Ukweli kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar - 1964

Did you watch your last tube? You must be kidding me. I will quote"An ethnic clensing event that targeted Muslims and Arabs"

Wewe ni mdini.

na ndivyo ilivyokuwa , hapo kwenye RED shukran kwa kugundua hilo ...
 
Sasa ulikuwa unabisha nini? Wewe kila kitu lazima uweke udini, why?

wauliza swali while umeshajiwekea conclusion post # 10 ! & again ni matukio yalitokea video inaonesha hadi makaburi ya pamoja! sijui unachobisha ni nini..?! \

forum yangu huwa ni JF doctors! umeona mada zangu kule naweka udini! ... kuna msemo ( nyani haoni kundule )

Back to the TOPIC ... mapinduzi yalikuwa ni uhalifu wa kivita it doesn't matter nani aliye uliwa ! ule si ubinaadamu kuacha maiti zioze ziliwe na ndege
 
Who did it? Me?

Sasa kama it doesn't matter nani aliyeuliwa, kwanini waseme ili target Waislam na A'rabs? Waislam ni nini, watu wenye dini ya islam sio? Kwanini wasiseme wabantu, et al?
 
Angalieni haya mauaji yaliyofanywa! zile maiti sio waarabu bali ni wafrika! ... Nyerere kwa kukubali tanganyika yetu ijiunge na ile serikali ya mapinduzi basi amefariki na damu ya waznzibar mikononi mwake video yasikitisha mno
Nyerere hakushiriki Mapinduzi ya Zanzibar! Kwa nini usiwazungumzie watu kama akina John Okello na wengineo ambao ndio waliongoza Mapinduzi hayo? Mbona marehemu Muhammad, mtume feki wa Waislamu, aliua mamia kwa maelfu ya watu waso na hatia, huoni kwamba huyo babu alikufa na damu zisizo na hatia kuliko kumkomalia Nyerere kwa mauaji ya Zanzibar ambayo hakuyafanya?
 
Last edited by a moderator:
Who did it? Me?

Sasa kama it doesn't matter nani aliyeuliwa, kwanini waseme ili target Waislam na A'rabs? Waislam ni nini, watu wenye dini ya islam sio? Kwanini wasiseme wabantu, et al?

lol , hivi ,..... wewe wawa pi..?! mbona mgumu kuelewa hivi.... kwenye kichwa cha habari nimeandika ni wewe uliyefanya! hii massacre ama nimeandika christians ndio waliofanya hii massacre 。。。。 lol jaribu kushirika ubongo wako wote na si nusu ya ubongo wako katika kufikri
 
Nyerere hakushiriki Mapinduzi ya Zanzibar! Kwa nini usiwazungumzie watu kama akina John Okello na wengineo ambao ndio waliongoza Mapinduzi hayo? Mbona marehemu Muhammad, mtume feki wa Waislamu, aliua mamia kwa maelfu ya watu waso na hatia, huoni kwamba huyo babu alikufa na damu zisizo na hatia kuliko kumkomalia Nyerere kwa mauaji ya Zanzibar ambayo hakuyafanya?

Naona umekuja na ID mpya anyways ...marehemu muhamad ndio nani ..?!! kuhusu swala la mtume feki au original sitojadili sababu mada inahusu mapinduzi ya znz 1964 , kama wataka kujua ni mtume feki au original kaulize kule jukwaa la dini... alafu namlaumu nyerere kwa kukubali tanganyika yetu iungane na serikali iliyofanya mauaji makubwa kama haya ilahali alijuwa wazi ile serikali imeingia kimabavu pale
 
lol , hivi ,..... wewe wawa pi..?! mbona mgumu kuelewa hivi.... kwenye kichwa cha habari nimeandika ni wewe uliyefanya! hii massacre ama nimeandika christians ndio waliofanya hii massacre 。。。。 lol jaribu kushirika ubongo wako wote na si nusu ya ubongo wako katika kufikri

Bado unajaribu kukimbia weye. Narudia tena: I will quote"An ethnic clensing event that targeted Muslims and Arabs" Niambie maana ya hayo maneno kwenye hiyo quote ya tube yako ya nne?

Sasa nani ashirikishe ubongo mzima?
 
marehemu muhamad ndio nani ..?!! alafu namlaumu nyerere kwa kukubali tanganyika yetu iungane na serikali iliyofanya mauaji makubwa kama haya

Marehemu Muham-mad (PBUH) ni mtume wenu nyie maislam.
 
Bado unajaribu kukimbia weye. Narudia tena: I will quote"An ethnic clensing event that targeted Muslims and Arabs" Niambie maana ya hayo maneno kwenye hiyo quote ya tube yako ya nne?

Sasa nani ashirikishe ubongo mzima?

nilishakujibu waliouwawa ni waislamu sababu znz ilikuwa na waislamu wengi mno.. na pia waarabu coz ndio walikuwa watawala ... mbona sentensi ipo wazi
 
Kwanini waseme WASILAMU kama sio kutangaza udini? Kumbe Uzanzibari ni USILAMU!!! na UARABU??!!!!
 
hatuna mtume anaitwa Marehemu Muham-mad na maislamu ndio nini ..???!

Pole sana. Allah wenu anamtume mmoja tu na jina lake ni Marehemu Muham-mad (PBUH). Maislam ni nyie muham-madans au wafuasi wa Muham-mad (pbuh)!!!
 
Kwanini waseme WASILAMU kama sio kutangaza udini? Kumbe Uzanzibari ni USILAMU!!! na UARABU??!!!!

Pole sana. Allah wenu anamtume mmoja tu na jina lake ni Marehemu Muham-mad (PBUH). Maislam ni nyime muham-madans!!!

Sio siri weye ni mgonjwa yaani unaweka coclusion alafu wageuza swali have you ever heard about open ended questions ??? ndio njia nzuri ya kufanya conservation na mtu ....ushauri wangu find a shrink
 
Ukweli ni kua Uhalifu wa kivita dhidhi ya raia ulifanyika Zanzibar. Watu wengi wasio na hatiya na ambao walikua wanajiendshea maisha yao waliuwawa bila huruma. Wahalifu bado hawajapelekwa kizimbani. Ocampo piga darubini hapo. Kitu kingine cha kuzingatia ni kuwa watu wa Zanzibar wenyewe ndio walioongoza haya mauwaji, ikiwa walipata msaada toka nje ni kwa maombi yao wenyewe. huu ndio ukweli.
 
Sio siri weye ni mgonjwa yaani unaweka coclusion alafu wageuza swali have you ever heard about open ended questions ??? ndio njia nzuri ya kufanya conservation na mtu ....ushauri wangu find a shrink

Do you use this pentobarbital or barbiturates?
 
Naona umekuja na ID mpya anyways ...marehemu muhamad ndio nani ..?!! kuhusu swala la mtume feki au original sitojadili sababu mada inahusu mapinduzi ya znz 1964 , kama wataka kujua ni mtume feki au original kaulize kule jukwaa la dini... alafu namlaumu nyerere kwa kukubali tanganyika yetu iungane na serikali iliyofanya mauaji makubwa kama haya ilahali alijuwa wazi ile serikali imeingia kimabavu pale
Marehemu Muhammad ni jambazi fulani lililojifanya mtume katika karne ya 6 na liliua watu wengi sana na kupora mali zao! Wewe kwako halikunyimi usingizi ila linalokunyima usingizi ni Nyerere kurejesha amani Zanzibar baada ya wao wenyewe kuuana wao kwa wao? Ama kweli kichwa chako kina kamasi badala ya ubongo!
 
Mbona hujaweka hata picha za waarabu walivyoua babu zetu kwa mamilioni wakati wa utumwa?
Justice is only too sweet when all actions are done in reverse!
Mkuki kwa kunguruwe yakhee!!!
 
Back
Top Bottom