Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Kewan
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Kwani walikwambia hawana details BEN?????? Hii post ni ukweli mtupu ila mleta mada atashambuliwa na kutukanwa.
 
UKWELI KUHUSU NA DR. DAU NA NSSF

Mimi ni mfanyakazi wa Shirika tajwa ambaye nimekuwepo toka enzi za kabla Mkulo ajawa Mkurugenzi wa shirika mpaka sasa hivyo nimeshuhudia mabadiliko hasa yanayohusu uongozi chini ya wakurugenzi wakuu hawa wawili.

Kwa ufupi Dr. ameliangusha Shirika kwa kiasi kikubwa, kwangu mimi ni failure.

Bahati mbaya uongozi wa wakurugenzi hawa hauwi exposed kwenye research za wasomi wetu kwani zingechangia kwa kiasi kikubwa “hazina’ ya maarifa ya uongozi kwenye taasisi za Tanzania hasa mashirika ya umma.

TAHADHARI

  • Natambua kwamba Dr alitumia pesa nyingi kwa waandishi wa habari kudhibiti habari hasizozipenda zisitoke. Hili yeyote mwenye uzoefu na ‘media’ ya Tanzania analielewa. Bahati mbaya sana hata jukwaa la wahariri kama taasisi imekuwa ikinufaika sana na fedha za shirika zisizo na maelezo ya kutosha chini ya mgongo wa shughuli mbalimbali.

  • Toka ameingia amekuwa akiajiri wafanyakazi kwa upendeleo kama nitakavyoeleza hapo chini, hivyo ana watetezi wengi kwa sababu tu ‘walibebwa’, na inaeleweka kuwepo kwa vibaraka anaowalipa wanaoshinda kwenye ‘social media’ kama hii.
KWA NINI NASEMA DR ALIVURUNDA?

Kwa ufupi tumuangalie kwenye sehemu kubwa zifuatazo

  1. Udini

  2. Ubadhirifu

  3. Kushuka kwa ufanisi

  4. Kuongeza gharama za uendeshaji
UDINI

Natambua unyeti wa hii mada, na mara nyingi wenye busara wamekuwa wakikwepa kuijadili kiundani. Lakini ukimya kwenye hili unachangia kuongezeka kwa tatizo, wakati mwingine ni muhimu kulizungumza umma ujue.

Udini umetamalaki sana kwenye Shirika kwani kuna makundi mawili, waislam wanaotamba bila aibu kwamba ni zamu yetu, na wengineo ambao wamekuwa labeled na kundi la kwanza kama mafirauni au wakorintho. Hili jambo liko wazi sana na kwa sababu anatumia secret informers watu wamekuwa waoga hata kuongea.

Binafsi nasikitika udini nilioushuhudia kwa msomi huyu. Udini ulihusisha mambo mengi;

  1. Kutoa vyeo kwa upendeleo. La kwanza alipofika alianziha scheme of work yak echini ya mwamvuli wa consultant “REDMA”. Kwenye hili kupanda ngazi kwa mfanyakazi hakukuangalia muda wa ajira wa mfanyakazi. NSSF ni moja ya taasisi za ajabu ambapo, mfanyakazi mwenye level ya elimu, say degree aliyetumikia Shirika kwa miaka 18 na rekodi nzuri ya performance, ana mshahara sawa na aliyeajiriwa mwezi uliopita!. Hili alilifanya makusudi hili kuwainua wapya na kuwakandamiza wa zamani. Uliza staff yeyote wa Shirika mwenye muda wa kabla ya Dr atakwambia jinsi alivyopandisha vyeo watu wake na kuwakandamiza ‘mafirauni” kama wanavyowaita.
Alianza kwanza na umeneja, na alitumia accomplices kama kina Dr Asad ambaye alikuwa mjumbe wa board lkn alitumika kama ‘consultant” katika kuendesha udahili na kutoa marks za upendeleo kwa candidates wa umeneja.

  1. Ajira za udini na undugu. Alipofika alihakikisha idara nyeti zote ameweka watu wa dini yake, au la basi boss wa idara anakuwa wa dini yake na surbodinates wote wanakuwa hawana nafasi ya kutoa ushauri. Kwanza alitangaza ajira za Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu (DHRA), cha ajabu watu wazito na wenye CV nzito walipigwa chini akachukuliwa Matesa, ambaye hata elimu yake ni questionable. Hili linaweza likathibitishwa na tume huru kwa kuwapitia walioomba hiyo nafasi na kuonyesha applications zilizofunikwa.
Huyu aliwekwa kwa makusudi kwani baada ya hapo ajira zilizofuata zilikuwa za ‘Msikitini”. Unaweza usielewe hili lakini ndio ukweli wenyewe. Inasikitisha pale watoto wa wakulima walipoitwa kwenye usaili toka sehemu mbalimbali za Tanzania kwa gharama kubwa, ili kujustify open recruitment process, lakini hatimaye wanaoajiriwa ni yale majina aliyopelekewa Dr na wazee wanapokutana misikitini. Uliza watu walioitwa kwenye usaili watakwambia pale unaajiriwa kwa kigezo cha dini.

Matesa bila aibu ameajiri watoto wake waume wa watoto wake na wake wa watoto wake.

Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba. Hapa ujazungumzia watu wa Kisarawe.

Lakini la kuchekesha zaidi ni ajira za mafungu na bila kutangaza wala interview zinazofanyika mara kwa mara. Ni kawaida sana kukuta wanaletwa wafanyakazi kama 6 au 18 na kuambiwa wakaripoti idara mbalimbali na zile idara/sehemu zinashangaa kwa sababu hawana uhitaji wa watu hao.

Zamani tulikuwa na utaratibu m,adereva na wahudumu wa ofisi wanaajiriwa na mameneja wa mikoa, faida ya huu utaratibu zinajulikana. Lakini sasa hivi matesa kajaza madereva wake mikoani hata wasio na sifa. Kuna dereva moja halishindwa kuendesha gari, ikabidi ampe kazi nyingine na kumleta mtu wake tena.

Kuna wafanyakazi waliopachikwa ngazi ya ‘officer’ wakati hawana degree kama requirements za position zinavyotaka.

Kwenye idara ya uwekezaji alihakikisha anajaza watu wake ili kulinda uozo wake.

  1. Kufukuzwa kazi kundi moja na kutofukuzwa kundi lingine.
Hii ni kwa wote wakubwa na wadogo. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala Mr Mniwako alifukuzwa bila sababu za msingi na Dr hakuona ni kuchezea fedha za umma kumlipa mamilioni ya shilingi, hili kuzuia kushtakiwa.

Pitia kesi mbalimbali za nidhamu utagundua wafanyakazi wengi walifukuzwa kwa kuonewa na ndo maana wengi wamefungua kesi.

UBADHIRIFU

Hapa ndipo penye uvundo wa karne.

Dr pamoja na kujitia ni mtu wa dini huwa nashangaa sana madhambi ya ubadhirifu anayofanya. Kwa picha ya nje, ongea na macontrakta watakwambia madeni wanaoidai NSSF na jinsi wanavyopigwa dana dana, ongea na wanachama watakiri kuwahi kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi, kadhalika wafanyakazi wa Shirika kucheleweshewa mishahara na malipo mbalimbali. Kwa ufupi kwa tulio ndani hali ya kifedha ni mbaya.

Lakini yote hii imesabnabishwa na ufisadi uliokithiri, na ninatoa rai ya kuwepo kwa special audit kwenye hili. Kwa nature bya shughuli za shirika huwa tuna balance short term investments na long term investments kulingana na projected short tern na long term liabilities. Lakini kwa utawala huu fedha zote zililazimishwa kwenda long term investments. Sababu iko wazi, hata kama hizo long term investments hazilipi, commission yake ni kubwa, yaani ni rahisi ‘kupiga’ fedha kubwa.

Angalia majengo makubwa Kigoma, Kahama, Arusha, Kilimanjaro na kwingineko. Yamejengwa kwa gharama kubwa(inflated costs) na hamna wapangaji! Hivi ni mabilioni mangapi ya watanzania yamezikwa? Dege beach, daraja la kigamboni etc.

Viwanja vilivyonunuliwa kwa inflated price ni vingi mno!

Tunamshukuru sana Mkulo aliyejenga asset base kubwa ambayo kina Dr wanaibomoa. Na kuna wajinga wanamsifu Dr kwa miradi isiyolipa naya kifisadi aliyoifanya, badala ya Kumsifu Mkulo kwa sound financial management iliyosababisha tuwe na strong asset base!

Kwenye ewekezaji kuna uvundo mwingi, rai yangu kuwe na SPECIAL AUDIT.

KUSHUKA KWA UFANISI

Kwa maelezo hayo juu ni wazi ufanisi utashuka. Ufanisi umeshuka sana hasa eneo la uandikishaji wanachama wapya na ukusanyaji michango. Kwa kiasi kikubwa hili limetokana na utawala wa kiimla na ushirikishwaji duni wa wafanyakazi kwenye uaandaaji mipango na mikakati inayotekelezeka.

Dr amekuwa aki dictate malengo mapya bila kuwa na justification. Mfano kuweka malengo ya kuandikisha wanachama 500,000 toka sekta isiyo rasmi wakati shirika toka lianze lina wastani wa idadi ya wanachama 500,000! Na hapo hamna mikakati na resources za kutosheleza zilizowekwa.

Vilevile kumekuwa na upangaji wa wafanyakazi kwenye idara husika bila kuwahusisha idara husika.

Sababu mojawapo ya kuweka malengo makubwa hata yasiyofikika hili aweze kutumia pesa zaidi kwani sheria yetu inataka matumizi yasizidi asilimia 15 ya kipato.

KUONGEZEKA KWA GHARAMA

Kutokana na maelezo ya juu nidhahiri gharama zitapanda. Shirika limekuwa na wafanyakazi wengi kuliko wanaohitajika sababu tu mtu alikuwa na ajenda ya kuajiri ‘wenzetu’ bila kuangalia mahitaji.

Vilevile vimeundwa vyeo vipya vingi hili kutengeneza nafasi za ‘wenzetu’. Pia uwekezaji uliopitiliza usiozingatia miiko, ufanisi, urari na uhitaji kwa wakati uliopo.

RAI KWA WANACHAMA NA WATANZANIA

  1. Hasara kwa shirika ni kubwa sana. Bahati mbaya vyombo vya udhibiti kama bodi havina nguvu na wamekuwa wakifaidika kwa malipo mbalimbali. Najua kwenye bodi kuna uwakilishi wa wafanyakazi kupitia Shirikisho, lakini wameshindwa kulinda maslai ya wanachama. Nawashauri mdai mabadiliko hili wawakilishi kwenye bodi wapigiwe kula kama ilivyo Kenya.

  2. Iundwe tume huru hili kuchunguza shutuma hizi ambazo ni nzito na nina uhakika ukweli utawekwa wazi. Ili la tume huru ni muhimu sana kwani litaondoa propaganda zinazoendelea na kuwachanganya watanzania, wasijue ukweli ni upi.
Yote uliyoeleza ni UKWELI ila najua utatukanwa na kushambuliwa sana hapa. Umetoa "SUMMARY" tu, mengine mengi umeyaacha, si vibaya. Mwenye kuelewa ataelewa. Ni chungu kumeza!!!
 
hayo yameshasemwa sana hakuna jipya hapo, na dr dau keshaondolewa nssf, ataletwa mwingine kutoka kanisani mambo yote yataenda vizuri. save your breath mkuu.
Yamesemewa wapi ndugu? Mimi ndio kwanza nayasikia. Nilifikiri Dr alikua msafi sana kiasi hata cha kupewa ubalozi kumbe ni jipu? Nakubaliana 100% na mleta hoja kwamba miradi ya nssf ni "whiteelephant" na uwezekano wa kurudisha mtaji ni mdogo sana. Nenda moshi jengo la nssf kubwa kama sijui nini. Kama kuna wapangaji watano ni bahati.
 
Upuuzi ule ule tu sasa kwakuwa Dau kaoa Mpemba wapemba wote hawatakiwi kufanya kazi NSSF. Kesho huyu mtu akisema mke wa Mchechu ni mchaga kwahiyo wachaga wote walioajiriwa NHC wamependelewa utamuelewa?
Kwenye issue ya "upemba" naona mtoa mada kakosea. Ubaguzi haufai, isipokuwa mengine aliyosema ni ya ukweli
 
Sasa kama ni vigumu kuthibitisha kuwa wakristo huko mliko jaa wengi kama kuna misa au kuna sherehe za kula kiti moto mnachukuana kwa vigezo vya ukristo iweje hushangai huko kwingine waislam wanaonekana kupata nafasi?

Hao Waislam wanaonekana Nssf wanatoka wapi had mmseme wamejaa na hao waimba kwaya waliojaa huko wanatoka wapi hadi waislam wasionekane?

Hutumii akili?

Sikia wewe muimba kwaya stuka...hizi siyo zama za kambarage zile mlizozoe kubebwa bebwa eti kwa propaganda kuwa waislam hawana shule.

Mnashangaza sana.

Mmejazana huko hakuna cha maana mnachofanya zaid zaid ya kuwa majipu tuh
Hivi kuna mafisadi kama waislamu? Nadhani ulipata ile list ya waliokwepa kodi na ma engineer namba moja wa wizi bandarini asilimia 90 ni waislamu. sasa usidhani kwamba utaniaminisha kwamba waimba kwaya ni wezi akati wezi unasali nao kila ijumaa pale "kwa mtoro"

Na kwenye elimu hata msijisifie kabisa though ni kweli baadhi ya waislam waliosoma ni vichwa kama kina Lipumba lakini uwepo wa wasomi wa kiisilamu wenye akili ni sawa na kutafuta punje ya sukari kwenye gunia la mchanga.

Tatizo waislamu mkikosolewa kidogo na waimba kwaya mnaanza kupaniki. Mi nimetembea sana mikoa ya waislamu na hali inatisha huko. Mna ujinga mwingi upo kichwani na bado kwenye elimu mna safari ndefu. Hata vyuoni hao wachache waliopo bado ni vilaza wa kutupwa.
 
Kwenye issue ya "upemba" naona mtoa mada kakosea. Ubaguzi haufai, isipokuwa mengine aliyosema ni ya ukweli
NI kweli ni kinyume na imani ya dini zetu na sheria za nchi kumbagua mtu kwa misingi ya rangi, kabila, jinsia au sehemu anayotokea.
 
Nimekuuliza swali.

Kuna Tatizo muislam Mtanzania ndan ya nchi hii kuajiriwa?

Mbona wakristo wapo weengi tuh huko Nssf kushinda hata Waislam?

Shida yenu ni nin hasa?

Huko kwenye mashirika mengine mmejazana kama kumbi kumbi na hamsemi kuhusu udini...kwaiyo mnaostahili ni nyinyi tuh?

Nyinyi. Majipu mna kazi sana.
upo biased sana,jitahidi kujenda hoja
 
Hivi wana kwaya wote wa TOT (ile band ya ccm) ni Wakristo? Nimesema hivyo nikitaka kujua kama unadhani waimba kwaya wote hua ni Wakristo tu; Anyway issue hapa sio DINI ya Dr. Dau bali issue hapa ni UDINI wa Dr. Dau kwenye masuala nyeti ya UMMA, kwani kiongozi mkubwa nchini ambae ni muislamu ni yeye Dau peke yake? Mbona watu hawajalaumu kuhusu Kamishna wa TRA aliyetoka kwamba alikua mdini? Mwenye busara huchunguza kama mambo aliyotuhumiwa ni ya kweli au LAA kabla ya kufanya tu counter attack.
Hawajamlaumu kamishna wa TRA kwakuwa zaidi ya 90% ni wakristo ila kukiwa na waisilamu mahali hata wakifika 10% basi ni shida.
 
There you are..!

Sasa kama waimba kwaya wengi ambao unasema mwenyewe kuwa waliletwa na JK swali ni kwamba JK alipowateua aliwaambia kuwa waje kuwa vibaka?

Hao Woote waimba kwaya kina chenge..tibaijuka n the list is looong...sure waliletwa na JK wengine.

Je aliwaleta ili waje kuibaa?

Au nyinyi hiko ndicho mlichozoea?...
Halafu unaowatolea mfano ni wanasiasa na naamini kwenye majimbo yao hata waislamu mlishiriki kuwachagua.. kwa hiyo hapo usilalamike chochote. Na kama walikuwa wabovu ni Rais Pia mwisilam aliyewapa mamlaka... "your ignorance your problems" matatizo yenu waislam msitupe sisi waimba kwaya....... hata wale watoto wa kizanzibar pale forodhani wao wapiga mbizi tu kila siku kuwafurahisha watalii bado wakisikia kuna mwimba kwaya ka hustle kafika chuo na kapata kazi basi wao nao waanza kulalamika... "eti serikali yapendelea wakristo" kihoja cha mwaka..... your ignorance, your problems
 
Katika maelezo yako mtoa mada kuna vitu haujaweka sawa.
Udini: Haujasema wangapi wamepewa ajira kutokana na uisilam wao na elimu zao zipo vipi
Ubadhilifu: Haujasema ni kiasi cha shilingi ngapi zimeibiwa na Kabla shirika lilikuwa linatoa faida sh ngapi na baada ya Dr. Dau ni shilingi ngapi.
Kifupi naona kama watanzania tuna matatizo kuna dini nyingine wanajiona wao ndio wana elimu na uwezo wa kuongoza na nyingine hawana uwezo huo hilo ni tatizo kubwa na muda mfupi tutapata jibu.
 
Changamoto kubwa ktk mada ya udini ni ushahidi. Wanaomtuhumu Dau wanaonesha ushahidi kwa wakristo kunyimwa ajira kutokana na dini yao. Hii ni dhulma. Upande wa pili wataje kiongozi mkristo aliyeweka mfumo wa kuwabeba wakristo huku akiwadhulum waislam tokana na dini yao. Lkn tunaona pia bungeni upande wa bara wa bara wakristo ni zaidi ya 70%. Niwaachie mtupe maelezo kwa hili.
 
Hizi mada kila nikiziona nazikwepa lakini leo lazima niseme. Hivi hizi chuki dhidi ya uisilamu ni ili nini hasa? Inashangaza hata watu nilokuwa nikiona wanuwezo wakuchambua mambo kama kina Ben nk nao wanageuka wadini namna hii. Sasa mtu anasema hizo ndo facts,kuna fact gani hapo zimewekwa? Angeweka idadi ya watumishi NSSF,Nafasi zao kila mmoja,dini zao, elimu zao, namna walivyopatikana then hapo angalau ungesema ameweka facts. Lakini kwa hoja hizo halafu mtu anasema kabisa ni "facts"

Pili, lengo la hii mada ni udini tu na sio utendaji, Ukisoma utagundua kila mahali jamaa anasema mara kuajiri "wenzuti" mara kutengeneza tu nafasi za ajira kwa "wenzetu" bila kujali mahitaji nk. Nadhani mada ya udini ilishaletwa mara nyingi hapa ila inaonekana kuna watu kila kukicha hawridhiki bila ya kuwachokoza waisilamu. Hizi ni chuki za wazi wazi tu wala hakuna kupepesa macho.

Tatu,kama mleta mada angekuwa na lengo nzuri kwa nchi angeleza mapungufu ya NSSF kama shirika na sio kidini. Unaposema ungezeko la gharama(unazotaka kumaanisha kuwa hazikuwa za lazima) ila unasema kwasababu ya kuajiri "wenzetu" ili tu kuengeneza nafasi ni udini mtupu na sio uchambuzi huru. NSSF kama yalivomashirika mengine lazima liwe na shida zake na Dr Dau kama binadamu anaweza kuwa na mapungufu yake ila kwanini ishu iwe UISILAMU wake? Mchambuzi huru angeweka miradi ya shirika,faida na hasara za shirika (kwenye hasara akionesha na implicit cost kwa shirika) gharama zilizopaswa kubebwa na shirika kwenye miradi mbalimbali na gharama halisi zilizotumika (ili akisema ni inflated cost) tuwenze oanisha na akiwa na data kutoka ripoti za auditing zikimsapoti bila kuweka chuki za udini HAKIKA hata mimi ningemunga mkono. Ila kwa namna alivowasilisha narudia ni UDINI MTUPU.

Nne, kwa ndugu zangu wakristo nchi hii ni yetu sote. Hakuna kundi linalomiliki wala lenye hisa nyingi kwenye mali au isho yoyote inayomilikiwa na umma. Kwakuwa kwalipindi kirefu nafasi nyingi zimeendelea kushikiliwa na wakristo haimaanishi kuwa nafasi hizo ni zenu,NO. Waisilamu wanahaki kama ambavyo ninyi mnavyo. Na mkiendelea kuchokonoa hizi habari ninyi ndio mtapata hasara kwakuwa kwenye mashirika ya umma na hata serikalini sio tu kwa awamu hii bali hata ya JK ilopita ninyi ndio wengi na tukita usawa wengi wa ndugu zenu watakwenda na maji. Mahali paliwa na waisilamu hata 3 na 97 wakiwa wakristo bado haridhiki. Hata hivyo natambua kuwa kuna wakristo wacheche wasio kwenye hili kundi la udini kama "Lusungo" (kama alivodai hapo juu) nawaomba muwasaidie wenzenu kubadilika.

Mwisho,ndugu zangu waisilamu tutambue tu kuwa kuna baadhi ya watu wanatuchokoza kwa maksudi kwa sababu za chuki na wanazozijua wao,. Hakika dini yetu ni ya unyenyekevu. Mtume (SAW) aliigwa na watu wengi kwasababu ya tabia zake njema. Wakati mwingine tujaribu kuzuia hasira zetu(najua sio rahisi) na tuoneshe ubora wa dini yetu kwakuwaelewesha wenzutu bila kutumia kauli kali zaidi,huende akapatikana mwenye kuogoka kwasababu tu za tabia zetu In sha Allah. Amani ya Allah iwe juu yenu sote.
 
Achana nae...Anapost kwa hisia za udini badala ya kuangalia mambo ya msingi...

Anaambiwa NSSF kuna UFISADI mkubwa...Kuna KUSHUKA UFANISI...Kuna KUONGEZEKA kwa gharama kubwa za uendeshaji....

Hayaangalii hayo yeye anaegemea kwenye UDINI tuuuuu
Bala,

Kwa faida ya JF unaweza kutuwekea ushahidi wa ufisadi mkubwa wa NSSF ambao umesababishwa na Dr Dau, pamoja hizo tuhuma za kushuka kwa ufanisi.

Tutoe tongotongo mkuu.
 
Hili la majengo hapa Arusha ni jambo la kweli kabisa yapo majengo mawili moja lipo mkabala round about Kaloleni halina wapangaji 95% na lingine lipo mkabala na Christ church halina wapangaji kabisa yaani hadi unashangaa hizi fedha zetu zinavyochezewa.
Lile la pale round about limeupendezesha mji.
 
sasa kuna wajinga wanatetea hapa povu linawatoka utadhani mtu wao anasingizwa.

wa tz sijui tutabadilika lini.
Hivi nyie wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga? Unaamini vimaneno vya kizushi tu
 
UKWELI KUHUSU NA DR. DAU NA NSSF

Mimi ni mfanyakazi wa Shirika tajwa ambaye nimekuwepo toka enzi za kabla Mkulo ajawa Mkurugenzi wa shirika mpaka sasa hivyo nimeshuhudia mabadiliko hasa yanayohusu uongozi chini ya wakurugenzi wakuu hawa wawili.

Kwa ufupi Dr. ameliangusha Shirika kwa kiasi kikubwa, kwangu mimi ni failure.

Bahati mbaya uongozi wa wakurugenzi hawa hauwi exposed kwenye research za wasomi wetu kwani zingechangia kwa kiasi kikubwa “hazina’ ya maarifa ya uongozi kwenye taasisi za Tanzania hasa mashirika ya umma.

TAHADHARI

  • Natambua kwamba Dr alitumia pesa nyingi kwa waandishi wa habari kudhibiti habari hasizozipenda zisitoke. Hili yeyote mwenye uzoefu na ‘media’ ya Tanzania analielewa. Bahati mbaya sana hata jukwaa la wahariri kama taasisi imekuwa ikinufaika sana na fedha za shirika zisizo na maelezo ya kutosha chini ya mgongo wa shughuli mbalimbali.

  • Toka ameingia amekuwa akiajiri wafanyakazi kwa upendeleo kama nitakavyoeleza hapo chini, hivyo ana watetezi wengi kwa sababu tu ‘walibebwa’, na inaeleweka kuwepo kwa vibaraka anaowalipa wanaoshinda kwenye ‘social media’ kama hii.
KWA NINI NASEMA DR ALIVURUNDA?

Kwa ufupi tumuangalie kwenye sehemu kubwa zifuatazo

  1. Udini

  2. Ubadhirifu

  3. Kushuka kwa ufanisi

  4. Kuongeza gharama za uendeshaji
UDINI

Natambua unyeti wa hii mada, na mara nyingi wenye busara wamekuwa wakikwepa kuijadili kiundani. Lakini ukimya kwenye hili unachangia kuongezeka kwa tatizo, wakati mwingine ni muhimu kulizungumza umma ujue.

Udini umetamalaki sana kwenye Shirika kwani kuna makundi mawili, waislam wanaotamba bila aibu kwamba ni zamu yetu, na wengineo ambao wamekuwa labeled na kundi la kwanza kama mafirauni au wakorintho. Hili jambo liko wazi sana na kwa sababu anatumia secret informers watu wamekuwa waoga hata kuongea.

Binafsi nasikitika udini nilioushuhudia kwa msomi huyu. Udini ulihusisha mambo mengi;

  1. Kutoa vyeo kwa upendeleo. La kwanza alipofika alianziha scheme of work yak echini ya mwamvuli wa consultant “REDMA”. Kwenye hili kupanda ngazi kwa mfanyakazi hakukuangalia muda wa ajira wa mfanyakazi. NSSF ni moja ya taasisi za ajabu ambapo, mfanyakazi mwenye level ya elimu, say degree aliyetumikia Shirika kwa miaka 18 na rekodi nzuri ya performance, ana mshahara sawa na aliyeajiriwa mwezi uliopita!. Hili alilifanya makusudi hili kuwainua wapya na kuwakandamiza wa zamani. Uliza staff yeyote wa Shirika mwenye muda wa kabla ya Dr atakwambia jinsi alivyopandisha vyeo watu wake na kuwakandamiza ‘mafirauni” kama wanavyowaita.
Alianza kwanza na umeneja, na alitumia accomplices kama kina Dr Asad ambaye alikuwa mjumbe wa board lkn alitumika kama ‘consultant” katika kuendesha udahili na kutoa marks za upendeleo kwa candidates wa umeneja.

  1. Ajira za udini na undugu. Alipofika alihakikisha idara nyeti zote ameweka watu wa dini yake, au la basi boss wa idara anakuwa wa dini yake na surbodinates wote wanakuwa hawana nafasi ya kutoa ushauri. Kwanza alitangaza ajira za Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu (DHRA), cha ajabu watu wazito na wenye CV nzito walipigwa chini akachukuliwa Matesa, ambaye hata elimu yake ni questionable. Hili linaweza likathibitishwa na tume huru kwa kuwapitia walioomba hiyo nafasi na kuonyesha applications zilizofunikwa.
Huyu aliwekwa kwa makusudi kwani baada ya hapo ajira zilizofuata zilikuwa za ‘Msikitini”. Unaweza usielewe hili lakini ndio ukweli wenyewe. Inasikitisha pale watoto wa wakulima walipoitwa kwenye usaili toka sehemu mbalimbali za Tanzania kwa gharama kubwa, ili kujustify open recruitment process, lakini hatimaye wanaoajiriwa ni yale majina aliyopelekewa Dr na wazee wanapokutana misikitini. Uliza watu walioitwa kwenye usaili watakwambia pale unaajiriwa kwa kigezo cha dini.

Matesa bila aibu ameajiri watoto wake waume wa watoto wake na wake wa watoto wake.

Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba. Hapa ujazungumzia watu wa Kisarawe.

Lakini la kuchekesha zaidi ni ajira za mafungu na bila kutangaza wala interview zinazofanyika mara kwa mara. Ni kawaida sana kukuta wanaletwa wafanyakazi kama 6 au 18 na kuambiwa wakaripoti idara mbalimbali na zile idara/sehemu zinashangaa kwa sababu hawana uhitaji wa watu hao.

Zamani tulikuwa na utaratibu m,adereva na wahudumu wa ofisi wanaajiriwa na mameneja wa mikoa, faida ya huu utaratibu zinajulikana. Lakini sasa hivi matesa kajaza madereva wake mikoani hata wasio na sifa. Kuna dereva moja halishindwa kuendesha gari, ikabidi ampe kazi nyingine na kumleta mtu wake tena.

Kuna wafanyakazi waliopachikwa ngazi ya ‘officer’ wakati hawana degree kama requirements za position zinavyotaka.

Kwenye idara ya uwekezaji alihakikisha anajaza watu wake ili kulinda uozo wake.

  1. Kufukuzwa kazi kundi moja na kutofukuzwa kundi lingine.
Hii ni kwa wote wakubwa na wadogo. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala Mr Mniwako alifukuzwa bila sababu za msingi na Dr hakuona ni kuchezea fedha za umma kumlipa mamilioni ya shilingi, hili kuzuia kushtakiwa.

Pitia kesi mbalimbali za nidhamu utagundua wafanyakazi wengi walifukuzwa kwa kuonewa na ndo maana wengi wamefungua kesi.

UBADHIRIFU

Hapa ndipo penye uvundo wa karne.

Dr pamoja na kujitia ni mtu wa dini huwa nashangaa sana madhambi ya ubadhirifu anayofanya. Kwa picha ya nje, ongea na macontrakta watakwambia madeni wanaoidai NSSF na jinsi wanavyopigwa dana dana, ongea na wanachama watakiri kuwahi kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi, kadhalika wafanyakazi wa Shirika kucheleweshewa mishahara na malipo mbalimbali. Kwa ufupi kwa tulio ndani hali ya kifedha ni mbaya.

Lakini yote hii imesabnabishwa na ufisadi uliokithiri, na ninatoa rai ya kuwepo kwa special audit kwenye hili. Kwa nature bya shughuli za shirika huwa tuna balance short term investments na long term investments kulingana na projected short tern na long term liabilities. Lakini kwa utawala huu fedha zote zililazimishwa kwenda long term investments. Sababu iko wazi, hata kama hizo long term investments hazilipi, commission yake ni kubwa, yaani ni rahisi ‘kupiga’ fedha kubwa.

Angalia majengo makubwa Kigoma, Kahama, Arusha, Kilimanjaro na kwingineko. Yamejengwa kwa gharama kubwa(inflated costs) na hamna wapangaji! Hivi ni mabilioni mangapi ya watanzania yamezikwa? Dege beach, daraja la kigamboni etc.

Viwanja vilivyonunuliwa kwa inflated price ni vingi mno!

Tunamshukuru sana Mkulo aliyejenga asset base kubwa ambayo kina Dr wanaibomoa. Na kuna wajinga wanamsifu Dr kwa miradi isiyolipa naya kifisadi aliyoifanya, badala ya Kumsifu Mkulo kwa sound financial management iliyosababisha tuwe na strong asset base!

Kwenye ewekezaji kuna uvundo mwingi, rai yangu kuwe na SPECIAL AUDIT.

KUSHUKA KWA UFANISI

Kwa maelezo hayo juu ni wazi ufanisi utashuka. Ufanisi umeshuka sana hasa eneo la uandikishaji wanachama wapya na ukusanyaji michango. Kwa kiasi kikubwa hili limetokana na utawala wa kiimla na ushirikishwaji duni wa wafanyakazi kwenye uaandaaji mipango na mikakati inayotekelezeka.

Dr amekuwa aki dictate malengo mapya bila kuwa na justification. Mfano kuweka malengo ya kuandikisha wanachama 500,000 toka sekta isiyo rasmi wakati shirika toka lianze lina wastani wa idadi ya wanachama 500,000! Na hapo hamna mikakati na resources za kutosheleza zilizowekwa.

Vilevile kumekuwa na upangaji wa wafanyakazi kwenye idara husika bila kuwahusisha idara husika.

Sababu mojawapo ya kuweka malengo makubwa hata yasiyofikika hili aweze kutumia pesa zaidi kwani sheria yetu inataka matumizi yasizidi asilimia 15 ya kipato.

KUONGEZEKA KWA GHARAMA

Kutokana na maelezo ya juu nidhahiri gharama zitapanda. Shirika limekuwa na wafanyakazi wengi kuliko wanaohitajika sababu tu mtu alikuwa na ajenda ya kuajiri ‘wenzetu’ bila kuangalia mahitaji.

Vilevile vimeundwa vyeo vipya vingi hili kutengeneza nafasi za ‘wenzetu’. Pia uwekezaji uliopitiliza usiozingatia miiko, ufanisi, urari na uhitaji kwa wakati uliopo.

RAI KWA WANACHAMA NA WATANZANIA

  1. Hasara kwa shirika ni kubwa sana. Bahati mbaya vyombo vya udhibiti kama bodi havina nguvu na wamekuwa wakifaidika kwa malipo mbalimbali. Najua kwenye bodi kuna uwakilishi wa wafanyakazi kupitia Shirikisho, lakini wameshindwa kulinda maslai ya wanachama. Nawashauri mdai mabadiliko hili wawakilishi kwenye bodi wapigiwe kula kama ilivyo Kenya.

  2. Iundwe tume huru hili kuchunguza shutuma hizi ambazo ni nzito na nina uhakika ukweli utawekwa wazi. Ili la tume huru ni muhimu sana kwani litaondoa propaganda zinazoendelea na kuwachanganya watanzania, wasijue ukweli ni upi.
Siungi mkono ufisadi kama kweli upo. Haya mambo yamekuwa yakiongewa kwa muda mrefu hasa hili la udini. Minong'ono ni mingi sana ila hakuna ushahidi wa wazi wazi.
labda ni comment kwenye mada.

Mtoa mada amesema kuna limit ya matumizi yaani 15% ya collections sasa kwa kusema kwamba gharama za uendeshaji zimezidi, ina maana amevunja sheria na kutumia zaidi ya 15%?

Kuhusu kuajiri kwa mafungu basi nadhani hata Mkulo alikuwa akifanya hivyo. Nakumbuka mwaka 1997 Mkulo aliwachukua vijana toka UDSM na kuwaajiri bila kufanya interview, wengine ni wakubwa tu hapo NSSF.

Hayo ya ufisadi nadhani tume itayaweka wazi kama itaundwa kama alivyopendekeza mtoa mada.
 
Tatizo sio hawa wakristo, tatizo ni dini yao! ni mafunzo ya dini yao na wachungaji wao kuwa muislamu ni wa kuchukiwa popote alipo! ndio maana nilitoa mfano wa mchungaji kulalamika waislam wanaivamia ulaya na anaumia kabisa! hiyo roho ya hyo mchungaji ndo roho za wakristo zilivyo juu ya waislam! anyway uislam si dini ya kuiangalia dunia sana, ni dini inayofocus maisha ya milele kesho akhera huko! hatuitegemei serikali sie, we always stand alone
 
ndugu JAGIRO Umetoa joto lako sawa tumesikia... Lakini MIRADI yote inaonekana na itazalisha matunda haswa katika wakati maalum !! (huwezi ukalima leo na ukavuna leo jioni) !!

Halafu nawe JAGIRO una element ya udini na ukabila maana umewalenga wa PEMBA !! jee wao siwatzzz?
jUST BE FAIR !!
Mbona yule aliyejenga nyumba Mchechu mnasema nyumba kamaliza ila haziuziki?? Mbona yeye hamsemi investment ya leo tutaiona kesho?? Au kwakuwa yeye mkristo
 
Back
Top Bottom