Travis 1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 872
- 1,349
Heshima yako kiongozi,nakufatilia kwa ukaribu sana.Mkuu ngoja nitaielezea kwa ufupi sana hii kitu...na sio Satellites tu zinazopiga picha ya solar system ,bali satellite zote ambazo zinaruka kwenye space zinakuwa sehemu moja au tofauti kulingana na ugumu wa lainchong system zake...
Wanasema hivi Launching into a polar orbit is more difficult than launching into an equatorial orbit, due to the motion of the Earth.Motion ya Earth katika Polar Inakuwa na massive gravity kuzidi ile ya propulsion na inaweza ikaifanya satellite isiwe stable kwenye Orbit zake ...Remember magnetic fields zinatoka North kuelekea south Via Ecuator...kwa hiyo kama sateite itajideposit kwenye South itasuffer massive Attraction hence kuzifanya ziwe unstable kwenye orbit zake...
Ila nyingi zinakuwa at the ecuator kwa sababu effects ya magnetic potential inakuwa ndogo ndo mana zinakuwa katikati...
Ila kuna exception ya LEO satellite,this bwana ni satellite pekee ambayo has a real reason to be over the poles. In fact,wanasema kuwa kwenye southen pole kuna bebris nyingi sana ( object nyingi zinavutwa kuelekea southen poles kwa hiyo zinaweza zikasuffer mgongano kisha kuzifanya zikahama orbit yake hata kama kuna force inazishikilia ,kumbuka magnetic force inayozifanya ziendelee kuwa kwenye orbit ni ndogo kucompare na debris nyingi zinavyovutwa kuelekea kwenye southern pole make field lines of forces zinatoka North kuelekea sourth,sijui hapa umepakumbuka hasa Physics)
So kuna debris nyingi sana near ring around the poles, indicating that a fair amount of debris comes close to the Noth or Ecuatorial region..
LEO satellites are frequently put into a 98 degree inclination orbit known as Sun Synchronous..
Hata Satellite zinazoenda masafa ya mbali ni hivo hivo kuwa Southern pole inavuta debris kwa force kubwa sana hence wanaamua kuziposition at the ecuator zaidi au chache at the North kuliko southern...
Sijui kama nimeeleweka...
Sent using Jamii Forums mobile app