Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Tafuteni audit report ya Ernst and Young ya mwaka 2015... Mtapigwa na butwaa, Kuna uozo ambao hauvumiliki, na mambo yote yameanikwa kwenye report mpaka issue za HRH
sasa kuna wajinga wanatetea hapa povu linawatoka utadhani mtu wao anasingizwa.




wa tz sijui tutabadilika lini.
 
Sasa kama ni vigumu kuthibitisha kuwa wakristo huko mliko jaa wengi kama kuna misa au kuna sherehe za kula kiti moto mnachukuana kwa vigezo vya ukristo iweje hushangai huko kwingine waislam wanaonekana kupata nafasi?

Hao Waislam wanaonekana Nssf wanatoka wapi had mmseme wamejaa na hao waimba kwaya waliojaa huko wanatoka wapi hadi waislam wasionekane?

Hutumii akili?

Sikia wewe muimba kwaya stuka...hizi siyo zama za kambarage zile mlizozoe kubebwa bebwa eti kwa propaganda kuwa waislam hawana shule.

Mnashangaza sana.

Mmejazana huko hakuna cha maana mnachofanya zaid zaid ya kuwa majipu tuh
Ni vigumu kuthibitisha kama wakristo wengi wanaajiriwa kwa kigezo cha dini maana wengi wana weledi wa elimu unaotakiwa tofauti na majority ya waislam wanaoajiriwa. Kubali tu kwamba kwenye elimu mpo chini na ndo muanzie hapo kujirekebisha. Maeneo mengi yenye waislam bado mwamko wa elimu mdogo... na msipo jirekebisha mtalia mpaka mpaka mwisho wa dunia.
 
Aisee acheni hizi blabla zilizojaa chuki... Fitna.... Visasi.... Majungu na husda!

Hakuna ushahidi uliotolewa mpaka sasa unaoonesha uhalisia wa hayo usemayo.... Ndio maana Sefue alishindwa Ku provide ushahidi mzito kwa Magu na kuonekana ni mbabaishaji....

Umeeleza sana ya udini vipi umegusa managerial posts za PSPF..... PPF.... LAPF na GEPF? Umeona huko ni dini na kabila gani zimeshika hatamu?

PSPF now linapumulia mirija liko mbioni kufilisika... PPF iko hoi hujajiuliza why NSSF bado ni leading fund yenye mtaji Mkubwa na ufanisi kuliko mifuko yote?

SSRA unafahamu ndiye regulator mkuu wa hii mifuko na unafahamu credits walizoipa NSSF?

Mimi ni mkristo ktk hili sitaki unafiki Dau amelifanya NSSF liwe na ufanisi kuliko nyakati zote....

Nakumbuka wakati ule TANESCO mliendesha vita nzito kumwondosha Dr Idriss Rashid ambaye aliifanya TANESCO kuwa strong kwa muda mfupi na aliweka mipango kabambe kama ingetekelezwa na hawa mgao na uhaba wa umeme ingekuwa historia but now TANESCO inatengeneza hasara ya zaidi ya billion 450!!!!

Ndugu umesema sahihi kabisa. Mimi na wadanyakazi wenzangu mwezi wa 10 tumelipwa mafao ndani ya siku 10 bila kuchelewesha. Maana kampuni Yetu ilikufa. Kwanini watu wanapenda sana kusema uongo? Una faida gani?
 
Duuuh hatariiii, hii nchi kila anaepewa nafasi anaitumia kisawa sawa kujinufaisha
 
Nilianza kusoma nilipofika hapa " Dr amejaza hadi wapemba" nikaacha maana naamini wote wanaomuita Dr Dau mdini ni watu wenye chuki uislamu na waislamu. Ila huyu ni ameingezea na ubaguzi, siamini mwaka 2016 bado kuna watu wana ubaguzi wa kijinga jinga hivi.
Mkuu nami sipendi udini na ukabila. Lakini hilo halizuii kujua fikra ya mtu. Wengine huwa na nia nzuri ila wanashindwa kuwasilisha wazo.
 
Kama kweli huyo mtoa mada ni mtumish wa Nssf nasi atakuwa ni mdeki choo

Kwa sababu kwa akili ya kawaida kabisa hata watu ambao hatupo huko tukiingia tuh kwenye website ya shirika tunajua kuwa kipindi .Dr Dau anaongia assets thaman ilikua kama 170billions na had anaondoka assets ni over 3trillion.. atasemaje shirika limedrop.

Kipind Dr Dau anaingia data zinaonesha officer alikua analipwa almost kama lak 5 na 20elfu hiv..hiv sasa ni zaid ya 1M..utasemaje kwamba shirika limedrop...au ni chiz huyo?

Dr Dau kipind anaingia Nssf nan alikua anaijua?

Lakn hiv sasa Nssf ni leading pension fund siyo Tuh Tanzania bali ni East and Central Africa..na vision yao ni kwamba hadi 2020. Ni kuwa leading pension fund Africa..!huyo anaejiita ni mfanya kaz wa Nssf anashindwaje kujua hata mission and vision za muajiri wake?

Kama siyo chuki ni kitu gan.
mkuu upo biaed sana,halafu mtu kuwa muislam hakmfanyia kuwa malaika kana kwamba hakosei....kuongezka kwa mtaji ndani ya nssf pamoja na mishahara hakumfanyi dau kuwa mr clean.......


kama mtu aliharibu ukweli usemwe,kama mtu alifanya mazuri asifiwe,,,dau kasifiwa sana sasa kuja kwenye kuweka mabaya yake wazi povu linakutoka.


watz tuna shida sana maana hatujui ni wapi tunasimama,hatujui tunaimama kwa ajili ya taifa ama tunasimama kwa ajili ya dini zetu.



kuhusu udini wa dau ,kila kitu kimewekwa wazi,watu wanakwambia iligikia stage mpaka wafagizi na walinzi wanaajiriwa kwa dini zao hili nitatizo tena kubwa sana.
 
Ndugu umesema sahihi kabisa. Mimi na wadanyakazi wenzangu mwezi wa 10 tumelipwa mafao ndani ya siku 10 bila kuchelewesha. Maana kampuni Yetu ilikufa. Kwanini watu wanapenda sana kusema uongo? Una faida gani?
Palipo na ukweli pasemwe.... Hili ni shirika pekee ambalo serikali inakimbilia kukopa hela ikifulia na hairejeshi....

Fitina ni mbaya Dr Dau ni miongoni mwa ma DGs ambao nawakubali sana....
 
Ningependa kujua baada ya Dr. Dau (MM) . Wakurugenzi wengine wote ni dini gani? Je waislam ni wangapi kwenye Hilo kundi? Pia mifuko mingine nako tujiulize swali Kama hilo.
 
Nimekuuliza swali.

Kuna Tatizo muislam Mtanzania ndan ya nchi hii kuajiriwa?

Mbona wakristo wapo weengi tuh huko Nssf kushinda hata Waislam?

Shida yenu ni nin hasa?

Huko kwenye mashirika mengine mmejazana kama kumbi kumbi na hamsemi kuhusu udini...kwaiyo mnaostahili ni nyinyi tuh?

Nyinyi. Majipu mna kazi sana.
mkuu upo biaed sana,halafu mtu kuwa muislam hakmfanyia kuwa malaika kana kwamba hakosei....kuongezka kwa mtaji ndani ya nssf pamoja na mishahara hakumfanyi dau kuwa mr clean.......


kama mtu aliharibu ukweli usemwe,kama mtu alifanya mazuri asifiwe,,,dau kasifiwa sana sasa kuja kwenye kuweka mabaya yake wazi povu linakutoka.


watz tuna shida sana maana hatujui ni wapi tunasimama,hatujui tunaimama kwa ajili ya taifa ama tunasimama kwa ajili ya dini zetu.



kuhusu udini wa dau ,kila kitu kimewekwa wazi,watu wanakwambia iligikia stage mpaka wafagizi na walinzi wanaajiriwa kwa dini zao hili nitatizo tena kubwa sana.
 
Vipi mbona hujasema kuhusu mikopo ambayo Serikari ilipewa na shirika na bado haijarudishwa na kusababisha mfuko huu ma mingine kuwa katika hali mbaya?
Hilo gumu kusemwa na mwenye chuki
 
Nilianza kusoma nilipofika hapa " Dr amejaza hadi wapemba" nikaacha maana naamini wote wanaomuita Dr Dau mdini ni watu wenye chuki uislamu na waislamu. Ila huyu ni ameingezea na ubaguzi, siamini mwaka 2016 bado kuna watu wana ubaguzi wa kijinga jinga hivi.
Amegusia wapemba sio sababu ya dini yao, kumbuka mtoa maada amezungumzia undugu. Mke wa Dr. ni mpemba PLEASE
 
Magufuli naye mdini, kishaanza kujaza watu wake cristian, nchi hii kitawaka tu! Wewe ndio mdini mkubwa .
 
There you are..!

Sasa kama waimba kwaya wengi ambao unasema mwenyewe kuwa waliletwa na JK swali ni kwamba JK alipowateua aliwaambia kuwa waje kuwa vibaka?

Hao Woote waimba kwaya kina chenge..tibaijuka n the list is looong...sure waliletwa na JK wengine.

Je aliwaleta ili waje kuibaa?

Au nyinyi hiko ndicho mlichozoea?...
lakini kumbuka majipu mengi yamelelewa na yule mwislam mwenzenu wa Msoga....... Halafu ninyi watu wa ajabu sana kila siku mna lalamika serikali inawaonea akati JK mwisilam na alitawala miaka 10.. Hivi hamuoni nyinyi waisilam wenyewe ndo chanzo cha matatizo yenu? Nyinyi msijirekebishe endeleeni kupiga majungu wakristo mkidhani kuna hakimu atawaamulia.. "nyetu na roho zenu za korosho, sisi tunasonga tu"
 
Mkuu nami sipendi udini na ukabila. Lakini hilo halizuii kujua fikra ya mtu. Wengine huwa na nia nzuri ila wanashindwa kuwasilisha wazo.

Wakati dunia inafikiria uraia wa dunia mtu anafikiria kabila lake, kweli tutafika?
 
Inashangaza sana.

Ukiingia kwenye taarifa za shirika utaona kuwa kipind choote ambacho Dr Dau amehudumu kwenye hiyo ofis assets turnover imekua kutoka 170billions up to 3Trillion..

Nssf chini ya Dr Dau haijawa leading pension fund only in Tanzania but also east and central africa.

Ukiisoma vision yao Nssf ni kwamba up to 2020 iwe ni leading provider of pensions in Africa..!

Then huyu pimbi anaejiita eti ni mtumish wa Nssf anashindwaje kuliona hilo?

Kama siyo mimba za chuki alizonazo tuite ni kitu gan?
 
Ni naanza kwa kukushukuru mtoa mada, pili ninawalaani wte walio kutusi, nikutie moyo kuwa humu ndani vibaraka wake wapo, hasa alio wapa kazi kwa wabeba ipo mingi umu, ukitaka nikutajie ntaktajie, tatu, nitoe rai kwa usalama na Mtumbua majipu mkuu kuwa anzieni hapo alipo anzia mtoa mada kama kweli mnajua meaning ya investigation.
 
Tunaomba TUME liundwe ili tujue mbivu na mbichi. Nchi hii imechezewa sana.
 
Amegusia wapemba sio sababu ya dini yao, kumbuka mtoa maada amezungumzia undugu. Mke wa Dr. ni mpemba PLEASE
Upuuzi ule ule tu sasa kwakuwa Dau kaoa Mpemba wapemba wote hawatakiwi kufanya kazi NSSF. Kesho huyu mtu akisema mke wa Mchechu ni mchaga kwahiyo wachaga wote walioajiriwa NHC wamependelewa utamuelewa?
 
Back
Top Bottom