Ukweli kuhusu dunia (earth)

Ukweli kuhusu dunia (earth)

Ume ni
Biblia inasema siku atakaposhuka Yesu Masihi kila jicho litamuona na wao wanamuandaa yesu feki ambaye akitua ulaya afrika haitamuona lakini Biblia imesema wote tutamuona kwahyo niwazi dunia sio tufe ila hii kutufundisha Kuwa tufe ili watakapomleta huyo fake tuamini hatuwezi muona kwani dunia ni tufe. Ni hivo tu kama utakubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenishake kidogo
 
Bro fanya utafiti kwanza, unasema asilete habari za kwenye vitabu wakati hata wewe hayo mambo umeyasoma sehemu fulani....

Ukiwa kwenye gari ambalo lipo kwenye mwendo na wewe pia unakuwa kwenye mwendo sawa sawa na lile gari.... ndio maana gari likifungwa breki ghafla utajikuta kama unavutwa kwenda mbele ni kwa kuwa wewe bado unakuwa upo kwenye mwendo wakati gari linakuwa limesimama. Pia hiyo ndio sababu ikitokea gari limegonga kitu mfano ukuta watu waliopo ndani ya gari kurushwa kupitia kioo cha mbele, hiyo ni kwa kuwa gari linakuwa limesimama ghafla huku likiwaacha wao wakiwa kwenye mwendo.

mfano wako huo uliotoa ni kwamba ukisimama juu ya hilo gari ambalo lipo kwenye mwendo halafu ukaruka juu basi utatua pale pale kwa kuwa na wewe pia unakuwa kwenye mwendo sawa sawa na hilo gari.

mkuu msome Newton na umm Anachosema ni kweli tumedanganywa na wasayansi wa nao fuata matakwa ya OCALTED SOCIET zinazo endesha mifumo ya kidunia lengo lao ni kuwafanya wengi wawe wajinga kupitia mifumo duni ya Elimu ndio maana mpaka sasa tuko nyuma ya wakati ningependa kuona waafrika tukiamka na kuchimba mambo kwa kina kuliko kuamini kila kinacho fundishwa mashuleni na meneo mengine yaliyo rasmi tufahamu kuwa walioko juu hawataki tufike huku walipo tujifunze kudadisi mambo ya kilimwengu By African Genius NCHAGWA WARYOBA MARWA Watsap n.o 0767986219
 
Back
Top Bottom