa serikali yetu,Dunia yote inajua Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi.Hatuna hata Fact moja kudai Ziwa Nyasa ni la Tanzania.

Hakuna haja ya kuvutana kwa jambo lililokuwa wazi kabisa.
Tujipange kutumia vizuri maziwa mengine tuliyonayo.
 
wana haki ya kuripoti habari hizi ila wasitumie nafasi hizi kuongeza chumvi ili nchi hizi zipigane
 
Kwani yule mama ameibuka tena? Au labda amesikia ya Rwanda. Last week Kenyatta kasema sisi tegemezi. Tutaweza kuwapiga wote kweli?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Kila kona ya mapaka wa nchi,sasa imekuwa ni mikiki mikiki,
Yule mama kachachamaa kweli kweli...
 
Ni ubishi tu wa serikali yetu,Dunia yote inajua Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi.Hatuna hata Fact moja kudai Ziwa Nyasa ni la Tanzania.

Hakuna haja ya kuvutana kwa jambo lililokuwa wazi kabisa.
Tujipange kutumia vizuri maziwa mengine tuliyonayo.

We upo tayari tuwaachie??
 
  • Thanks
Reactions: HT
Mkubwa usiogope sana
Hawa malawi ni sawa na mende tu kwa Tanzania.
Yaani kwa kifupi ni sawa tu na kelele za Dr Slaa kwa ccm
 
wana haki ya kuripoti habari hizi ila wasitumie nafasi hizi kuongeza chumvi ili nchi hizi zipigane

Aljazeera wanajitahid sana kusimama kwenye ukweli siku zote,
Tofauti na BBC & CNN...
 
Back
Top Bottom