Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Tanesco..Tra..Pspf..Lapf..Gepf
Ewura..just to mention but a few of them wamejazana waimba kwaya na wakristo utadhan kuna misa za maombi stil hawaon na hawazungumz kuhusu udini..

Nssf kuongozwa na DG Muislam na kuonekana baadh ya waislam wanaojitambua kuwapo huko imekua nongwa...kutwa kucha mapambio ya chuki na mahubiri ya uhasama hayakomi.

Hamtaki waislam waajiriwe huko mnataka nan sasa waajiriwe?

Nchi hii kwan ni mali ya kanisa?

Na kikubwa zaid ni kwamba mbona mmejazana sana huko na hakuna cha maana mnachofanya zaid zaid ya wizi na ufisadi?




Mkuu mbona Tra alikuwa Rashed Bade na ameondolewa au sababu yule alikuwa hana time yeye anapiga whisky na wine mkaona anafanana na kafiri kama mnavyolabel wenyewe basi hakuna noma tutamwambia magufuri majipu ampeleke Prof Assad au Mzee wa whisky Rashed Bade kidogo mtatulia
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Hata,wew? Naulaumu ukoloni, mtu hajatoa statistics wew unaamini ,tena hakuna evidence yoyote.
 
mkuu kwenye hili hakuna umbeya,sababu mtoa mada nimtumishi wa nssf anayajua mengi na mengi ameyashuhudia.,,,,inshu ya kuajili watu kwa muktadha wa dini ni janga kubwa kuliko hata ubadhirifu.


Kama hiyo ishu ni janga kubwa then what about other Parastarals or Public companies lkn Tra..Tanesco..Pspf...Lapf..Gepf..na kadhalika ambako nyinyi mmejazana huko kama mnafanya misa hamuoni kuwa nako ni janga?

Au wenye hati miliki ya kuajiriwa ni nyinyi tuh wainjilist?

Na mtadhan kuna cha maana basi mnachokifanya zaid zaid ya wizi na ufisadi.
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
 
Wewe checkbob umeshatoka jela?

Na ile kesi yako ya kushobokea mambo ya watu vip...

Tulishakuambia acha kujipendekeza kwa wanaume


Eti chademaa chademaa wewe na mwenzako saa nane tuliwaambia mnajitumikisha wenyewe kama mipira tuh...hamna anaewatamhua ndan ya chadema

Mwisho wake nadhan umeuona kenge wewe.

Kuna haja gani ya kutukana kijana?
 
Waimba kwaya wengi wao wana chuki sana

Angalia haya mashirika kama Tanesco..Tra..Ewura..Pspf..Gepf..Lapf..Nhif..Nhc just to mention but a few...

Wamejazana waimba kwaya na walokole huko utadhan ni hati miliki ya kanisa kumbe ni mashirika ya umma

Huwez kuskia hoja za udin zinazungumzwa huko...

Sababu wamejaa wao tuh

Sasa basi cha ajabu hakuna cha maana wanachokifanya zaid zaid ya wizi na ufisadi.
 
Narudia kusema hizi roho mbaya za wakristo ndizo zimeifanya hata li lao libaki Africa peke yake! Wazungu na waisrael limewashinda! how comes wanakuwa ni miroho yenye kutu kiasi hiki?, are these real human beings???? nadhani funzo kuu kanisani ni kumchukia muislamu popote pale alipo
 
Sikia wewe muimba kwaya.

Mwambie huyo mwenzako aje na facts...

Anaposema kuhusu assets tumemwambia hapo juu kwamba according to data from Nssf website kipind Dr Dau anaingia assets thaman yake ilikua ni 170B na hiv sasa had ameondoka assets alizoacha thaman yake ni 3 Trillion na ushee je ufanisi umeongezeka au umeshuka?

Kipind Dr Dau anaingia Nssf no one used to know Nssf lkn until Dr Dau anaongoza Nssf is leading East and Central Africa...sasa unawezaje kusema kwamba utendaji wake haukua na tija?

Na kama alikua jipu iweje president magufuli asimwajibishe na badala yake amteue nafas nyingine zaid?

Amehofia nin kumtumbua?

Shida yenu waimba kwaya ni chuki dhidi ya uislam na waislam

Swali ambalo mimi nataka wewe unijibu ni hili .

NYINYI TOKEA NCHI HII IPATE UHURU MMEJAZANA HUKO KWENYE SEKTA MBALI MBALI ZA UMMA MPAKA MMEJISAHAU NA KUDHANI NI NYIYNYI PEKEE WENYE KUSTAHIKI KUWEPO HUKO...SASA NAKUULIZA MMELIFANYIA NIN TAIFA HILI MBONA LIMEZID TUH KUWA MASKIN?

NA MNAJIITA WASOMI AU MNACHOJUA NYINYI NI WIZI TUH NA IFISADI?
Mimi sijawahi kujitia Msomi Chifu...

Pia mimi si Muimba Kwaya....Ni Muimba Kaswida kama wewe...

Unaonaje ikiundwa Tume na pia ufanyike Ukaguzi Maalum kuchunguza hayo madai ya mtoa mada hasa hilo la UFISADI?..

MIMI NI MUIMBA KASWIDA MWENZIO...Sio Muimba Kwaya kama unavodhani
 
Kuna haja gani ya kutukana kijana?

Wewe ni mshitakiwa kwa sababu ya kudandia mambo yasiyo kuhusu na kuongea ongea kwa shobo mambo ya wanaume huku ukitarajia kuganga njaa

Je umeiona chadema ikikusaidia kwenye kesi yako?

Ulikua unamfuata fuata sana zito kabwe enz zile kwa kijiegemeza nyuma ya Dr Slaa na mbowe...

Je Dr Slaa yuko wapi hiv sasa?

Na je mbowe au chadema imekusaidia?

Zito katoka chadema na stil mbunge je wewe na juha mwenzako ben saa nane mna nin?

Show me what you gat..!

Mjin hapa achen kufuatilia mambo ya wanaume na kujitia kimbembele.
.
Kuna kuolewa.
 
Kuna mtu alileta UZI humu ndani kumuhusu huyu huyu Dr. Dau (Naomba nisimtaje cause anasifika kwa topic za kidini sana) Nakumbuka nilichangia UZI mara 1 tu, niliuliza hivi; "Mkuu na wewe ni mwananchama wa hu mfuko? Mi ni mwana chama wa NSSF na PPF" Wengine apart from udini wake tulimjua na kumfahamu vizuri but pia naomba nirudie msimamo wangu, kusimamia mashirika kama ya hifadhi ya JAMII si kazi ngumu, huhitaji kutumia akili nyingi, pesa zinakuja zenyewe tu. Sema kwa nchi yetu kinacho angusha ni wana siasa hasa wa ccm kujichukulia pesa huko bila nidhamu yeyote.
 
Kuna haja gani ya kutukana kijana?
Achana nae...Anapost kwa hisia za udini badala ya kuangalia mambo ya msingi...

Anaambiwa NSSF kuna UFISADI mkubwa...Kuna KUSHUKA UFANISI...Kuna KUONGEZEKA kwa gharama kubwa za uendeshaji....

Hayaangalii hayo yeye anaegemea kwenye UDINI tuuuuu
 
Kwa akili ya kawaida hakuna mtu chiz ambae anaweza kumuamin chiz kama wewe.

Una case ya kujibu mahakaman kwa kushobokea mambo ya wanaume kama haya.

Umeikana hadi nasaba ya mzee wako mzee msambila na kujibandika nasaba ya nyerere ili uwatapeli watu but stil ukafeli

Inshort wewe ni mtu wa kuupuuzwa na kuonewa huruma tuh.

Mnamzungumzia Dau yupi?

Huyu anayemiliki uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu nyumbani kwake hapa kigamboni huku wachezaji ni watoto wake na mtazamaji ni yeye?

Huyu anayemkodishia mwanae ndege kwenda rufiji asubuhi kushinda na bibi yake na kisha jioni ndege hiyo inamrudisha kila ijumaa?

Huyu anayejilipa mshahara milioni 38 kwa mwezi?

Dau yupi huyo?
 
Ufisadi wa kuzungumzwa pasi na ushahid?

Thats the problem of waimba kwaya.

Kama unasema kuna ufisadi na ubadhirifu then uweke na ushahid

Unaongeaje maneno matupu kama uko kwa bwana wako gwajima.
Achana nae...Anapost kwa hisia za udini badala ya kuangalia mambo ya msingi...

Anaambiwa NSSF kuna UFISADI mkubwa...Kuna KUSHUKA UFANISI...Kuna KUONGEZEKA kwa gharama kubwa za uendeshaji....

Hayaangalii hayo yeye anaegemea kwenye UDINI tuuuuu
 
Waimba kwaya wengi wao wana chuki sana

Angalia haya mashirika kama Tanesco..Tra..Ewura..Pspf..Gepf..Lapf..Nhif..Nhc just to mention but a few...

Wamejazana waimba kwaya na walokole huko utadhan ni hati miliki ya kanisa kumbe ni mashirika ya umma

Huwez kuskia hoja za udin zinazungumzwa huko...

Sababu wamejaa wao tuh

Sasa basi cha ajabu hakuna cha maana wanachokifanya zaid zaid ya wizi na ufisadi.
Hivi wana kwaya wote wa TOT (ile band ya ccm) ni Wakristo? Nimesema hivyo nikitaka kujua kama unadhani waimba kwaya wote hua ni Wakristo tu; Anyway issue hapa sio DINI ya Dr. Dau bali issue hapa ni UDINI wa Dr. Dau kwenye masuala nyeti ya UMMA, kwani kiongozi mkubwa nchini ambae ni muislamu ni yeye Dau peke yake? Mbona watu hawajalaumu kuhusu Kamishna wa TRA aliyetoka kwamba alikua mdini? Mwenye busara huchunguza kama mambo aliyotuhumiwa ni ya kweli au LAA kabla ya kufanya tu counter attack.
 
Tafuteni audit report ya Ernst and Young ya mwaka 2015... Mtapigwa na butwaa, Kuna uozo ambao hauvumiliki, na mambo yote yameanikwa kwenye report mpaka issue za HRH
 
wa kulaumiwa nchi anajulikana JPM anabeba mzigo kusafisha mungu ampe uwezo huo
 
Huyo huyo rafki yake mchechu wa NHC anayelipwa million 35 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom