FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Newton's Law of Motion.......
To every action there is always an equal and opposite reaction:
![]()
![]()
![]()
![]()
Nafikiri Waarabu walikufa wachache sana ukilinganisha na wao walivyouza na kuuwa watumwa.
Kuwasafirisha tu wakiwa Africa, wengi sana walikufa. Sasa kuwabeba hadi Arabuni ndiyo kasheshe.
Wengi sana walienda Uarabuni ila cha ajabu hatuwaoni au kuwasikia huko akina Michael Jordan....
Je wale Waafrica wote walioenda Uarabuni, walipotelea wapi?
Kama kawaida ya Mipingo. Unamhurumia Muarabu matatizo yake badala ya kujihurumia wewe na matatizo yako.
Umasikini na maradhi yamekuzunguka kibao. Leo unalia na matatizo yaliyowapata Waarabu kwa sababu tu kuna Film.
Hivi ukionyeshwa film ya utumwa utasemaje?
Kaangalie ile film ya utumwa alicheza Omar Sharrif iitwayo ASHANTI na pia angalia ile picha iitwayo LA AMISTAD.
Hivi hawa Waarabu, wao waliuwa wangapi huku Africa.......?????
Katika hizo picha ulizo bandika:
1) Ya kwanza inaonesha kundi la watu wamekusanyika kupiga picha, which was big event then. So, inamaanisha nini?
2) Ya pili ni ya kuchora, background ni milima, hiyo milima hakuna Zanzibar. "significance"?
3) "Masanamu yao yatafanana nao", yalitengenezwa lini hayo masanamu? na nani?