Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)


Wewe na wenzako uyo lucufer anawadanganya sana na leo mnadiliki kusema hamna Mungu.Mnatumika kuandaa njia ya 666.Mmeuza nafsi zenu kwa lucufer.poleni sana.Kule kuzimu wanapowapelekaga kwani hawajawahi kuwambia kuwa lile ni Gereza lake na aliwekwa uko na mwenye maalaka..Pale mnapofanyaga ritual zenu za kunywa damu za watu ndo mnajiona kuwa mnauwezo wa kujiita kuwa nyie ni Miungu watu? Na nguvu zenu zilishavunjwa mda mrefu sana.mlivyo wajinga umeuza adi nafsi zenu kwa upumbavu wa kukosa maarifa.Sasa kama Mungu hamna na kule uwa mnafataga nini sasa.nNa kwanini uwa mnakutana usiku saa nane uku mkiwa uchi wa mnyama? Uwa mnafanya nini? Na izo alama ulizoziweka paji la uso zinamaanisha nini? Nijibu maswali yangu kwanza nyie waabudu Shetani
 

Pole kwa kuongea vitu usivo vijua pia usivo na uhakika nao, pili unajua maana ya ibada au kuabudu ,ww ni imani gani.? Huoni the way unavyoabudu ww na imani zingine ni differ mfano Muslim na Christian wako tofauti ktk ibada zao sasa hao ni wakiristo na waislamu hujaja Buddha na jamii nyingine kibao wabao wana namna yao ya kuabudu, ww si mwafrika? umesahau kuwa kabla ya hizi dini za za middle east kuja babu zako walikuwa wanatambika na kutoa makafara ya vitu au hujui asili ya kizazi chako kilikuwa ivo sasa hvi mambo hayo yamepotea hatukatazwi kuiga tamaduni za nje kama technology au mambo ambayo yatatunufaisha na kuacha yetu ya asili ambao yalikuwa ovyo mfano mauaji ya albino tuyaache na kama tunaiga tuige mema ...Mambo ya dini hayana mantiki hata kidogo ktk jamii licha ya kuwa na faida ndogo kifaraja mambo haya pia yanatutenga ni aibu kumdharau mtz mwenzio kwa dini zilizoletwa tena ukifatilia nia zake ilikuwa kututawala tu
 
Mbona unaluka kujibu maswali saa nane usiku mkiwa uchi uku mkitumia damu za watu huwa mnafanyaga nini? Kwanini umeuza nafsi yako? Na je iyo sociaty yenu ya kichawi ndo imewagundisha kuwa binadamu hana Mungu? Alafu ule mwezi wa nne wote mlikusanya damu pipa ngapi maana mliua sana kwa ajali nyingi.Toa majibu kwanza
 
Wachawi sikuizi wanawanga waziwazi.
Vi fuasi vya shetani vipo mtandaoni kuleta habari za babayao.
Tupo tushawajua.
 

Toa uhakika wa uyasemayo lete ushahidi...najua ni porojo ya vijiweni tu
 
Siku yenu kubwa ni Alhamis ndo kila alhamis hata foleni huwa zinapungua sana mjini?.Mnatoa rehani nafsi zenu!!! Ivi kwanini nyie ndugu.Lucifer anawadanganya sana.. Moto wa jehanamu upo palepale we jifariji tu na iyo sociaty yenu..Si unakumbuka ile siku ya kwanza walivyokutambulisha kule kuzimu uliona hee si uliona kulivyo na ukungu na joto.Walikuonesha wenzio walivyokuwa wanalia na kupiga kelele kwa moto na mafunza? Sasa ngoja zamu yako siku ukifa ndo utaujua ukweli kuwa mafundisho ya lucifer yaliwapotosha.Ndo maana lucifer anawatumia nyie kama magent wake kufanya kazi yake. Mungu wa kweli aliye mbinguni alikuwepo, yupo na atakuwepo milele na milele..kwa Mungu hamna masharti ya kusali uchi wala kutoa kafala.
 
Ndugu mtoa mada wakati na soma mada yako hii ni mchana, kwaiyo umenidanganya mchana kweupeeee!
Siwezi kuuzungumzia Uislam maana siujui zaidi ya kuwa wanampinga Kristo wa Kweli.
Nimekulia katika Imani moja ya Katoliki baada ya kua napelekwa Kanisani kila Jumapili na bibi yangu,baadae nikawa naenda mwenyewe.
Ikawa ni kama mazoea na nilipokuja mjini huku nikasika mahubiri ya Madhehebu mbalimbali lakini niliyapuuzia mpaka niliposikia Karsmatiki Katoliki na kujiunga nao, nimejifunza mengi huko leo hii uniambie eti hayo yote SIO! Umongopea ndugu sitaamini nilioyasikia na kuyaona ya husuyo MUNGU yalivyo makuu leo hii uniambie Mungu ni mimi mwenyewe! Ina maana kufunga kwangu kote ni bure? Kukesha kwangu kote eti nafuata fikra za mtu? Kutoa kwangu sadaka na kusali na kusoma BIBLIA kote eti leo hii sio?
Watu wengi niliowana wakipona matatizo yao kwa maombi kwa Mungu kwa jina la Yesu ina maana niuongo? Na mbona mimi mwenyewe yamenitokea? Mahubiri yooote ya Mapadre na wainjilisti niliya sikia tokea miaka 90 leo hii sio?
Sijui mtoa mada ulikua uanamini wapi kabla ya kukengeuka ni heri kubalisha huo mwelekeo ulio nao kuliko kuendelea kupotea na zaidi sana kupoteza umma unao mwamini Mwenyezi Mungu kwa fikra zako za kusadikika, yaweza kuwa wewe ni miongoni mwa wale aliowazungungumzia Kristo “Niheri kufungiwa jiwe la kusagia shingoni na kutumbukizwa katikati ya bahari kuliko kuwapoteza moja wapo wa wadogo hawa”
 
Mie huwa naona MTU aliyeanzisha dini hana tofauti sana Na wagunduzi wengine kama waliogundua Ndege, meli, Na mambo mengine Na wakatunga vitabu Na vitabu Na Leo hii tunavifuata ili kutekeleza walichokigundua wao, ndio maana biblia tunayoiona Leo sio ile iliyokuwepo miaka 1500 iliyopita Na tusishangae miaka ijayo (sijui mingapi) ushoga ukaingizwa kwenye biblia.Haya mambo ni binadamu Na mbwembwe zake
 

kwa io ww ni muslim sasa au?
 
Ndio jibu hilo? jamaa kauliza sisi tumetoka wapi akiwa na sure kuwa God created us sio!? sasa who created God mana hataki kuamini kama tume exist tu kama anavyodai kuwa mungu alikuwepo tu
Unajua Mungu ni nini/nani?
 
Nishakataa zamani sana kufuata utamaduni wa jamii fulani unaoitwa ukristo au uislam...period..!!
 

kifo ni real destination ya kila mmoja ALIYEKUBALI UHAI WAKE, how?? inakuwaje mtu anakubali uhai wake (kwa namna gani), na kwa namna gani unafurahi kuishi, kunaanzia wapi huku kukubali uhai wako kisha kufa??
 
Kwa wakristo, jaribuni ku google, THE GOSPEL OF THOMAS.
Kwa waislamu, jaribuni UTHMANS QURAN, THE MOON GOD, KAAB. Pia did you know that MECCA ulikuwa mji mkuu wa kuabudu miungu?
 
There is no true religion,the only true thing is science since its realistic and practical.
Religion is the opium of the poor.
 
They say there is life after death but the truth is there is death after life,enjoy your life here on earth bila dini yeyote,hujui kama ukifa utapata mabikra ''binguni'' if you muslim, if you a christian ask yourself who saw Jesus die or get burried since it is easier to convince man using a woman.
 
dear God, have mercy on this poor soul and keep us protected from this evil spirit!
 
Kwanza nikupe pole,kwa sababu pamoja na elimu yako na uchambuzi wako mzuri,bado UPO GIZANI.Mpaka dakika hii nina uhakika kabisa hujui kusudio la kuumbwa kwako.Pili andiko lako limejaa KUFURU kubwa,na hilo ni matokeo ya kuacha/kutoijua dini.Tafuta muda uutafute kweli,hao wanaokuandalieni hayo mavitabu kwa kuwa tu ni wazungu,wanakupotezeni maana wenyewe wamekwishaplotea.Umeshaakuwa brain washed na hao wazungu.
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe hauna uhakika kama wazazi wako ni kweli wazazi wako? Vitu uvionavyo kwa macho kabisa... No wonder u have a doubt in holly books...
Hii sentensi yako, pamoja nazingine za wenzako, inathibitisha kuwa wengi wa mnaoamini uwepo wa Mungu mna upeo mdogo sana wa kufikiri!

Kama tu umeshindwa kukubali uwezekano wa kulelewa na mtu unaedhani ni mzazi wako, halafu asiwe mzazi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…