Hao uliowataja bado wanatofauti kubwa na watu wa kaskazini, Wakinga wanapesa kweli lkn impact ya Pesa zao hazionekani kwn ushirikina ni tatizo, Mkinga hawazi kuwekeza kwenyew elimu ya watoto wake, na ndio wengi wanfilisika baada ya muda na hakuna cha maana walichoacha
Kutojenga kwao kwn pamoja na Pesa wanazopata lkn hawajengi kwao hivyo kuendelea kuwa duni.
Wapemba pia hawaoni umuhimu wa elimu ni tatizo.
Wahaya wamesoma kweli na hawana tofauti na watu wa kaskazini lkn selfishness ya kutoinuana lkn pia kutopenda kwao. Leo ukifika bukoba hutoamini km kunatoka wasomi.
Ni ndoto kuwafikia kimaendeleo kanda ya kaskazini kwani so swala la elimu na fedha tuu, lkn ni swala la mtazamo uliojengwa vizazi hadi vizazi, yani utafutaji na maendeleo nyumbani kwanza.