Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,019
- 15,234
Unaweza kuielezea hii?
the tips prove earth is round
View attachment 988610
the tips prove earth is round
View attachment 988610
Mheshimiwa! Kisije kikawa kirusi hiki maana kila ninapobahatika kuona uwepo wako nakuona na hili dokezo.kuna siri zadunia zipo hapa gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
Vipi kuhusiana na Alexandra Gleason's map ambayo ni ya mwaka 1892. Ramani ambayo inapingina na heliocentric theory. Aliyefanya utafiti wa hii ramani na aliyeichora utafiti wake ulisema Jua linatembea na Dunia ipo stationary. Ajabu vipimo vyake yeye vilivyosema Jua linatembea na nyakati zinazoonesha kwenye mzunguko wa mwaka kama kwa equinox na mengine yapo sawasawa na view yetu inayosema Dunia ni tufe. Ila huyu Alexandra kwake yeye Dunia ni tambarare na stationary.In addition hapo ulipoongelea ..ni kwamba Effect ya gravity ina depend na factor moja kubwa sana ambayo ni weight( uzito) wa kitu ...
Kama una mass kubwa ,gravitation effects itakuwa kubwa kwako kuliko kitu chenye uzito mdogo..
Refer gravitation mechanics...
kitu chenye uzito mdogo( mbu,manyoa,sijui nini na nini ) vina uzito mdogo hivyo kusufer gravitation effects inakuwa ngumu sana.....
Halafu kitu kingine kinachosababisha Gravitation iwepo ni kwa sababu una experience mass effect...
Usingekuwa na mass wala gravity usingeihisi katika maisha yako...
Gravity is the product of spacetime bending ...
The distortion of spacetime ndo tunapata pulling effects( gravity ) ambayo force yake ndo tunaita gravitational force..
The more you have weight the more una suffer gravity effects...and vice versal...wadudu hawajui kama kuna gravity ..
Ila kuna mechanism za antigravity ambazo ndo watabe hawataki kutueleza make ukizijua tu hata wew hutasufer hiyo gravity effects...utakuwa na uwezo wa kuruka juu bila shida yoyote. ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabla ya kuendelea na mengine naomba nikuhakikishie kuwa Jua lipo katika motion..Vipi kuhusiana na Alexandra Gleason's map ambayo ni ya mwaka 1892. Ramani ambayo inapingina na heliocentric theory. Aliyefanya utafiti wa hii ramani na aliyeichora utafiti wake ulisema Jua linatembea na Dunia ipo stationary. Ajabu vipimo vyake yeye vilivyosema Jua linatembea na nyakati zinazoonesha kwenye mzunguko wa mwaka kama kwa equinox na mengine yapo sawasawa na view yetu inayosema Dunia ni tufe. Ila huyu Alexandra kwake yeye Dunia ni tambarare na stationary.
Hiyo haitoshi, ramani yake jinsi ilivyo kaiweka katika mfumo wa saa yaani 24 hr na akaweka maelezo jinsi Jua linavyo rotate na misimu inavyopatikana na misimu yake ipo sahihi kama ramani za sasa hivi. Na inaonesha jinsi ya kukokotoa masaa kiulimwengu kadri Jua linavyo rotate. Ajabu zaidi ni vipimo vya bara la Australia na umbile la hilo bara vinaendana na vipimo vya sasa hivi walivyopima wenyewe Waustralia kwamba Australia ni bara ambalo ni refu si pana kama ramani ya sasa hivi na vipimo vya sasa hivi ambavyo vinasema Dunia ni tufe. Ila hii Ramani ilifichwa. Haya mambo yapoje na una yaangaliaje?
Na ni lipi umbile(umbo) sahihi la Dunia?
Mkuu, unaposema chini ya dunia au juu ya dunia unamaanisha nini!?Nina swali kidogo juu hii mada wakuu naombeni kujuwa .
Dunia ni duara kama tunavyoaminishwa na elimu yetu inavotuambia, mpaka wataalamu wa anga wameweza kutuma sattelite mbali na uso wa dunia inayozunguka juu kwa juu.
Sasa kama dunia ni duara na duara lenyewe lipo katika space ambayo ni kubwa kiasi kwamba dunia inakuwa inaelea .
Kwanini zile sattelite azina uwezo wa kuzunguka labda mpaka chini yaani naanisha katika ile space sattelite zipte kwa kuzunguka na kuonyesha kwa chini ya dunia.
Lakini zenyewe izo sattelite zinaonesha tuu kwa juu na sio chini uku chini kulikoni akufikiki au inakuaje.
Kwa ambaye ana uwelewa kidogo na ameelewa swali langu tadhali anipe msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app


Mkuu dunia inaelea katika space kama cjakosea iyo space ndo anga hewaMkuu, unaposema chini ya dunia au juu ya dunia unamaanisha nini!?
Dunia inaelea, hakuna juu wala chini!!
Infact kote ni juu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Agree.Kwanza kabla ya kuendelea na mengine naomba nikuhakikishie kuwa Jua lipo katika motion..
Nothing is at rest ,Everything in this universe ipo katika mwendo...asije akakudanganya mtu kuwa kuna kitu kimerest...
The planets keep surrounding the Sun under Their planetory system ndani ya solar system lakini hata jua nalo lipo katika mwendo katika mzunguko wake ambao ni ngumu kuudetect kwa staili ambayo tunadanganywa...
Kila components kwenye galaxy ipo katika centric system ,kama galaxy zote zipo kwenye mwendo kulingana na gravity system ndani yake sasa iweje jua liwe stationary...??
Tukubaliane na hili kwanza la Jua kuwa katika mwendo (wake )ina siyo kuwa lipo stationary ...ndo nitachangia kuhusu Dunia kuwa Duara au flat...
Sent using Jamii Forums mobile app
unaaamini kwanza juu ya hiyo kitu au..?Agree.
Lakini kabla ya kuendelea fafanua hii: "jua nalo lipo katika mwendo katika mzunguko wake ambao ni ngumu kuudetect kwa staili ambayo tunadanganywa..."
Sorry, si vibaya swali hili nalo ukaliunganisha na jawabu la swali la post #108.Kwanza kabla ya kuendelea na mengine naomba nikuhakikishie kuwa Jua lipo katika motion..
Nothing is at rest ,Everything in this universe ipo katika mwendo...asije akakudanganya mtu kuwa kuna kitu kimerest...
The planets keep surrounding the Sun under Their planetory system ndani ya solar system lakini hata jua nalo lipo katika mwendo katika mzunguko wake ambao ni ngumu kuudetect kwa staili ambayo tunadanganywa...
Kila components kwenye galaxy ipo katika centric system ,kama galaxy zote zipo kwenye mwendo kulingana na gravity system ndani yake sasa iweje jua liwe stationary...??
Tukubaliane na hili kwanza la Jua kuwa katika mwendo (wake )ina siyo kuwa lipo stationary ...ndo nitachangia kuhusu Dunia kuwa Duara au flat...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina swali kidogo juu hii mada wakuu naombeni kujuwa .
Dunia ni duara kama tunavyoaminishwa na elimu yetu inavotuambia, mpaka wataalamu wa anga wameweza kutuma sattelite mbali na uso wa dunia inayozunguka juu kwa juu.
Sasa kama dunia ni duara na duara lenyewe lipo katika space ambayo ni kubwa kiasi kwamba dunia inakuwa inaelea .
Kwanini zile sattelite azina uwezo wa kuzunguka labda mpaka chini yaani naanisha katika ile space sattelite zipte kwa kuzunguka na kuonyesha kwa chini ya dunia.
Lakini zenyewe izo sattelite zinaonesha tuu kwa juu na sio chini uku chini kulikoni akufikiki au inakuaje.
Kwa ambaye ana uwelewa kidogo na ameelewa swali langu tadhali anipe msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya hapa kuna swali post# 110.unaaamini kwanza juu ya hiyo kitu au..?
Jua haliko stationary kama tunavyoakalilishwa...
Everthing kwenye galaxy kipo katika circular motion....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na wewe unaamini kuwa jua lipo stationary...? nataka nijue wapi unasimamia ili tufafanuliane vizuri mkuu...Kabla ya hapa kuna swali post# 110.
Yes, the Sun - in fact, our whole solar system - orbits around the center of the Milky Way Galaxy. We are moving at an average velocity of 828,000 km/hr. But even at that high rate, it still takes us about 230 million years to make one complete orbit aroundthe Milky Way! The Milky Way is a spiral galaxy....did you know??Kabla ya hapa kuna swali post# 110.
Hayo ni maswali tu ili nipate kuelewa zaidi.Kwa hiyo na wewe unaamini kuwa jua lipo stationary...? nataka nijue wapi unasimamia ili tufafanuliane vizuri mkuu...
Did kepler say so...??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sayansi inahitaji Ushahidi, how can we prove this?Yes, the Sun - in fact, our whole solar system - orbits around the center of the Milky Way Galaxy. We are moving at an average velocity of 828,000 km/hr. But even at that high rate, it still takes us about 230 million years to make one complete orbit aroundthe Milky Way! The Milky Way is a spiral galaxy....did you know??
Sent using Jamii Forums mobile app
hebu tuone vitabu vya dini Mwenyezi Mungu anasemaje maana yeye ndiye kaumba kila kituFAHAMU UKWELI KUNTU KUHUSU DUNIA YETU.
Watu walio wengi wanajua dunia yetu ina umbo la sphere yaani ipo flattened kwa top, sio duara kabisa. Ila kuna facts 200 ambazo zinasema ukweli kuhusu dunia na kusema ya kuwa dunia ipo bapa yaani flat na sio sphere au duara kama tulivyozoea.
Kama dunia ingekuwa inazunguka eastwards at 1000miles/hour basi;
> Hekicopter zingekuwa zinatulia angani na kusubiria mji wanaotaka wafike ukufikie.
> Kwa hyo spidi hapo juu inatakiwa mtu aifeel maana ni spidi kubwa sana.
> Dunia inazunguka kuelekea east, hvyo ndege ikipaa west na ikawa inalekea east na ikawa inatembea 500miles/hour basi basi destination yake inatakiwa iwe inaiacha mara mbili maana spidi ya dunia kuzunguka ni kubwa.
kwa upande wa gravity.
> Wanasayansi wanasema gravity ni kubwa sana inashikilia majengo, maji yaliyopo baharini na kadhalika ila hyo gravity imeshndwa kushikilia vitu vidogo kama wadudu, ndege mnyama na samaki waliopo baharini.
ukweli kuhusu flight mbalimbali
> Hakuna flight inayopita juu ya antarctica, mtu akitokea south africa anaenda south america lazma apitie kwanza europe ili kurefuel kwanini akati kutokana na shape ya dunia yao huyo mtu anaeza akanyooka moja kwa moja.
> Kwa dunia ya flat ukitoka south africa ni straight hadi south america na europe ipo katikati.
> Kwa dunia ya flat antarctica continent ndo kwenye ukingo wa dunia na ukipitiliza umetoka duniani, hivyo basi hata wataalam wanaamini ya kwamba ndege ya malaysia na yenyewe ilipoteza dira na kupita juu ya antarctica hvyo kutoka nje ya dunia.
Wanasema pia ili mwezi upatwe lazma dunia iwe katikati ya jua na mwezi.. ila kuna cases kibao mwezi unapatwa na watu ambao kwa bado ni mchana wanauona mwez juu.....
Hayo ni machache tu kwa leo... the shape of the earth its computerized.. the picture of earth from the moon its made in hollywood studios.
unajua atmosphere ni part ya dunia na hata ndege huwa zina paa ndani ya eneo la dunia ndiyo maana still huwa tunapata oxygen hata ndani ya ndege juu angani. Dunia inavyorotate na all of its component zinaenda na mwendo wake zikiwemo ndege zipaazo angani oxygen n.k..tusitumie notes za shule hapa mkuu... okay kwa mfano upo juu ya semi trailer alaf gari linatembea, upo kwenye kichwa cha semi unataka ufike mwsho! ukiruka juu si utafika mwsho wa semi trailer kama linatembea? wanasayansi wanasema maji ya bahari yanashikiliwa na gravity? hyo gravity ni kubwa kiac kwamba haao samaki wacngeweza kumove.
Milky way ni spiral galaxy kwa hiyo katikati yake kuna central bulge,ambapo hiyo spiral form ina 4 major arms, and several shorter arm segments,kwa hiyo sasa The Sun (and, of course, the rest of our solar system) is located near the Orion arm, between two major arms (Perseus and Sagittarius). angalia picha chini utaona ...Hayo ni maswali tu ili nipate kuelewa zaidi.
Nipo tayari kupokea maarifa mapya, nifunze.
ushasema inazunguka na ww na vinginevyo vilivyomo. so kila kila kimoja kitabaki katika nafasi yake. kuweza kufikiana lazima kuwe na extra force kama kutembea, kusafiri n.kMkuu hapa sijaambulia hata moja !
Bado nina maswali mwengi ambayo hayana majibu ....
Kama dunia inazunguka,inazunguka na sisi ?
Kama inazunguka na sisi kwa nini tunasafiri kwenda sehemu flan ?