Naona mashambulizi kwa sisi "Northeners" yanazidi kushamiri. Sitetei ukanda ila ni muhimu kwetu kama Wakaskazini kuwa wamoja zaidi kuliko kipindi chochote bila kujali dini na makabila yetu huku. Ni vyema tuzidi kushirikiana na kusaidiana inapobidi, tusiangalie huyu ni mchaga, muarusha, mmeru,mmasai,mpare,muiraqw,Msonjo, wasambaa, wadigo nk. Tuendelee kushikamana na kuendelea kujazana spirit ya maendeleo.
Si lengo langu kutenga kanda zingine, ila wanaonekana wazi kuwa na chuki za wazi kwa kanda yetu hii.