Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Mdini mkubwa wewe na sisi tukianza kiweka nafac za uteuz wa magufuli utakaa hapa bwege ww
Hawezi kaa,sisi tunahistoria ya udini,ubinafsi na ukandamizaji wa waislamu nchii tangu utawala wa kwanza,Watu kama akina dr Dau wanapita walipopita wanaojiita wenye nchi.
 
Mnamzungumzia Dau yupi?

Huyu anayemiliki uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu nyumbani kwake hapa kigamboni huku wachezaji ni watoto wake na mtazamaji ni yeye?

Huyu anayemkodishia mwanae ndege kwenda rufiji asubuhi kushinda na bibi yake na kisha jioni ndege hiyo inamrudisha kila ijumaa?

Huyu anayejilipa mshahara milioni 38 kwa mwezi?

Dau yupi huyo?
Huyo huyo rafki yake Mchechu wa NHC anayelipwa milioni 35 kwa mwezi
 
Sasa which is which?

Unasema kwamba waislam hatusoma na tumezoea elimu ya madrasa na tarawehe...its ok..thats is what makes us proud..Madrasa..!

Sasa nakuuliza iweje hao hao waislam wanaonekana hawataki shule leo ionekane wanapendelewa Nssf wanachukuliwa kwa elimu gan hiyo hiyo ya madrasa?

Then nyinyi huko mashirika mengine mliko jaaa mmechukuliwa kwa vigezo gan kama siyo kuimba kwaya pamoja?

Kuna shida gan kama nyinyi mmechukuliwa kwa kuimba kwaya iwe tabu wenzenu kuchukuliwa kwa kutokea madrasa?

Kumbe inaumiza eeeh?
Na ndo mana tunahoji kwa sababu inaonekana waliajiriwa kwa kigezo cha uislamu na sio kwa weledi wa taaluma yao ki elimu.
 
Mdini mkubwa wewe na sisi tukianza kiweka nafac za uteuz wa magufuli utakaa hapa bwege ww
Hawezi kaa,sisi tunahistoria ya udini,ubinafsi na ukandamizaji wa nchi hii tangu utawala wa kwanza,Watu kama akina dr Dau wanapita walipopita wanaojiita wenye nchi.
 
Ufisadi wa kuzungumzwa pasi na ushahid?

Thats the problem of waimba kwaya.

Kama unasema kuna ufisadi na ubadhirifu then uweke na ushahid

Unaongeaje maneno matupu kama uko kwa bwana wako gwajima.
Mkuu unajua Udini unakufanya uonekane HAMNAZO?...
 
Tunashukuru Mh Magufuli siyo muislam

Maana kwa kasi hii na idad kubwa ya majipu na wezi waliotumbuliwa zaid ya asilimia 90 ni hawa hawa wainjilist..

So ingekuwa yey ni muislam lazima angesema kuwa Ubaguz wa kidini..

I am telling you waliofikisha nchi hii hapa kwa umaskin ni bawa
Na ndo mana tunahoji kwa sababu inaonekana waliajiriwa kwa kigezo cha uislamu na sio kwa weledi wa taaluma yao ki elimu.
 
Narudia kusema hizi roho mbaya za wakristo ndizo zimeifanya hata li lao libaki Africa tu! mtu anaumia kwa chuki kabisa how comes waislam wasihamie ulaya!!!! nadhani funzo kuu kanisani ni kumchukia muislamu popote pale alipo
 
Na ndo mana tunahoji kwa sababu inaonekana waliajiriwa kwa kigezo cha uislamu na sio kwa weledi wa taaluma yao ki elimu.

Kama wameajiriwa kwa kigezo cha uislam basi poa tuh.

Mbona huko kwingine nanyinyi mmeajiriwa kwa kigezo cha ukristo?

Na hakuna cha maana mnachofanya zaid zaid ya kuwa majipu tuh?

Hamna mnachofanya zaid zaid ya wizi na ufisadi.

Au kuna la maana mnalolijua nyinyi wazee wa escrow?
 
UKWELI KUHUSU NA DR. DAU NA NSSF

Mimi ni mfanyakazi wa Shirika tajwa ambaye nimekuwepo toka enzi za kabla Mkulo ajawa Mkurugenzi wa shirika mpaka sasa hivyo nimeshuhudia mabadiliko hasa yanayohusu uongozi chini ya wakurugenzi wakuu hawa wawili.

Kwa ufupi Dr. ameliangusha Shirika kwa kiasi kikubwa, kwangu mimi ni failure.

Bahati mbaya uongozi wa wakurugenzi hawa hauwi exposed kwenye research za wasomi wetu kwani zingechangia kwa kiasi kikubwa “hazina’ ya maarifa ya uongozi kwenye taasisi za Tanzania hasa mashirika ya umma.

TAHADHARI

  • Natambua kwamba Dr alitumia pesa nyingi kwa waandishi wa habari kudhibiti habari hasizozipenda zisitoke. Hili yeyote mwenye uzoefu na ‘media’ ya Tanzania analielewa. Bahati mbaya sana hata jukwaa la wahariri kama taasisi imekuwa ikinufaika sana na fedha za shirika zisizo na maelezo ya kutosha chini ya mgongo wa shughuli mbalimbali.

  • Toka ameingia amekuwa akiajiri wafanyakazi kwa upendeleo kama nitakavyoeleza hapo chini, hivyo ana watetezi wengi kwa sababu tu ‘walibebwa’, na inaeleweka kuwepo kwa vibaraka anaowalipa wanaoshinda kwenye ‘social media’ kama hii.
KWA NINI NASEMA DR ALIVURUNDA?

Kwa ufupi tumuangalie kwenye sehemu kubwa zifuatazo

  1. Udini

  2. Ubadhirifu

  3. Kushuka kwa ufanisi

  4. Kuongeza gharama za uendeshaji
UDINI

Natambua unyeti wa hii mada, na mara nyingi wenye busara wamekuwa wakikwepa kuijadili kiundani. Lakini ukimya kwenye hili unachangia kuongezeka kwa tatizo, wakati mwingine ni muhimu kulizungumza umma ujue.

Udini umetamalaki sana kwenye Shirika kwani kuna makundi mawili, waislam wanaotamba bila aibu kwamba ni zamu yetu, na wengineo ambao wamekuwa labeled na kundi la kwanza kama mafirauni au wakorintho. Hili jambo liko wazi sana na kwa sababu anatumia secret informers watu wamekuwa waoga hata kuongea.

Binafsi nasikitika udini nilioushuhudia kwa msomi huyu. Udini ulihusisha mambo mengi;

  1. Kutoa vyeo kwa upendeleo. La kwanza alipofika alianziha scheme of work yak echini ya mwamvuli wa consultant “REDMA”. Kwenye hili kupanda ngazi kwa mfanyakazi hakukuangalia muda wa ajira wa mfanyakazi. NSSF ni moja ya taasisi za ajabu ambapo, mfanyakazi mwenye level ya elimu, say degree aliyetumikia Shirika kwa miaka 18 na rekodi nzuri ya performance, ana mshahara sawa na aliyeajiriwa mwezi uliopita!. Hili alilifanya makusudi hili kuwainua wapya na kuwakandamiza wa zamani. Uliza staff yeyote wa Shirika mwenye muda wa kabla ya Dr atakwambia jinsi alivyopandisha vyeo watu wake na kuwakandamiza ‘mafirauni” kama wanavyowaita.
Alianza kwanza na umeneja, na alitumia accomplices kama kina Dr Asad ambaye alikuwa mjumbe wa board lkn alitumika kama ‘consultant” katika kuendesha udahili na kutoa marks za upendeleo kwa candidates wa umeneja.


  1. Ajira za udini na undugu. Alipofika alihakikisha idara nyeti zote ameweka watu wa dini yake, au la basi boss wa idara anakuwa wa dini yake na surbodinates wote wanakuwa hawana nafasi ya kutoa ushauri. Kwanza alitangaza ajira za Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu (DHRA), cha ajabu watu wazito na wenye CV nzito walipigwa chini akachukuliwa Matesa, ambaye hata elimu yake ni questionable. Hili linaweza likathibitishwa na tume huru kwa kuwapitia walioomba hiyo nafasi na kuonyesha applications zilizofunikwa.
Huyu aliwekwa kwa makusudi kwani baada ya hapo ajira zilizofuata zilikuwa za ‘Msikitini”. Unaweza usielewe hili lakini ndio ukweli wenyewe. Inasikitisha pale watoto wa wakulima walipoitwa kwenye usaili toka sehemu mbalimbali za Tanzania kwa gharama kubwa, ili kujustify open recruitment process, lakini hatimaye wanaoajiriwa ni yale majina aliyopelekewa Dr na wazee wanapokutana misikitini. Uliza watu walioitwa kwenye usaili watakwambia pale unaajiriwa kwa kigezo cha dini.

Matesa bila aibu ameajiri watoto wake waume wa watoto wake na wake wa watoto wake.

Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba. Hapa ujazungumzia watu wa Kisarawe.

Lakini la kuchekesha zaidi ni ajira za mafungu na bila kutangaza wala interview zinazofanyika mara kwa mara. Ni kawaida sana kukuta wanaletwa wafanyakazi kama 6 au 18 na kuambiwa wakaripoti idara mbalimbali na zile idara/sehemu zinashangaa kwa sababu hawana uhitaji wa watu hao.

Zamani tulikuwa na utaratibu m,adereva na wahudumu wa ofisi wanaajiriwa na mameneja wa mikoa, faida ya huu utaratibu zinajulikana. Lakini sasa hivi matesa kajaza madereva wake mikoani hata wasio na sifa. Kuna dereva moja halishindwa kuendesha gari, ikabidi ampe kazi nyingine na kumleta mtu wake tena.

Kuna wafanyakazi waliopachikwa ngazi ya ‘officer’ wakati hawana degree kama requirements za position zinavyotaka.

Kwenye idara ya uwekezaji alihakikisha anajaza watu wake ili kulinda uozo wake.

  1. Kufukuzwa kazi kundi moja na kutofukuzwa kundi lingine.
Hii ni kwa wote wakubwa na wadogo. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala Mr Mniwako alifukuzwa bila sababu za msingi na Dr hakuona ni kuchezea fedha za umma kumlipa mamilioni ya shilingi, hili kuzuia kushtakiwa.

Pitia kesi mbalimbali za nidhamu utagundua wafanyakazi wengi walifukuzwa kwa kuonewa na ndo maana wengi wamefungua kesi.

UBADHIRIFU

Hapa ndipo penye uvundo wa karne.

Dr pamoja na kujitia ni mtu wa dini huwa nashangaa sana madhambi ya ubadhirifu anayofanya. Kwa picha ya nje, ongea na macontrakta watakwambia madeni wanaoidai NSSF na jinsi wanavyopigwa dana dana, ongea na wanachama watakiri kuwahi kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi, kadhalika wafanyakazi wa Shirika kucheleweshewa mishahara na malipo mbalimbali. Kwa ufupi kwa tulio ndani hali ya kifedha ni mbaya.

Lakini yote hii imesabnabishwa na ufisadi uliokithiri, na ninatoa rai ya kuwepo kwa special audit kwenye hili. Kwa nature bya shughuli za shirika huwa tuna balance short term investments na long term investments kulingana na projected short tern na long term liabilities. Lakini kwa utawala huu fedha zote zililazimishwa kwenda long term investments. Sababu iko wazi, hata kama hizo long term investments hazilipi, commission yake ni kubwa, yaani ni rahisi ‘kupiga’ fedha kubwa.

Angalia majengo makubwa Kigoma, Kahama, Arusha, Kilimanjaro na kwingineko. Yamejengwa kwa gharama kubwa(inflated costs) na hamna wapangaji! Hivi ni mabilioni mangapi ya watanzania yamezikwa? Dege beach, daraja la kigamboni etc.

Viwanja vilivyonunuliwa kwa inflated price ni vingi mno!

Tunamshukuru sana Mkulo aliyejenga asset base kubwa ambayo kina Dr wanaibomoa. Na kuna wajinga wanamsifu Dr kwa miradi isiyolipa naya kifisadi aliyoifanya, badala ya Kumsifu Mkulo kwa sound financial management iliyosababisha tuwe na strong asset base!

Kwenye ewekezaji kuna uvundo mwingi, rai yangu kuwe na SPECIAL AUDIT.


KUSHUKA KWA UFANISI

Kwa maelezo hayo juu ni wazi ufanisi utashuka. Ufanisi umeshuka sana hasa eneo la uandikishaji wanachama wapya na ukusanyaji michango. Kwa kiasi kikubwa hili limetokana na utawala wa kiimla na ushirikishwaji duni wa wafanyakazi kwenye uaandaaji mipango na mikakati inayotekelezeka.

Dr amekuwa aki dictate malengo mapya bila kuwa na justification. Mfano kuweka malengo ya kuandikisha wanachama 500,000 toka sekta isiyo rasmi wakati shirika toka lianze lina wastani wa idadi ya wanachama 500,000! Na hapo hamna mikakati na resources za kutosheleza zilizowekwa.

Vilevile kumekuwa na upangaji wa wafanyakazi kwenye idara husika bila kuwahusisha idara husika.

Sababu mojawapo ya kuweka malengo makubwa hata yasiyofikika hili aweze kutumia pesa zaidi kwani sheria yetu inataka matumizi yasizidi asilimia 15 ya kipato.


KUONGEZEKA KWA GHARAMA

Kutokana na maelezo ya juu nidhahiri gharama zitapanda. Shirika limekuwa na wafanyakazi wengi kuliko wanaohitajika sababu tu mtu alikuwa na ajenda ya kuajiri ‘wenzetu’ bila kuangalia mahitaji.

Vilevile vimeundwa vyeo vipya vingi hili kutengeneza nafasi za ‘wenzetu’. Pia uwekezaji uliopitiliza usiozingatia miiko, ufanisi, urari na uhitaji kwa wakati uliopo.



RAI KWA WANACHAMA NA WATANZANIA

  1. Hasara kwa shirika ni kubwa sana. Bahati mbaya vyombo vya udhibiti kama bodi havina nguvu na wamekuwa wakifaidika kwa malipo mbalimbali. Najua kwenye bodi kuna uwakilishi wa wafanyakazi kupitia Shirikisho, lakini wameshindwa kulinda maslai ya wanachama. Nawashauri mdai mabadiliko hili wawakilishi kwenye bodi wapigiwe kula kama ilivyo Kenya.

  2. Iundwe tume huru hili kuchunguza shutuma hizi ambazo ni nzito na nina uhakika ukweli utawekwa wazi. Ili la tume huru ni muhimu sana kwani litaondoa propaganda zinazoendelea na kuwachanganya watanzania, wasijue ukweli ni upi.
Ndio maana Presidaa kaliona hili na kulifanyia kazi
 
hayo yameshasemwa sana hakuna jipya hapo, na dr dau keshaondolewa nssf, ataletwa mwingine kutoka kanisani mambo yote yataenda vizuri. save your breath mkuu.


Kwa mtazamo wangu naona Africa kuendelea ni tatizo saaana sababu watu hatupendi kutazama na tumefundishwa kuishi kwa kuwa na big ego...

Binafsi dini kwangu ni utamaduni,

Sababu unaweza kuziona don't get attached son..

Kabla ya wakoloni kuja wa Africa tulikuwa tunaishi kwa dini zipi?

Waarabu walienda maeneo kadhaa waka introduce Islamic na wazungu walienda maeneo kadhaa waka introduce Christianity

Sasa ukimkuta mtu ana dini saaana sema u dini mtazame vizuri huyo kiumbe lazima uwezo wake wa kufanya kazi haupo even...

Mie simlaumu mtu bali ni mfumo mbovu ndiyo umetupatia matokea hayo leo.

Udini, Ukabila watu wana practise chini chini...

Lakini I bet, end justify the means, jifiche ulipo jificha the end will identify you / us!
 
Majipu mengi anayotumbua Mh Rais ni waimba kwaya

Without Doubt hawa jamaa ndiyo wameifikisha nchi haapa tulipo kwa kuendekeza wiz na ufisadi
 
Kama wameajiriwa kwa kigezo cha uislam basi poa tuh.

Mbona huko kwingine nanyinyi mmeajiriwa kwa kigezo cha ukristo?

Na hakuna cha maana mnachofanya zaid zaid ya kuwa majipu tuh?

Hamna mnachofanya zaid zaid ya wizi na ufisadi.

Au kuna la maana mnalolijua nyinyi wazee wa escrow?
Ni vigumu kuthibitisha kama wakristo wengi wanaajiriwa kwa kigezo cha dini maana wengi wana weledi wa elimu unaotakiwa tofauti na majority ya waislam wanaoajiriwa. Kubali tu kwamba kwenye elimu mpo chini na ndo muanzie hapo kujirekebisha. Maeneo mengi yenye waislam bado mwamko wa elimu mdogo... na msipo jirekebisha mtalia mpaka mpaka mwisho wa dunia.
 
Narudia kusema hizi roho mbaya za wakristo ndizo zimeifanya hata li lao libaki Africa tu! mtu anaumia kwa chuki kabisa how comes waislam wasihamie ulaya!!!! nadhani funzo kuu kanisani ni kumchukia muislamu popote pale alipo


Justify. .

"Common sense.."

You believe in God?


Cast away the egocentric try figure out and agree that in Tanzania still are some people operates on tribes amd religion bases which is redicular son....

Don't get ur guts disturbed but focus on making better life and better you.

This ain't good for both of us it kills our self esteem son

Knowthyself ,son!
 
Kwa mtazamo wangu naona Africa kuendelea ni tatizo saaana sababu watu hatupendi kutazama na tumefundishwa kuishi kwa kuwa na big ego...

Binafsi dini kwangu ni utamaduni,

Sababu unaweza kuziona don't get attached son..

Kabla ya wakoloni kuja wa Africa tulikuwa tunaishi kwa dini zipi?

Waarabu walienda maeneo kadhaa waka introduce Islamic na wazungu walienda maeneo kadhaa waka introduce Christianity

Sasa ukimkuta mtu ana dini saaana sema u dini mtazame vizuri huyo kiumbe lazima uwezo wake wa kufanya kazi haupo even...

Mie simlaumu mtu bali ni mfumo mbovu ndiyo umetupatia matokea hayo leo.

Udini, Ukabila watu wana practise chini chini...

Lakini I bet, end justify the means, jifiche ulipo jificha the end will identify you / us!
Acha kuleta stori za abunuasi hapa.
Dini ya utamaduni umeianzisha wewe?
Unafahamu maana ya Dini kwanza?

Zipo zile za mababu wa zamani za kuzunguka Moto uchi. Au na wewe ni mmoja wao.
 
Aisee acheni hizi blabla zilizojaa chuki... Fitna.... Visasi.... Majungu na husda!

Hakuna ushahidi uliotolewa mpaka sasa unaoonesha uhalisia wa hayo usemayo.... Ndio maana Sefue alishindwa Ku provide ushahidi mzito kwa Magu na kuonekana ni mbabaishaji....

Umeeleza sana ya udini vipi umegusa managerial posts za PSPF..... PPF.... LAPF na GEPF? Umeona huko ni dini na kabila gani zimeshika hatamu?

PSPF now linapumulia mirija liko mbioni kufilisika... PPF iko hoi hujajiuliza why NSSF bado ni leading fund yenye mtaji Mkubwa na ufanisi kuliko mifuko yote?

SSRA unafahamu ndiye regulator mkuu wa hii mifuko na unafahamu credits walizoipa NSSF?

Mimi ni mkristo ktk hili sitaki unafiki Dau amelifanya NSSF liwe na ufanisi kuliko nyakati zote....

Nakumbuka wakati ule TANESCO mliendesha vita nzito kumwondosha Dr Idriss Rashid ambaye aliifanya TANESCO kuwa strong kwa muda mfupi na aliweka mipango kabambe kama ingetekelezwa na hawa mgao na uhaba wa umeme ingekuwa historia but now TANESCO inatengeneza hasara ya zaidi ya billion 450!!!!
 
Tunashukuru Mh Magufuli siyo muislam

Maana kwa kasi hii na idad kubwa ya majipu na wezi waliotumbuliwa zaid ya asilimia 90 ni hawa hawa wainjilist..

So ingekuwa yey ni muislam lazima angesema kuwa Ubaguz wa kidini..

I am telling you waliofikisha nchi hii hapa kwa umaskin ni bawa
lakini kumbuka majipu mengi yamelelewa na yule mwislam mwenzenu wa Msoga....... Halafu ninyi watu wa ajabu sana kila siku mna lalamika serikali inawaonea akati JK mwisilam na alitawala miaka 10.. Hivi hamuoni nyinyi waisilam wenyewe ndo chanzo cha matatizo yenu? Nyinyi msijirekebishe endeleeni kupiga majungu wakristo mkidhani kuna hakimu atawaamulia.. "nyetu na roho zenu za korosho, sisi tunasonga tu"
 
mkuu kwenye hili hakuna umbeya,sababu mtoa mada nimtumishi wa nssf anayajua mengi na mengi ameyashuhudia.,,,,inshu ya kuajili watu kwa muktadha wa dini ni janga kubwa kuliko hata ubadhirifu.

Kama kweli huyo mtoa mada ni mtumish wa Nssf nasi atakuwa ni mdeki choo

Kwa sababu kwa akili ya kawaida kabisa hata watu ambao hatupo huko tukiingia tuh kwenye website ya shirika tunajua kuwa kipindi .Dr Dau anaongia assets thaman ilikua kama 170billions na had anaondoka assets ni over 3trillion.. atasemaje shirika limedrop.

Kipind Dr Dau anaingia data zinaonesha officer alikua analipwa almost kama lak 5 na 20elfu hiv..hiv sasa ni zaid ya 1M..utasemaje kwamba shirika limedrop...au ni chiz huyo?

Dr Dau kipind anaingia Nssf nan alikua anaijua?

Lakn hiv sasa Nssf ni leading pension fund siyo Tuh Tanzania bali ni East and Central Africa..na vision yao ni kwamba hadi 2020. Ni kuwa leading pension fund Africa..!huyo anaejiita ni mfanya kaz wa Nssf anashindwaje kujua hata mission and vision za muajiri wake?

Kama siyo chuki ni kitu gan.
 
Kama kweli huyo mtoa mada ni mtumish wa Nssf nasi atakuwa ni mdeki choo

Kwa sababu kwa akili ya kawaida kabisa hata watu ambao hatupo huko tukiingia tuh kwenye website ya shirika tunajua kuwa kipindi .Dr Dau anaongia assets thaman ilikua kama 170billions na had anaondoka assets ni over 3trillion.. atasemaje shirika limedrop.

Kipind Dr Dau anaingia data zinaonesha officer alikua analipwa almost kama lak 5 na 20elfu hiv..hiv sasa ni zaid ya 1M..utasemaje kwamba shirika limedrop...au ni chiz huyo?

Dr Dau kipind anaingia Nssf nan alikua anaijua?

Lakn hiv sasa Nssf ni leading pension fund siyo Tuh Tanzania bali ni East and Central Africa..na vision yao ni kwamba hadi 2020. Ni kuwa leading pension fund Africa..!huyo anaejiita ni mfanya kaz wa Nssf anashindwaje kujua hata mission and vision za muajiri wake?

Kama siyo chuki ni kitu gan.
Ni mfuko ambao serikali ndio kimbilio lake kuu kwenda kukopa na hautetereki sasa waambie wakueleze ilipo PSPF ambapo karibia watumishi wote wa umma nchi hii PESA zao zinakatwa huko....
 
Back
Top Bottom