Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

Asante sana mkuu. hili suala la kupelekwa workshop USA alafu akazamia nililigusia humu watu wakaona kama vile tunawakatisha tamaa.
 
Umemwacha mke wako huku watu wanamkula umejiona mjanja. yaani nilikudharau pale upoamua kuzamia ukiwa na zaidi ya M7. Kwanza sijaaamini maana chai ni nyingi sana kwenye huu uzi.
 
[/QUOTE] Mkuu nimefuatilia toka episode ya kwanza. Baada ya kusoma hii na kabla ya kuanza episode ya tatu nina maswali mawili.
Hivi uliwapa passport yako polisi wa canada au uliachana nayo US kabla ya kuvuka boda?

Halafu hao polisi wa canada kukufungia na kukuacha uchi usiku mzima si udhalilishaji huo? Ni kwa nini walifanya hivi? Sikutegemea kama nchi kama canada inayoheshimu haki za binadam ingeweza kufanya hivi!!!

Nakupongeza kwa ujasiri!!!
 
Mkuu nimefuatilia toka episode ya kwanza. Baada ya kusoma hii na kabla ya kuanza episode ya tatu nina maswali mawili.
Hivi uliwapa passport yako polisi wa canada au uliachana nayo US kabla ya kuvuka boda?

Halafu hao polisi wa canada kukufungia na kukuacha uchi usiku mzima si udhalilishaji huo? Ni kwa nini walifanya hivi? Sikutegemea kama nchi kama canada inayoheshimu haki za binadam ingeweza kufanya hivi!!!

Nakupongeza kwa ujasiri!!!
[/QUOTE]
Hapo kama hauna afya nzuri muda huo wote lazima utaimba tu kikwenu. So kuachwa usiku ni kipimo cha kiafya yako kijeshi. Usiogope huko huko kwa mama yako.Uko kwa wanaume lazima uendeshwe kiume mkuu.
 

Yaani hata mimi kuna wakati nikisoma anachosema namuamini na kuna wakati simuamini!!! hasa hasa ukija kwenye uwezo wake wa kufanya maamuzi. Najiuliza ni kwanini katoa hii story kabla ya kupata papers na ku settle?

Maana huku JF ni kichaka cha wengi wakiwemo watu wa balozi mbali mbali. Balozi wana maofisa wa kuchimba habari mbali mbali zenye maslahi kwa nchi yao. Sasa watu wa ubalozi wa canada/US dar wakifuatilia huu uzi si unaweza kumharibia yeye na hao wazanzibari?

Hata hivyo nakutakia heri mpambanaji, kama kweli story yote ya kweli....
 
Hapo kama hauna afya nzuri muda huo wote lazima utaimba tu kikwenu. So kuachwa usiku ni kipimo cha kiafya yako kijeshi. Usiogope huko huko kwa mama yako.Uko kwa wanaume lazima uendeshwe kiume mkuu.
[/QUOTE]
Aisee....
 
Mkuu mzamiaji A3M we endelea kutuporomoshea ma-experience! Huku bongo maisha ni magumu asikwambie mtu, impact yake inaonekana katika fikra za wachangiaji ...too negative kwenye kila jambo! Wanaodai ni uongo wanataka kutuambia kuwa mzamiaji wetu anatumia movie fulani na google map kutueleza hii story?!

Na je mbona mara kadhaa amekataa kuwa yeye hana msaada wa maana kwa anayetaka kufuata nyayo zake! Vinginevyo tungedhani anajitengenezea mazingira ya kutupiga pesa. Naamini sehemu chache anazotufunga kamba ni pale anapohisi akiweka ukweli atajulikana, hiyo si mbaya!

Kikubwa ni watanzania tukubali kuwa bado idadi ya wenye uthubutu kwenda kusaka maisha nje ni ndogo mno, tumebanana hapa kutwa kusuguana na Jiwe, kila mtu mwanasiasa, wanasiasa wenyewe hawana jibu muafaka la kuyaboresha maisha yetu... So akijitokeza mwenzetu akapenya bourders atupe picha nasi twende tu kama wanigeria, wakenya, waganda...

Kama west africans wanajazana kwenye mitumbwi kuvuka bahari despite the death risk wakielekea ughaibuni, it's obvious huko kuna asali na maziwa ukilinganisha na maisha ya hapa nyumbani ya kufight ili kupata nyumba, gari na kusomesha watoto baasi! Bongo hamna kitu, chenga tu!! Bro A3M komaa sana huko and never regret for leaving back the family, God will bless you with time utakuwa nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kama ninyi huwa hamkosekani duniani hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
No tunakustua tu na tushayaona,sasa hivi ndo ilikua kipindi cha kupiga kimya kuhusu kilichotokea,mambo ya interview migration mwana ni siri yako tu.hamna cha kuwaambia room mate wako au yoyote,piga kimya na kuuliza ushauri mdogo mdogo si mbaya.

kuhusu kuchomana imo nisikudanganye mambo hayo wengi wamekutana nayo huko immigration na hao hao wakalimani ndio wakitoka wanaenda kuya expose mtaani kwa marafiki zao.
 
Asante mkuu,tatizo watu hawayajui haya mambo ya Kuzamia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe muongo sana
Mkuu acha kupotosha watu
Mkuu nilikuambia wewe muongo
Mkuu tabia ya kufanganya watu sio nzuri
Mkuu malengo yako toka post ya kwanza nikikuambia


Nasisitiza acha kudanganya watu
Huu uongo wako sio mzuri,kuna seheme mbili umeongea uongo.
 
@client3

Hiii hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila "connection" kutoboa ni mtihani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…