Mkuu haya mambo ni mazito ukiyaendea kichwa kichwa....unahitaji supu ya sisimizi kuyaelewa ,

Ni hivi,The term "orbit" manake ni ile njia ambayo object moves around a point in space on a certain path.
Mara nyingi center point hii is like an object - - or, in a binary system, a point in space called a barycenter,tunapenda kutumia neno hili kumanisha kama centre yenye nguvu katika galaxy au space ambayo inazifanya both bodies ku orbit mule.
The barycenter ipo located kwenye system's center ya mass mzima ya galaxy husika.
Commonly cited examples of orbiting objects are the ones you gave names kama moons, planets, and stars. But all of these objects orbit a center point.
Swali jingine unaweza kujiuliza ninkwamba, If the universe has no center point, what can galaxies orbit? Each other? ........??? ....?? a Question actually.....
Lakini......
In some cases, this is true. The Milky Way inakuwa orbited by some smaller "satellite" dwarf galaxies, kama the Large and Small Magellanic Clouds. Pia Andromeda, ambayo ndo galaxy ambayo ipo nearby spiral galaxy,hii Andromeda inaizunguka milky yetu ila sasa kuna kizaaza huko mbeleni utaona,Andromeda inakuwa kama Satellutes kwa Milky way galaxy kwa sababu huwa inatuzunguka .
Lakini kuna swali pia hapa unaweza jiuliza piak kuwa do the Milky Way and Andromeda orbit anything? No.
The Milky Way and Andromeda are part of the Local Group, our local galaxy cluster. They are gravitationally bound to each other( Ziko bound each other kwa force tata sana...
There is a center of mass in the Local Group, kama ilivyo kwenye stellar system.Lakini sasa in the Local Group, the Milky Way and Andromeda are actually coming towards each other.( Zinaonekana kusogeleana kwa ukaribu sana hivyo kunaweza tokea collision kubwa sana hapa baadae na kupelekea ku merger,na hiyo inasemekana kutokea billions of years in the future.
On a larger scale, the Local Group is part of the Virgo Supercluster( Kuna galaxy nyongi saa kwenye huu ukanda) yani it contains many other galaxy clusters. It, too, has a center of mass. But all the galaxy clusters are not "orbiting" this center of mass. They are merely bound together, thanks to gravity.
But on an even larger scale,kuna "filaments" ambazo zimekuwa created out of long lines of galaxy superclusters.In fact, at even larger scales, the universe is thought to be homogenous -( Ndo mana tunasema Universe yetu ni homogeneous yani imejibalance pote) tena katika directions zote .
There is no single point in space that is the center, like you said, or that is different rom all the others.
Of course, the universe is thought to be expanding. In that case, not only are galaxy clusters and superclusters not closely orbiting each other, but the space between them is causing them to move further apart!
That is how the universe look like...
Kwa hiyo kutokana na ukaribu huu wa Milky way yetu na Andromeda ipo siku miaka ya mbele huko kutatokea collision ya maana ndo utakuwa mwisho wetu pengine Tutakuwa tushahamia Galaxy za mbali huko..
So hapa chini ni picha inayoonesha ukaribu wa hizi galaxy mbili..
View attachment 994592
Sent using
Jamii Forums mobile app