Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

naona kumbe majibu unayo!
1 nani alifanya mapinduzi
2 kwanini alifanya
 
Kuna asilimia kubwa kabisa inayonifanya nihisi kwamba kuna watu wametengeneza hiki kipande cha sinema kuchochea udini, katika kipindi cha Uchaguzi suala la udini lilitawala sana, japokuwa Uchaguzi umeisha lakini bado linaota mapembe, hivi karibuni tulisikia waislamu kubomoa bucha za Kitimoto Morogoro, baada ya hapo Mchungaji alipoteza maisha kwa sababu ya mabishano baina ya dini, Leo tena mnatutengenezea Video kama hii, hamuoni kama ndio mnazidi kuuwasha moto, kuna watu wengine hawana uelewa wa teknolojia, akiangalia tu basi anajua ni kweli yametendeka.

Wewe Majimshindo Mwanzo kabisa ulianza kwa kumtaja Nyerere kuhusika na mauaji ya waZanzibar lakini Conclusion yako ni tofauti kabisa na ni ya kichochezi maradufu, hili suala la kusema Waislamu wanatengwa Kielimu si kweli. Waislamu wanapata elimu kama raia wengine, kuna Shule nyingi tu za Kiislamu zinazotoa elimu kwa waislamu. Ukitazama leo hii kwenye serikali ya kikwete kuna Wasomi wengi sana wa Kiislamu wenye nyadhifa za juu kabisa. niambie, Elimu hii waliipata Wapi na Lini? usiwe mbayuwayu jaribu kuangalia hali halisi sababu hili suala linatumika kisiasa zaidi, tunaumia sisi lakini manufaa wanapata Wanasiasa, siwezi kujua, pengine labda na wewe Unanufaika na mpango huu. tuambie!!
 
Acha wauawe hiyo ndio ilikuwa wazo la busara kwa wakati ule. Kipimo walichopimia waafrica ndicho kilichorudishwa tena kwa uchache sana. Hell the araibs
 


The mistrust has been there for a long time its only now that its coming to the fore!

The video is one among many channels that are being used to propagate hatred - there are radio programmes, books, public addresses, pamphlets distributed esp to young people who have no clue about Tanzanian history - all meant to plant a seed of extreme anger such that when one day somebody screams -ATTACK they will go attacking like nothing we have ever anticipated before.

What needs to be done is to stay alert and monitor whats going on - don't trust anyone not even your own spouse!
 
Waliouwa waarabu ni sis waislam wa Zanzibar na sii wakristo.



 
Yes, hii ni movie ya Wataliani. Waliitengeneza mwaka 1967 kuonyesha kuwa bara la Afrika halina matumaini. Ndiyo maana inaitwa Africa Adio.
Si documentary.
 

Hapo ndipo mnapokwama! mmejiwekea sheria na mmesahau issues za dini ni personal zaidi, ndiyo maana kuna waislamu wanahangaika mchana na usiku kutaka waislamu wote wafanane, wawaze kitu kimoja na kuamua pamoja. Kwa Tanzania haiwezekaniki!

Leo hii kila mwaka mnakumbuka mapinduzi ya zanzibar, yet mnasema Nyerere alihusika ili ku-supress uislamu! Nyerere aliishafariki na bado mnasema haya! hamuoni kuna contradiction hapa??

Hivi lini mtaacha hizi shutuma zisizokuwa na vithibitisho ambazo mnaogopa hata kuongea na watoto wenu maana watawacheka?

Kuhusu mwislamu kuolea na asiye muislam ni maada pana na hili ni jukwaa la siasa, tuache kwa sasa ila rejea wake wote wa Muhammad 22, na wengine aliowaoa baada ya kuwateka waume zao!
 
Mi naona waislamu sasa hivi wanatumia kila njia kujenga chuki dhidi ya wakristo hapa tz.Hiyo video kama ni genuine mbona haikutoka siku zote mpaka itoke leo hii? Na kwanini itolewe na taasisi ya kiislamu?

Mi naona hapa hamna lolote la maana ila tu inaonyesha kuna ndugu zetu waislamu wamechoka kuishi nchi moja na sisi wakristo.Kama vipi mi naona ni bora watupotezee ili tuishi kivyetu nao waishi kivyao kabla hatuchapana makonde.
 
YouTube - ‫

Haya jamani pia haya maeneo ni sudan au zanzibar ? HEBU angalieni vizuri,,,kama hukujui zanzibar nendeni mukaangalie,haya mavamizi ni zanzbar ushahidi ndioo huu,na walifanya mavamizi haya ni nyerere.

Hawa wazungu walikuwa wanafahamu kabisa mavamizi haya,baada zanzibar kupata kiti chake katiba umoja wa mataifa 1963 wazungu walifahamu kuwa zanzibar itakuwa ni kitovu cha uislamu,pia wazungu waliogopa zanzibar kuja kuwa nchi yenye uwezo mkubwa kiuchumi na kuwa na power ya uislam,ndipo wakafanya mbinu na kushikirikiana na nyerere,na kumshawishi karume.

Baada ya mapinduzi wakatumia mbinu kuziunganisha nchi ili kuipoteza zanzibar katika hii dunia kiramani na kimataifa,pia kuchanganya watu zanzibar ili kupunguza kasi ya dini ya kislamu.

CCM -CHRISTIAN MOVEMENT.

Mapinduzi ya 1964 Zanzibar ni mapinduzi walipinduliwa wazanzbari.
 
Angalieni haya mauaji yaliyofanywa! zile maiti sio waarabu bali ni wafrika! ... Nyerere kwa kukubali tanganyika yetu ijiunge na ile serikali ya mapinduzi basi amefariki na damu ya waznzibar mikononi mwake

video yasikitisha mno





 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:

aim sorry nazungumzia mapinduzi ya 1964

Mpaka ulete udini ndio usikie raha. lolz

As usual kikiongelewa kitu kuhusu waislamu ni UDINI dude rudi shule upanuke kimawazo , btw ningeongea maneno matupu toka mdomoni ungedai source na kuniita mdini.. lakini ni video hiyo inaonesha nini kilichotokea miaka hiyo ... askari wa kitanganyika pia walikuwemo na vibukta vyao!
 

Uislam kwa wewe sio dini au udini?
 




link yako haina uhusiano na mapinduzi 1964



siwezi nikajidili hii katika jukwaa hili! sitaki hii thread itupwe kule jukwaa la dini ...! una maswali kuhusu dini yangu na maoni yangu! wakaribishwa ku PM!

Did you watch your last tube? You must be kidding me. I will quote"An ethnic clensing event that targeted Muslims and Arabs"

Wewe ni mdini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…