Ukweli kuhusu formula ya maisha na mafanikio

Iyo
Iyo unayoita ww bahati ndo spritual yenyewe sasa we fight alaf your weak spritual uone vile utadunda komaaa
 
Light can't exist without darkness, but darkness exists without light. That's why, wherever you remove light darkness takes it's place. This meant that, light comes to balance darkness in nature not to remove ut

What are you talking about, even? Mpaka nimejaribu kuongeza volume hadi mwisho lakini wapi!
 
Billget Hana dini apo vipi?
 
Ukiisoma LAW OF CAUSE AND EFFECT ukaielewa vilivyo, halafu UKASOMA VITABU VYA LUCIFERIANISM ukavielewa, NAKUHAKIKISHIA utaacha kuishi maisha YA KU-WISH na Kuanza kuishi MAISHA YA KU-CAUSE AND INFLUENCE RESULTS (CHANGE)
 
Ukiisoma LAW OF CAUSE AND EFFECT ukaielewa vilivyo, halafu UKASOMA VITABU VYA LUCIFERIANISM ukavielewa, NAKUHAKIKISHIA utaacha kuishi maisha YA KU-WISH na Kuanza kuishi MAISHA YA KU-CAUSE AND INFLUENCE RESULTS (CHANGE)
 
Iyo

Iyo unayoita ww bahati ndo spritual yenyewe sasa we fight alaf your weak spritual uone vile utadunda komaaa
Anapaswa kujua kwamba probability of success kama mtu hajishughulishi, amekaa tuu akiongoja bahati nasibu, ni almost ZERO. On the other hand, if you work hard, the probability shoots up exponentially to almost 1. "Mtembea bure si mkaa bure, huenda akaokota!" See what I'm sayin'?
 
Anapaswa kujua kwamba probability of success kama mtu hajishughulishi, amekaa tuu akiongoja bahati nasibu, ni almost ZERO. On the other hand, if you work hard, the probability shoots exponentially to almost 1. See what I'm sayin'?

You can work hard and still not succeed..you succeed only when you work hard on your strategies
 
Spiritual imetokana na neno Spirit.. kila mtu ana Spirit.
Cha msingi ni kuangalia je spiritual power yako ipo weak au strong je ksma ipo weak nini kimesababisha na Kama ni strong hiyo strongnes inatoka kwa nani??
Utaangaliaje Kama iko weak au strong, leta Mbinu za kuangalia Kama Spiritual power ipo strong au weak.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Billget Hana dini apo vipi?
Kuna somewhere ana believe ni siri yake by the way kuna watu wanazaliwa strong spritual tunasema wana kisimart ila ss wengine dil izo formula apo juu alaf spritual sio dini bali nguvu ya kiroho mkuu
 
Hard work siyo tu "implementation of strategies," bali kuweka great deal of effort ama endurance kwenye kile unachofanya, regardless of strategy. Mtu anaweza kuwa na zero strategy na bado akawa unparalleled hard worker.
 
Acha uongo mzee , bahati na sibu ni Nini na inatokana na nini au inaongozwa na Nini? Mdau yupo sahihi kabisa . Defend kwa hoja zako ili nami niifahamu hiyo bahati nasibu ni kiti gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mada inabidi iende jukwaa la intelligence maana ni pana sana anyway ili kukuza awareness kwenye maswala ya spiritual soma vitabu hivi
~The secret cha Rhonda byren,
~ Seven spiritual law of success cha deepak chopra
~Creative visualization by Shakti Gawain

Unaweza kuanzia na hivyo
 
Kuna somewhere ana believe ni siri yake by the way kuna watu wanazaliwa strong spritual tunasema wana kisimart ila ss wengine dil izo formula apo juu alaf spritual sio dini bali nguvu ya kiroho mkuu
When focus & concentration become one's unwavering religion, success becomes inevitable.
 
Acha uongo mzee , bahati na sibu ni Nini na inatokana na nini au inaongozwa na Nini? Mdau yupo sahihi kabisa . Defend kwa hoja zako ili nami niifahamu hiyo bahati nasibu ni kiti gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko correct sana. Mtu aliyezaliwa kwenye familia yenye uwezo yuko most likely kufanikiwa. Ndiyo maana wao watu wengi kwenye nchi za Afrika, wana uwezo mkubwa wa akili, lakini hawakuwa na uwezo wa fedha wa kujiendeleza kimasomo au kibiashara.
 
Mtoa mada upo sahihi kabisa. Wengi tunahangaika kutafuta mafanikio na vitu nje ilihali nguvu ya kuvivuta hivyo vitu tayari ipo ndani (spiritual power).

Halafu lile kundi linalotazama tu bila kuelewa vitu kama hivi wanakomaa kusema flani ana bahati.

It's not luck!!

Umenigusa sana mkuu. Nimekuwa mtu wa kuitabiri future yangu tokea nikiwa young na mambo kutokea kama ninavyotamka.

Spiritual power
Intelligence
Hardwork

Ukiwa vizuri spiritual power na intelligence, huwa hauhitaji Ile Hardwork ya kupitiliza. Unaweza fanya jambo dogo la kawaida likakuletea pesa siyo ya kawaida.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…