Ukweli kuhusu dunia (earth)

Ukweli kuhusu dunia (earth)

MKUU..! HUO NI UPOTOSHAJI.

Kuhusu speed
Unasema; > Hekicopter zingekuwa zinatulia angani na kusubiria mji wanaotaka wafike ukufikie. Kwa hyo spidi hapo juu inatakiwa mtu aifeel maana ni spidi kubwa sana.

Hebu fikiria upo kwenye gari lenye mwendo fulani (lets say 80km/hr),na ndani kuna nzi anaranda randa tu humo, tuchukulie huyo nzi yupo mbele kwa dereva na anataka aifike siti ya nyuma, je, kwa huo mtazamo wako unafikiri ataweza kuifikia hiyo siti kwa kuruka na kuganda hewani na kusubiri siti ya nyuma imfikie mahali alipo kisha atue, bila yeye kusafikiri kutoka mbele hadi nyuma kwenye hiyo siti?

Pili, Kuna ndege inaitwa North American X-15, nafikiri ndiyo ndege inayoongoza kwa speed kubwa, inatembea kwa 7,200 km/h.
View attachment 466011
Hiyo sio speed ndogo mkuu, sasa tuchukulie upo humo ndani, unataka kuniambia utaifeel hiyo speed eti kwa sababu tu ni kubwa?

Kuhusu gravity
Unasema;Wanasayansi wanasema gravity ni kubwa sana inashikilia majengo, maji yaliyopo baharini na kadhalika ila hyo gravity imeshndwa kushikilia vitu vidogo kama wadudu, ndege mnyama na samaki waliopo baharini.


Kwanza, unatakiwa ujue kuwa force ya gravity huathiriwa na medium (fluids), hapa nina maanisha kuwa kitu kikiwa kwenye fluid(hewa au kimiminika) yeyote huwa kuna force inayokinzana na gravity, inaitwa upthrust, kiwango cha upthrust kinategemea nature ya fluid yenyewe(viscosity), pamoja na mass ya kitu chenyewe.
Halafu pia ujue kuwa gravity haijashindwa kushikilia vitu vidogo, hao wadudu na ndege wanaoruka huruka kwa msaada wa hewa (inayo-offer upthrust kwa msaada wa mabawa yao), and trust me, isingekuwa hewa wasingeweza kuruka. Na huwa wanatumia nguvu kubwa kupata momentum ya kuruka juu kukinzana na gravity, hadi watakapopata desired momentum ndio wanarelax. Lakini kwa wadudu wadogo sana garavity huwa inaeffect ndogo sana kwao(kama jinsi ilivyo kwa unyoya mwepesi unaoelea angani),hii ni kwa sababu hewa inakuwa inaoffer upthrust kubwa inakaribiana mno na gravity. Ndio maana wadudu kama mbu,utaona kama hawathiriwi na gravity, ila sio kweli. Effect huwa ipo ila nayo inakuwa cancelled na upthrust ya hewa.
Mfano wa nzi ni mfu kumbuka wanasayansi wametuambia tupo nje ya dunia sio ndani ya dunia. Kwahyo hoja ya helicopter ni swali juu ya wanasayansi ila kuhusu nzi nashindwa kuelewa dunia gani unaizungumzia je ni ya NASA au yakwako???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama dunia ipo km meza naomba nipeleke ukingoni nkapatazame pamefananaje.napenda sana utalii
Umewahi kujiuliza kama ni kweli urusi na Canada zimeungana kama tz na kenya ikiwa kuna umbali wa km elfu kadhaa kutoka urusi to Canada, basi dunia sio tufe bali ni duara kama chapati au sinia kiufupi mwisho wa dunia ni maji mengi sana ambayo hakuna anayeweza kuyavuka kwa mwili huu au kwa kazi ya mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kama hicho...!

Unapokuwa kwenye chombo kinachosafiri, wewe pia unakuwa ni sehemu ya hicho chombo, kwa hiyo na wewe pia unakuwa unasafiri kwa speed hiyo hiyo! (kama kinasafiri kwa 50km/hr , wewe pamoja na kila kitu kilichopo humo ndani kitasafiri kwa speed hiyohiyo ya 50km/hr) kwa hiyo hata ukiruka juu(vertical), horizontal speed yako itabaki ile ile, hivyo ukitua chini utatua katika point ile ile, lakini kama utatua kwenye point tofauti basi hapo kuna effect ya upepo ili punguza speed yako wakati ulipokuwa umeruka.
Ila kuepuka hiyo effect ya upepo hilo jaribio likifanyika katika closed space kwa mfano ndani ya gari, meli, au ndege, utatua katika point ile ile.

Nakupa jaribio jepesi

Shika jiwe (au kitu chochote chenye uzito wa kati, ambacho hakiwezi kuathiriwa na upepo mdogo), halafu anza kutembea kwa mwendo fulani (bila kuuongeza wala kupuunguza) halafu kirushe juu hicho kitu vertically,(ukiwa unaendelea kutembea hivyo hivyo).
  • Kama hicho kitu kitua nyuma yako> Basi upo sahihi
  • Ila kitua mahali ulipo wewe> utakubaliana na ninachokwambia.

Note: Siku nyingine ukiwa unakuja na hoja uliyoitoa sehemu fulani usiseme, wanasayansi walisema. Unatakiwa utuambie jina mwanasayansi aliyesema, au utupatie source ya Info yako.
Maelezo ni mengi mifano ni mingi ila huna akili hujamweliwa jamaa, anasema dunia inapozunguka huzunguka na vilivyomo duniani, sasa vipi kuhusu helcopter au ndege inayoruka angani maana angani sio duniani je kama kweli dunia inazunguka from west to east basi ingekuwa ikiruka juu mfano ipo marekani ikiruka juu ingetulia kuisubiri China ije kwenye hilo anga?? Kisha itue chini kwanini ipae angani kutoka magharibi ielekee mashariki ilhali dunia inazunguka???

Ninavoona kama ingekuwa dunia inazunguka kwa hyo speed ndege zingeshindwa kufanya chochote na kusingekuwa na uwezekano wa safari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano wako wa gari nimeuelewa sana, hivi mkuu mfano ndo nipo kwenye gari kama ulivyosema, yaani gari inavyotembea na ndivyo na mimi ninavyotembea maana nipo ndani ya gari.

Swali, Je ni kipi kinafanya nisiihisi speed ya dunia wakati nikiwa ndani ya mwendo mwingine wowote ule kama Gari, Train n.k speed ninaihisi?
Kwa anayejua wanavoruka wa masai ataongeza fanya gari ndio dunia hlafu upo kwenye bodi ya hilux pale nyuma kabis je kama masai yuko kwenye mwendo Sawa na wa gari vipi akiruka juu atatua barabarani au kwenye gari???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kinachokufanya uihisi speed ya gari ni vitu vingi kwanza speed yenyew ya gari haipo costant, kuna wakati inaongezeka na kuna wakati inapungua so lazima utaihisi hiyo hali, pia gari inapita kwenye bara bara ambayo sio tulivu kwanza uwepo wa kona kona lazima wewe utazihisi, pia mashimo shimo barabarani yatakufanya uhisi kuwa upo kweny chumba kinachotembea.

Jiulize watu wanasafiri na ndege au meli wanawezaje kutembea ndani ya vyombo hivyo hali ya kuwa vipo kwenye mwendo? ni kwa kuwa vyombo hivyo vinakuwa vimetulia tofauti na magari....

sasa fikiria ukubwa hii dunia, wewe ni kajidude kadogo sana juu ya uso wa dunia yaan kadogo sana so huwez ukahis chochote kutokana na mwendo wa dunia, maana dunia ipo katika constant speed, na hakuna vizuiz vyoyote....
Tatizo hatupo ndani ya dunia tupo nje ya dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me hua najiuliza kama kweli dunia sio sphere, hao ambao wanatuaminisha wanataka wapate nini?? mleta mada nijibu swali, hii dunia ikiwa sphere hao wanasayansi wanaoshikilia hii point wanafaidika na nini kudanganya na kwanini iwe ni siri kubwa hivyo??
Biblia inasema siku atakaposhuka Yesu Masihi kila jicho litamuona na wao wanamuandaa yesu feki ambaye akitua ulaya afrika haitamuona lakini Biblia imesema wote tutamuona kwahyo niwazi dunia sio tufe ila hii kutufundisha Kuwa tufe ili watakapomleta huyo fake tuamini hatuwezi muona kwani dunia ni tufe. Ni hivo tu kama utakubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FAHAMU UKWELI KUNTU KUHUSU DUNIA YETU.
Watu walio wengi wanajua dunia yetu ina umbo la sphere yaani ipo flattened kwa top, sio duara kabisa. Ila kuna facts 200 ambazo zinasema ukweli kuhusu dunia na kusema ya kuwa dunia ipo bapa yaani flat na sio sphere au duara kama tulivyozoea.

Kama dunia ingekuwa inazunguka eastwards at 1000miles/hour basi;
> Hekicopter zingekuwa zinatulia angani na kusubiria mji wanaotaka wafike ukufikie.
> Kwa hyo spidi hapo juu inatakiwa mtu aifeel maana ni spidi kubwa sana.
> Dunia inazunguka kuelekea east, hvyo ndege ikipaa west na ikawa inalekea east na ikawa inatembea 500miles/hour basi basi destination yake inatakiwa iwe inaiacha mara mbili maana spidi ya dunia kuzunguka ni kubwa.
kwa upande wa gravity.


> Wanasayansi wanasema gravity ni kubwa sana inashikilia majengo, maji yaliyopo baharini na kadhalika ila hyo gravity imeshndwa kushikilia vitu vidogo kama wadudu, ndege mnyama na samaki waliopo baharini.
ukweli kuhusu flight mbalimbali
> Hakuna flight inayopita juu ya antarctica, mtu akitokea south africa anaenda south america lazma apitie kwanza europe ili kurefuel kwanini akati kutokana na shape ya dunia yao huyo mtu anaeza akanyooka moja kwa moja.
> Kwa dunia ya flat ukitoka south africa ni straight hadi south america na europe ipo katikati.
> Kwa dunia ya flat antarctica continent ndo kwenye ukingo wa dunia na ukipitiliza umetoka duniani, hivyo basi hata wataalam wanaamini ya kwamba ndege ya malaysia na yenyewe ilipoteza dira na kupita juu ya antarctica hvyo kutoka nje ya dunia.


Wanasema pia ili mwezi upatwe lazma dunia iwe katikati ya jua na mwezi.. ila kuna cases kibao mwezi unapatwa na watu ambao kwa bado ni mchana wanauona mwez juu.....

Hayo ni machache tu kwa leo... the shape of the earth its computerized.. the picture of earth from the moon its made in hollywood studios.
kuna siri zadunia zipo hapa gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
the tips prove earth is round
1546861339712.png
 
Back
Top Bottom