Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

umekariri sana mkuu
 
Hii sentensi yako, pamoja nazingine za wenzako, inathibitisha kuwa wengi wa mnaoamini uwepo wa Mungu mna upeo mdogo sana wa kufikiri!

Kama tu umeshindwa kukubali uwezekano wa kulelewa na mtu unaedhani ni mzazi wako, halafu asiwe mzazi wako.

Ndugu yangu,unaweza kudhani mtu kachuchumaa kumbe kasimama,lakini wewe unayejiona umesimama,si tu umechuchumaa,bali umekaa chini kabisa.
 
Hii sentensi yako, pamoja nazingine za wenzako, inathibitisha kuwa wengi wa mnaoamini uwepo wa Mungu mna upeo mdogo sana wa kufikiri!

Kama tu umeshindwa kukubali uwezekano wa kulelewa na mtu unaedhani ni mzazi wako, halafu asiwe mzazi wako.

Ndugu yangu,unaweza kudhani mtu kachuchumaa kumbe kasimama,lakini wewe unayejiona umesimama,si tu umechuchumaa,bali umekaa chini kabisa.
 
Ndugu yangu,unaweza kudhani mtu kachuchumaa kumbe kasimama,lakini wewe unayejiona umesimama,si tu umechuchumaa,bali umekaa chini kabisa.
Ukweli usiopingika ni kuwa wanaoamini kuwa kuna Mungu hawawezi kudefend madai hayo kwa hoja zenye mashiko, sana sana wataishia kusema tu kuwa ukimchunguza Mungu huwezi kumjua, eti hachunguziki, kwa waislamu wao wanalinda imani yao kibabe na ukiwazidi kwa hoja watakwambia umekashifu na wanaweza hata kukuua.

Huo ndio ukweli!
 
Any way!!
Hivi ndivyo umefundishwa toka ukiwa mdogo, sikulaumu. Hata mimi ilifundishwa na kuamini hivyo.

Lakini tujiulize, huko kuzimu ni wapi?, na huko jehanamu mnakosema kuna moto na waovu wanaungua huko, Mbona maandiko yanasema Mungu ni upendo na yuko mahali pote, hakuna mahali ambapo Mungu hayupo, swali; In maanayupo hadi jehanamu?!
Mungu ni upendo na yuko mahali pote, inakuwaje kunakuwa na uovu?!, Mungu awepo hapo hapo na uovu uwepo hapohapo inawezekanaje?

Kwa hiyo ukifikiria vizuri, utagundua hayo yanayoitwa maandiko matakatifu ni stori za kutunga tu tena na primitive people!
 
Pokofame you are amazing. Would love to see more of your posts. I like the way you argue..
 
Last edited by a moderator:

mbona hata watoto wanakufa mzee
 
#Pokofame japo hakuna anaejua ukweli ila una argue kwa hoja zinazonekana...tatizo watu wengi tunajiwekeaaga guidelines tunapohoji masuala ya msingi kama haya
 

Huu ni ukweli ulio wazi japo sikushauri kuwa uamini kwamba Mungu hayupo.
 
Pokofame kwanza nakupongeza kwajinsi unavyojib maswal bila kutumia lugha ngumu japo kuna baadhi yetu nadhani kwa kuelemewa na iman za dini zetu tunajikuta tumeongea lugha ambazo si nzur sana hasa ikizingatiwa kwamba wao tayar washajinasibisha na uwepo wa Mungu.


Neno Mungu au imani ni uwezo wa mwisho Wa binadam kufikir na kuja na majib halisia. Au naweza sema ndipo ujinga wa binadam unapoanza sbb hatuwez kujib baadhi ya maswal yaliyopo mbele yetu, mfano tunaambiwa uhai wa viumbe wote duniani ni matokea ya chembechembe hai ndogo sna zilizounganika pamoja na kufanya kiumbe kamil ambae ni binadamu au kiumbe mwingine, hapo ndo uwezo wetu wa kufikr unaishia na ujinga unaanza. Naujinga wenyewe unatokana na swali ambalo tumeshindwa kujib kwamba nini chanzo cha hizo chembechembe hai zinazoleta uhai? Tukasema tumuachie Mungu.


Binafs nakubaliana na uwepo wa Mungu sbb we can never trace back origin ya kitu chochote that exists. Sasa kama Mungu yupo lkn hana nguvu kama zamani ili swala kwangu kama mkristo bado linabak kiimani zaidi japo tunajiuliza Mungu yule aliewatokea watu miaka hiyo na kuwaadhib wasio mtii kwnn leo yupo kimya wkt waafrika tunauana, wapalestina na waisrael hakuna amani kimsingi kila pande ya dunia hali si shwar 100%. Kwann asijitokeze na kuamuru amani itawale duniani klk kuacha watu wasio na hatia kama watoto, wakina mama na wazee kuuliwa tena kikatili? Wakristo tunasema Mungu ni upendo sijajua kama hii ni sahihi kwa waislam, tunaposema Mungu ni upendo ni kwamba katupatia vitu vyote dunian tuvitawale na tufanye tunavyotaka mazur ambayo katufindisha tuyafuate na mabaya ambayo katukataza ili dk ya mwisho atu hukumu kwa haki japo bado ni Imani sbb hakuna anayejua kwa hakika what follows after death.


Ni kama mwl anakufundisha 1+1=2 na Mungu alikua anawafundisha watu kwa kujitokeza ili ajulikane sbb kabla alikua hajulikani na jamii ya watu wa miaka hiyo. Wote tunajua siku ya mtihani mwl hakufundish tena anakuacha huru ufanyeutakavyo sbb anaamini alishakufundisha nini ufanye, so kama ukiandika 1+1=3 anakuacha ili akuhukumu atakavyo sahihisha mtihani wako na uwez kumlalamikia sbb alishakufundisha na siku ya mtihani alikuacha huru. Kwahiyo Mungu leo hii hawez kutu amrisha nini tufanye kwan atakosa haki ya kutuhukumu siku ya mwisho.


Lkn la mwisho nadhan tulivyo aminshwa kuhusu Mungu na mapokeo ya hiz dini mbil yametujengea hofu na uoga wa kuhoja hata vitu vidogo vya kimsingi kwa lengo la kutujenga zaid. Ndio maana ukiongelea imani za hiz dini mbil au Muhammad na Yesu unaweza kupingwa kwa lugha ambazo sio za staha hata kidogo lkn sbb kubwa tulishajengewa hofu ya ajabu ya kutokuuliza maswali ya kimsingi. Ni hofu ambayo haina sbb ila chamsingi ni kuwa wakwel, wawazi na kuheshimiana huku tukijua juu yetu yupo NGURUVI/MUNGU/ALLAH/GOD na majina mengine kama hayo.
 
ni Ajabu na Kweli Mods uruhusu post havi kama hii:A S 41:. Nilitegemea wangeshaweka kufuli toka long time.
Pokofame kwa maoni yangu tatizo la hii Dunia sio hizi dini wala Ukweli wa hizi dini, Kwani dini ni Imani, bali tatizo ni uwepo wa extremists, ak.a fundamentalists katika dunia ya kistaarabu. Hawa ndio tatizo kuu linalofanya dini yoyote ichukiwe.
 
Nilichokuja kugundua ni kuwa wengi kama sio wote wanaopinga na kuhoji uwepo wa Mungu hawajui chochote kumhusu Mungu.....

Ni ajabu sana hii.....
 
Kubomolewa kwa hekalu_ "halitasalia jiwe juu ya jiwe" halikutimia?

Kupigwa na kurudi kwa taifa la Israel katika nchi yao, halijatimia?

"Na injili itahubiriwa katika mataifa yote", halijatimia?
Jiandae Yesu anakuja upesi
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wanaweza hata kuandamana kupinga ukweli huu Pokofame
 
Last edited by a moderator:
Kubomolewa kwa hekalu_ "halitasalia jiwe juu ya jiwe" halikutimia?

Kupigwa na kurudi kwa taifa la Israel katika nchi yao, halijatimia?

"Na injili itahubiriwa katika mataifa yote", halijatimia?
Jiandae Yesu anakuja upesi

Soma vizuri historia ya imani yako kutoka vyanzo mbalimbali. Kwa bahati nzuri katika Karne hii unaweza kupata vitabu vya zamani kabisa na kupata ufafanuzi wa kihstoria wa matukio mbalimbali ambayo yamepelekea uwepo wa imani zetu.
Imani zetu leo ni matokeo ya watu flani waliokuwa na malengo flani katika maisha/utawala wao. Baadhi ya watu hawa walikuwa wafalme na wenye mamlaka. Wengine walikuwa na vipaji flani vya kutunga na kufanikisha mipango kadhaa. Ikumbukwe kuwa imani zetu tumeletewa tu kutoka nchi zingine na kuaminishwa kuwa Mungu wa nchi hizo ndo wa maana. Tumeundiwa mfumo kutetea mtizamo huo na ndio maana tumelelewa katika imani hizi. Tumetiwa hofu kujadili nje ya imani hizi. Elimu duni ya lugha za kigeni na ukosefu wa taarifa mbadala za imani zetu ndio zimefanya hali hii iendelee kwa muda mrefu. Lakini hali inabadilika. Watu wanaendelea kujifunza lugha mbalimbali kuanzia kiingereza hadi Kiyunani, watu wanapata access na documents za zamani kabisa (kupitia mitandao) zenye kutoa ufafanuzi wa nini kilitokea hadi kuwepo kwa imani zetu. Ndio maana ukienda nchi zilizoendelea (kule ambako imani zetu zimetokea) utashangaa kuona imani hizi zinaendelea kukosa wafuasi siku hadi siku na pia utaona mkanganyiko mkubwa kwa kile unachoamini.
Sio vibaya kuamini unavyoamini lakini sio vizuri kufikia hatua ya kutoa uhai wa mtu au kuacha kufanya jambo flani lenye manufaa kwenye jamii yako eti kwa kufungwa na imani yako (ambayo ni matokeo ya mawazo ya watu wa kale waliokuwa na lengo flani). Ni sawa na kuimba wimbo usioujua. Ni mtizamo tu.
 
"THE TRUE GOD IS YOURSELF,MAKE IT HAPPEN NOW " napata ukakasi kwa hii phrase yako ,nimejaribu kukuelewa ila kwa hili nipe miaka 100 ndio nitakuekewa
 
Dah, niajabu sana kuanalyz kitu usicho kijua zen unajipongez kwa kukijua. Yote uliyo kwye mada yko hakuna unalona uhakika nalo, inamaan hujui, basi kwanini usiwafate wahusika ili wakueleweshe?,

Si vyema kumtafakari na umchambua uliye kuwa humjui mana huta patia, katika hao ulio wataja wanamakosa, hao wote hawana makosa ila mwenye makosa tena ya ajabu niwewe, huwezi kudirik kumkataa alie kuzaa na kukulea.
Kwenye Qur-ani hakuna hata sehem moja yenye makosa au kusema uongo, Qur-ani nikitabu kitukufu kilicho kusanya yaliyopita nayajayo bila kukosea, Qur-ani si maneno wala mawazo ya mtu yoyot yule ila ni maneno ya MUNGU (ALLAH) bila y kumshirikish yoyot, maisha yote ya dunia yamo kwenye Qur-ani tukufu kuanzia mwanzo wake hadi mwisho wake.

Sitamani kukuuliz unaelim gani bali itatosha kujua umbumbumbu na uasi wa akili yko. Ni vyema kujifunza ipasavyo ndio uaminishe wengine.
 

Watu wachache wenye akili huru tutakuelewa ila wale wengi ambao ni mazezeta na ma-zombie watakuja na matusi, vitisho na upuuzi uliotukuka!
 

JESUITS UNDER OPERATION! Black pope in command! hatushangai kwetu sisi tunaowajua, kazi yenu inajulikana baba, all the best.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…