MAKANZU MAKANZU
Member
- Oct 23, 2019
- 64
- 33
kwa hiyo milioni 6 ungekomaa bongo ungetoka kitambo toa muendelezo
Tungekuwa tumetoboa wengi
kwa hiyo milioni 6 ungekomaa bongo ungetoka kitambo toa muendelezo
Sasa ulivyojisingizia kuwa ni shoga si itakuwa uliletewa mtu ili apprive na tangu hapo ukawa kweli au?
Ni wapi mtoa mada alisema kuwa Alisingizia yeye ni Shoga!??Sasa ulivyojisingizia kuwa ni shoga si itakuwa uliletewa mtu ili apprive na tangu hapo ukawa kweli au?
Mimi nimejipiga Kisomali mzeeSasa ulivyojisingizia kuwa ni shoga si itakuwa uliletewa mtu ili apprive na tangu hapo ukawa kweli au?
Kuna kabila Somalia linaitwa wabajuni ni kama kiswahili mkuu.Hao nao mafala sidhani kama wanakubali kuwa wewe ni msomali afu hujui kisomali
Sent using Jamii Forums mobile app
South Somali mpakani na North Kenya wanaongea Kiswahili!Hao nao mafala sidhani kama wanakubali kuwa wewe ni msomali afu hujui kisomali
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi Utakua Hujamuelewa Mtoa MadaSasa ulivyojisingizia kuwa ni shoga si itakuwa uliletewa mtu ili apprive na tangu hapo ukawa kweli au?