Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

Ukiambiwa uzungumze Kisomali na Msomali halisi itakuwa game over.
 

Kitambulisho gan anatumia mmarekani maana ndani ya nchi anatumia drive licence au ID anapokuwa marekani nje ya nchi anatumia passport ndo vitambulisho viwil vinatumika ebu niambie ktambulisho anachokitumia mmarekani kwenye mpaka?

Njia ya kwenda kwenye mpka wa canada na marekani kwa kutumia gari sawa nakubali swali ulipitaje border ya marekani maana hakuna njia ya vichchoro et nitatumia gar?

Mpaka wa marekani na canada hawaruhusu mtu kuvuka mpka kwa kutembea labda uwe na usafr kama gari lako ni sawa.

NB:canada hakuna mkimbizi kutoka marekani

Ukbisha weka vitambulisho hapa vya ukimbiz ulivyopewa canada
 

Nani alikuambia canada kuna kambi ya wakimbizi?

Ona unavyojisau kuongea
 

NAENDELEA KUSISITIZA KUWA CANADA HAUKUNA MKIMBIZI KUTOKEA NCHI YA MAREKANI NA KAMA UNABISHA TUONYESHE VITAMBULISHO VYAKO VYA UKIMBIZ WAKO WA CANADA

NA NINIAENDELEA KUKUSISITIZA CANADA HAKUNA KAMBI YA KUPOKEA WAKIMBIZI
 
NAENDELEA KUSISITIZA KUWA CANADA HAUKUNA MKIMBIZI KUTOKEA NCHI YA MAREKANI NA KAMA UNABISHA TUONYESHE VITAMBULISHO VYAKO VYA UKIMBIZ WAKO WA CANADA

NA NINIAENDELEA KUKUSISITIZA CANADA HAKUNA KAMBI YA KUPOKEA WAKIMBIZI
Siwezi kuanika kitambulisho changu hapa endelea kuamini na kuwaaminisha watu hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo huyaelewi nyamaza tu usitake kujifanya mjuaji mbele ya mashahidi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…