Hivi mada inahusu UCHAGAJI au KASKAZINI.Acha mzaha wewe, huwezi linganisha vijiji vya uchagani na vya kisukuma vilivyoanza kupata umeme wa REA
Ndiyo maana mwanzo nilisema kichwa cha habari kimekosewa
Hivi mada inahusu UCHAGAJI au KASKAZINI.Acha mzaha wewe, huwezi linganisha vijiji vya uchagani na vya kisukuma vilivyoanza kupata umeme wa REA
View attachment 450920
Hiyo ndo hali ya korogwe wakati wa xmass serikali imewagea pesa waende kwao Kula sikukuu
Usiseme ni ndoto. Inawezekana na itafikiwa. Maana mshaanza kujaa upepo wa sifaHao uliowataja bado wanatofauti kubwa na watu wa kaskazini, Wakinga wanapesa kweli lkn impact ya Pesa zao hazionekani kwn ushirikina ni tatizo, Mkinga hawazi kuwekeza kwenyew elimu ya watoto wake, na ndio wengi wanfilisika baada ya muda na hakuna cha maana walichoacha
Kutojenga kwao kwn pamoja na Pesa wanazopata lkn hawajengi kwao hivyo kuendelea kuwa duni.
Wapemba pia hawaoni umuhimu wa elimu ni tatizo.
Wahaya wamesoma kweli na hawana tofauti na watu wa kaskazini lkn selfishness ya kutoinuana lkn pia kutopenda kwao. Leo ukifika bukoba hutoamini km kunatoka wasomi.
Ni ndoto kuwafikia kimaendeleo kanda ya kaskazini kwani so swala la elimu na fedha tuu, lkn ni swala la mtazamo uliojengwa vizazi hadi vizazi, yani utafutaji na maendeleo nyumbani kwanza.
Miamia mkuu nakubaliana na wewe."Mikoa ya Kaskazini iliendelezwa kwa juhudi ya Wanakaskazini"
Huo ni Ukweli unaoleta furaha kwa Wanakaskazini na Maumivu kwa wana mikoa mingine.
Nitaelezea kwa Ushahidi ulio wazi kabisaaa!
Kwanza msingi wa maendeleo ni ELIMU NA MAARIFA.
Ni wazi kuwa mikoa/makabila yenye wasomi wengi ni ile iliyowapokea wamissionary mapema na kuwakabidhi Ardhi. Katika hiyo ardhi kila walipojenga Kanisa basi walijenga na shule au hospitali nzuri.
Mikoa hiyo ni Kilimanjaro, Arusha, Kagera na Mbeya. Hiyo ilitokea hasa katika miaka ya 1885 - 1900
SASA TUKIACHA ERA HIYO:
Wananchi binafsi wa Arusha na Kilimanjaro wana spirit na asili ya utafutaji wa elimu na mali na Maendeleo kwa juhudi sana (Hustles indeed)
Mifano ifuatayo inathibitisha hayo:-
1) KUJALI ELIMU
Kufikia uhuru wa Tanzania, tayari Kilimanjaro ilikuwa na shule (Kongwe) zenye sekondari kabisa zaidi ya 38 na vyuo baadhi Shule hizo ni kama lyamungo, Majengo, Kleruu College, MUCCOBS, Marangu TC n.k
Hizo zilijengwa kwa juhudi ya Wazazi na chama kahawa KNCU
Arusha kulikuwa tayari na shule zilizojengwa kwa Juhudi za wazazi kama Moringe Sokoine, Mringa Middle School, Monduli TC (ingawa pia serikali iliweka nguvu), Arusha Sec.school, Ilboru Sec. School iliyojengwa pamoja na kanisa la KKKT mwaka 1904
Kwa kuwajuza zaidi Ilboru sec.school na kanisa la Ilboru zilijengwa na wanawake (wamama wa kimasai) kutoka Kimandolu, Levolosi na Ilboru yenyewe, na ushahidi upo.
Pia Chama cha kahawa ARCU ilichangia sana maendeleo ya Arusha.
- Miji midogo wakati huo kama Monduli, Marangu, Machame, Ilboru na Akheri zilijengwa na juhudi ya wazee wa huko.
* Mfano tu, Monduli iliamuliwa kuwa mji mahali ilipo na Wazee wachache wa monduli akiwepo Sokoine.
Can you imagine mwaka 1970 tayari Sokoine alishaanzisha jengo kubwa kuwa Halmashauri ya Monduli kabla hata serikali haijaamua halmashauri iwe wapi.
Kina Lowassa na wengine walikuja tu kuendeleza zaidi.
* Kwa Upande wa Kilimanjaro, hasa Marangu akina Mareale walikuwa Mbali tu kiasi cha kuweza kujiongoza bila serikali ya JMT.
Mji wa Moshi ulikuwa mbaali kimaendeleo siku nyingi.
2) UHUSIANO WA KARIBU WA WANAKASKAZINI
Kingine kilichoiendeleza Kaskazini ni Interaction ya kuoana watu wa Kilimanjaro na wenyeji wa Arusha mjini, kwani wali utilize ardhi vizuri kuanzia enzi na enzi.
(Hata leo hii ukichunguza utagundua watoto wengi wa familia hizo ndio wamejaa serikalini, kwenye migodi ya madini, biashara n.k)
3) KUTOKUTEKWA NA USHIRIKINA
Wanakaskazini hawana asili ya "Ushirikina" na ukisikia mchaga, mmasai ama mwarusha analoga basi ujue amenunua uchawi.
Hakuna uchawi wa kutumia paka, Jini au Vifuu bila faida yoyote.
Mikoa kama Tabora chini ya machifu wao walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo kama alivyofanya chief fundikira (wajomba wa Samwel Sitta) na matunda yanaonekana hadi kuwasomesha akina Samwel Sitta (Hayati)
Mikoa mingine imekuja kuamshwa na hizi shule za kata, halafu inalialia kuwa Kaskazini inapendelewa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wengine Dini zao ziliwanyima Fursa ya kuishika Elimu dunia leo wanalialia na kuikumbatia elimu dunia.
Kumbukeni...Azimio la Arusha likija Arusha tyr Arusha ilikuwa na majengo makubwa na shule za kuwatosha watoto wa Chuga.
Someni Historia, Fanyeni tafiti kabla ya kuanza kulialia.
Japhet,nimeshaedit mkuuNi Joseph au Japhet Kirilo ?
Haha Nimesema Niko Ngarenanyuki kwa sasa na mishe zangu. Hivi arumeru zote mbili zina tarmac road namaanisha lami kuna lami huko au utasema hii main raod ya Nairobi to Dar.Mkuu unajua Arusha ina wilaya ngapi na unechunguza maendeleo yake?
Ni Arumeru magharibi, Arumeru mashariki, Monduli-Mto wa mbu na Longido.
Kote huko hakuna tatizo la maji, ardhi wala umeme kasoro Longido kidogo.
Inawezekana wewe unazungumzia Manyara.
Kuhusu Maendeleo Mwanza hilo lipo wazi.
Tukiacha kusimangana, ishu ni ELIMU ELIMU ELIMU. Then afya. Kisha miundombinu rafiki kwa maendeleo (kilimo cha umwagiliaji n.k.).Hata JPM afanye nini ni ngumu kuwazidi kaskazini, angalia uwanja wa ndege chato utaleta impact gani???
JK alijitahidi lkn leo hata baadhi ya miradi aliyokimbiza kwao imekuwa magofu....
Spirit ya watu hao wanaopwndelewa haijakaa kimaendeleo . by the way leo kila mkoa Tanzania watu wa kaskazini wamejaa cz wameona fursa na wanazikamatia,
Hata maendeleo ya dunia yakikua hivyohivyo. Jamii flani wanapigana na ingine ashindae anadhibiti zote 2.Binadamu ni watu wapuuzi sana,sasa kuna kipi cha kujivunia kaskazini cha kuanza kutukana mikoa mingine kuwa sijui wavivu, sijui hili, sijui lile?
nchi masikini kama tanzania hakuna cha kujivunia kwenye maendeleo, aya ni mashindano ya midgets kupimana nani mrefu.
Geor Davis ndio nani?Haha Nimesema Niko Ngarenanyuki kwa sasa na mishe zangu. Hivi arumeru zote mbili zina tarmac road namaanisha lami kuna lami huko au utasema hii main raod ya Nairobi to Dar.
Wee uombewe kwa Geor Davis hivi Monduli ni MTO wa umbu tu. Vipi loksare. Haha
In sawa na mtu wa Magu kusema Kisesa ni Taswira ya Magu nzima kusahau vijiji vya Ichobera.
Kabla ya ukoloni walishaanza biashara na waarabuMtoa thread ana inculcate spirit ya ukanda na Ukabila bila kujitambua. Mpishano wa kimaendeleo ni mlundikano wa factors nyingi sana! Mtoa mada anamawazo ya Kikoloni Tena yanauono wa Kibaguzi sana! Hana tofauti na wale wanaoamini ktk Hamitic Myth kuwa watu wa race fulani ni superior na ndio wenye fikra za kimaendeleo kuliko wengine! My friend, Kaskazini na Wanakaskazini ni Watanzania na they have nothing unique except favour due to colonial regionalism which favoured that part of the country basing on their own colonial reasons and marginalising other areas. Nani alichagua kuzaliwa mahali au Kabila hilo hata apate courage ya kujinasibu mbele za watu Timamu? Stop being mkoloni ktk fikra zako za kiafrika! North is nothing out of JMT
Hilo linakukera eeh!!!Sku hizi naona ishu sio idadi ya wanaogombania mabasi ubungo (hilo bado lipo). Sasa ni kupima foleni ya magari kurudi Kaska msimu huu wa krsmas.
Ipo siku jam itakua Dar hadi Korogwe krismas. Ila Magu anajitahd mtanyooka
Endelea kukosoa kama utaficha ukweli wa vumbi la umasaini na Arusha kwa ujumla. Kazania kusifia MoshiGeor Davis ndio nani?
Loksare ndio nini?
Taja 10 wa DarHata hiyo mikoa mingine utakuta kati ya matajiri kumi huwezi kukosa wawili mpaka watatu wana asili ya kaskazini
Haikua uhuru bali ardhiNa mmeru alikuwepo alieenda kudai Uhuru wa wameru
Sentensi ya pili na 3 zina uongo mwingi. Shule 1000? Asilimia 40%? Rudi fanya homework yakoMwaka 1926-1928 wachaga tayari walikuwa na gazeti likiitwa Kwakya kama sijakosea likiwa na maana ya kumekucha.
Shule alizotaja ni chache sana zipo shule za kale 1,000 zaidi katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro shule kama Makumira na Enaboishu ni za zamani sana. Pia shule zote za serikali hasa zile za zamani zilikuwa mali ya makanisa. Angalia kwa sasa kila wanafunzi 100 walio Universities hapa Tz basi 35 hadi 40 wanatoka kaskazini.
Huyo ni mlinzi wako lakini ana kaka yake yupo mererani ana mgodi au ana mabucha ya nyamaHaha mi walinzi wangu ni Wamasai nawalipa 80000/ kwa mwezi haha na walinzi wawili from Arusha so cheap. Msukuma hawezi kubali this kind of cheap labour.
kila mmoja anajitahidi kuleta mchanganuo wake nami nimeleta wa moshi vijijini.Thought ni kaskazini pia na wao tunawasubiri akina Mshana Jr wachangie nao na watu wa tanga pia.Hayo maeneoni ya Ukanda wa Kaskazini au ni ya MOSHI.
Hii post inachanganya. Inaongelea maendeleo kanda ya kaskazini ilhali mifano yote ni moshi na kwa mbali Arusha mjini.
Hivi mikoa ya Tanga na Manyara ipo ukanda gani?
Wamabg'ati Watindiga na Wairak wapo kanda ipi na vipi maendeleo yao yakoje.
Tukiongelea ukanda tuongelee maeneo yote na si wilaya moja.
Hivi kipato cha wilaya za same na mwanga kwa pamoja kinaifikia wilaya ya kahama au hata ya mahenge.
Huu uzi ubadilike uwe specific. Badala ya maneno UKANDA WA KASKAZINI iandikwe HIMAYA YA WACHAGGA ambako mgeni haruhusiwi kumiliki ardhi kama ilivyo Pemba.
Haha Mlinzi wangu toka Arusha Siku moja aliniambia anadawa ya kukuza dudu nikamjibu langu linanitosha haha.Huyo ni mlinzi wako lakini ana kaka yake yupo mererani ana mgodi au ana mabucha ya nyama
Wasukuma waliopo Arusha wanalisha ng'ombe hawa wa sedentary halafu kaka zao wapo wanalima na kupalilia majaruba ya mpunga.