miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
embu tujaribu kujadili mamabo ya msingi na tuweke udini pembeni.. dini hizi tumepokea mbona kama zinataka kutuvuruga.. kama muislamu anaweza apewe nafasi ...
Mi nafikiri kutumia kigezo cha dini katika ajira ya shirika la umma ya kikristo au ya kiislamu ni ukiukwaji maadili. Pia kutumia kigezo cha kabila au eneo la makazi km Pemba au Bukoba au K isarawe ni ukiukwaji maadili. Tena kutumia kigezo cha undugu katila ajira ya umma ni ufisadi ule ule iwe ni Dr Dau au mimi hapa. Tutumie akili vyema wala si utetezi usiozongatia hoja.MLETA MADA UNAWEZA KUWA NA HOJA LAKINI NAKUPINGA KWA KULETA UDINI NA UBAGUZI WA WAZIII KABISA! SIO FAIR.
MPEMBA NI MTANZANIA, KISARAWE NI TANZANIA. ULICHOFANYA SIO KITU KIZURI KINAPASWA KUKEMEWA. MARA NYINGI HAYA MASHIRIKA MAKUBWA NI VICHAKA VYA WAKUBWA KUWEKA WATOTO NA NDUGU ZAO, MI NAFIKIRI WAKUU WA MASHIRIKA MAKUBWA YA KISERIKALI HAPA NCHINI WANAKUTANA NA CHANGAMOTO ZINAZOFANANA, VIMEMO VINATEMBEA TOKA KWA MKULU, MAWAZIRI, MANAIBU NA WAKUU WA IDARA MBALIMBALI. KILA MTU ANATAFUTA FADHILA NA KULIPA FADHILA NDIO MAANA SEHEMU NYINGI WANAOFANYA INTERVIEW NI WENGINEO NA WANAOAJIRIWA NI WENGINE KABISAA.
KUHUSU INFLATION KWENYE GHARAMA ZA MIRADI, HII HOJA INAHITAJI SPECIAL INDEPENDENT AUDIT INVESTIGATION.
La kule Moshi asilimia 90 hakuna wapangaji na hao wachache wanasubiri kodi ya pango iishe waondoke coz jengo halina walk ins kulingana na kodi wanayolipa.
......
Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba.
Hii nayo nondo???na unaiamini??Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Ha ha ha haaaa,NSSF imeleta mparaganyiko sana hadi aibuDuh,
Tatizo wagalatia wanajua kila muislamu ni mpemba ....
Ok wafukuzeni wapemba maana wao kwao magengeni na baharini kuvua samaki.....
Hawana hadhi ya kufanya kazi NSSF...
Hapo panawafaa nyinyi Wachaga , Wanyakyusa na Wahaya.
Nilikuwa najiuliza mpaka muda huu Dau katajwa kwa udini wake "Uislam" bado haujatokea daah!!!Utashangaaa watu wanaweza kumtetea ...pale Kilimanjaro kwa mafano ..lie Bilioni 70 aliozamisha kwenye jengo ambalo hadi Saza halina wapangaji Nina uhakika kabisa angekopesha Halmashauri AU Tanroad ....barabara zote za mji mzima zingejengwa na maeneo ya wazi...hadi uwanja wa michezo memorial ...,masoko etc na wanamchi wangelipa Kodi na Halmashauri ingeweza kulipa mkoopo Ndani ya Miaka 10 ....
Hapa Dar jengo la Mzizima Tower nalo la ghorofa 30 linajengwa kwa Bilioni 70 ...lakini ajabu jengo la Mzizima,...gharama zake zinakuwaje Sawa na gharama za jengo la ghorofa 5 tu ..Kilimanjaro ????
Mkuu Nepotism ni kitu kibaya popote pale, Lakini usisahau kuwa hakuna kigezo mahali popote kiachosema kuwa utaajiriwa kama mkristo au muislamu au kabila fulani!! Huo ni upendeleo unaofanywa na baadhi ya watu katika kuakikisha kuwa kundi fulani linaweka watu wenye maslahi nao. Lakini usisahau kuwa hakuna sehemu yoyote nimetetea huo ujinga. Nimejaribu kuainisha ukubwa wa tatizo na changamoto wanazopata wateuliwa katika kukidhi haja za waliowateua.Mi nafikiri kutumia kigezo cha dini katika ajira ya shirika la umma ya kikristo au ya kiislamu ni ukiukwaji maadili. Pia kutumia kigezo cha kabila au eneo la makazi km Pemba au Bukoba au K isarawe ni ukiukwaji maadili. Tena kutumia kigezo cha undugu katila ajira ya umma ni ufisadi ule ule iwe ni Dr Dau au mimi hapa. Tutumie akili vyema wala si utetezi usiozongatia hoja.
Hilo la kuajiri wapemba ni sawa.Nilienda NSSF Mbeya niliwakuta wapemba.kama waliajiriwa kwa kukidhi vigezo hakuna shida,ila kama ni kutokana na upendeleo hilo ni tatizo kubwa. Ni vema vyombo vya uchunguzi vifanyie kazi hili suala.
Nani kakuambia Crdb ya uma,ona mlivyo na akili finyuMkuu Mbeya mbali sana...
Dar hapa kila siku tukiingia TRA na CRDB wachaga wamejaa utafikiri tupo Moshi.....