Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Hadithi za mtume znasema itafka dhama watu wasiokuwa na elimu na dini watabishania mambi ya dini. Na hii n moja ya dalili za kiama
 
sio kweli mkuu Mohamedycadinaly ... ...
wenye elimu na wanaoijua dini ndio wanaohoji uwepo wake kwa reasoning...
ila wajinga na wasiojua dini ndio pekee huamini kila kitu maana hawana upeo wa kuhoji wanachofundishwa...
 
Last edited by a moderator:

Wasomi wa kuulza Google? Mfano MTU anataka kuuzungumizia uislam lakin hajui chochote kuhusu Quran inasema nn zaid ya maono ya sheihke Google. Nenda kasome kwanza kuhusu uislam wenyewe vzr ijue Qur'an na hadhith zake na hvyo katka upande wa ukrstro kasome vtabu ksha ndo uchambue na kuhoji . Sheikhe Google yy ana copy tu watu wanacondika hapn hchi kina ukweli au la. Yy vya ukwel vya uongo vyote sawa tu
 
Unachosema ni kweli... .. . ila jambo la kuzingatia sio habari hizo zimetokea wapi, ila tuuu je ni za kweli?
Ndio... ukweli unatakiwa, na ukweli utapatikana kwa kuhoji na kuchanganua hoja kwa umakini
 
Hizi KUFURU zilivyokithiri humu jukwaani na duniani kwa ujumla laiti Mwenyezi Mungu asingekuwa na HEKIMA ya kiwango kisichochopimika,angekwishaangamiza wengi juu ya mgongo wa ardhi.Lakini kwa hekima kubwa inasubiriwa ile siku ya HUKUMU.
 
Hujuwi ulinenalo ! InShaAllah Mola Akusamehe kwa Upumbavu wako.

Amsemehe vipi! Kwani nani aliua watu mamia pale westgate? Pale ufaransa? Na wanaojilipua na kuahidiwa mabikra 72 ahera ni dini gani? Ambao pombe wameandaliwa huko ahera ndio watakunywa! Ni dini gani hao? Wewe kama hujapanga kufa na wengi basi shauri yako! Wenzako ndio huo mpango wao eti wakutane viwanja vya pepo! Wanafananisha akili za kibinaadam zaidi kuliko akili za Muumba kwa kuweka fikra kimwili zaidi kuliko kiroho zaidi. Kwanini utulazimishe kwenda na wewe viwanja vya pepo kama ni pazuri? Si uende wewe peke yako ili msiwe wengi mu enjoy kwa raha zenu! Mnateka watu mnawalazimisha kusilimu wakikataa mnawaua! Hiyo ndio dini ya Allah?
 
Hakuna popote pale pameandikwa muislamu ajilipue eti ndio jihad.Hakuna pepo ya mtu aliyeua watu wasio na hatia.Na uislam haumlazimishi kuuamini wala kuingia kwenye uislamu.Hao wote wanaoua watu kwa kisingizio cha uislamu,pengine wana visasi vyao na kwa kweli watakua kesi ya kujibu mbele ya Mwenyezi Mungu.
Uislamu ni dini ya amani.Ni haramu kufanya ugomvi,ni haramu kuua,ni haramu kupigana,ni marufuku kumlazimisha mtu kuingia kwenye uislamu ILA kwa ridhaa yake,uislam unahimiza kuwatendea wema na haki wasio waislamu,umekataza kulimbikiza mali,kusengenya,kutukana,uhasama na majirani,kuiba n.k. Kwa ujumla uislam umepiga marufuku DHULMA za aina yoyote dhidi ya mtu mwingine na umehimiza kutendeana HAKI miongoni mwetu bila kujali itikadi zetu za dini.Sasas msilaumu uislamu.Hao wanaofanya uharamia kwa wenzao kwa kisingizio cha uislamu;aidha hawana elimu ya kutosha juu ya uislam au wana visasi na chuki baina yao.Na kwa kweli hawa ni watu wa motoni maana Mtume (saw) alishatabiri kwamba makundi ya namna hii yataibuka siku za mwisho.
 
Amsemehe vipi! Kwani nani aliua watu mamia pale westgate? Pale ufaransa? Na wanaojilipua na kuahidiwa mabikra 72 ahera ni dini gani? Ambao pombe wameandaliwa huko ahera ndio watakunywa! Ni dini gani hao? Wewe kama hujapanga kufa na wengi basi shauri yako! Wenzako ndio huo mpango wao eti wakutane viwanja vya pepo! Wanafananisha akili za kibinaadam zaidi kuliko akili za Muumba kwa kuweka fikra kimwili zaidi kuliko kiroho zaidi. Kwanini utulazimishe kwenda na wewe viwanja vya pepo kama ni pazuri? Si uende wewe peke yako ili msiwe wengi mu enjoy kwa raha zenu! Mnateka watu mnawalazimisha kusilimu wakikataa mnawaua! Hiyo ndio dini ya Allah?

Kuongea usichokijua ni upumbavu
 
Hizi KUFURU zilivyokithiri humu jukwaani na duniani kwa ujumla laiti Mwenyezi Mungu asingekuwa na HEKIMA ya kiwango kisichochopimika,angekwishaangamiza wengi juu ya mgongo wa ardhi.Lakini kwa hekima kubwa inasubiriwa ile siku ya HUKUMU.

Hiyo siku wala haitakuja itokee
 
TRUE GOD IS YOURSELF! Haya ni maafa makubwa ya ulimwengu! Huyu mwanadamu aliyeumbwa kwa tone la manii,tahamaki leo amekua kiburi kupita maelezo.Anamkanusha muumbaji wake;pamoja naneema zote alizopewa na anazoendelea kupewa lakini bado shukurani.
 
Mkuu ukristo sio dini kwa mujibu wa Nani? Huwaga siwaelewi watu wanaotumia maandishi ya vitabu vya dini zao kutoa conclusion kwa dini nyingine. Watu wa dini ya Buddhism kwa mfano hawaamini kama kuna dini sahihi zaidi ya kwao. kwa hiyo wewe huwezi kutoka hapa ukasema buddhism sio dini kwa basis ya kitabu chako wakati kitabu chao kinawapa miongozo na mafundisho wanayoyaamini. Pia huna uthibitisho/ushahidi kuwa kilichoandikwa kwenye kitabu cha dini yako ni kweli/sahihi kwa kuwa hakuna video clips/audio/picha za kutuonyesha hivyo vitabu vikiandikwa ama kushushwa toka mbinguni. Dini zote zina rely kwenye maneno yanasimuliwa toka kizazi kimoja kwenda kingine (mathalani vitabu vitukufu vya kiislam vilishushwa mji flan, ama vitabu vitakatatifu vya kikristo viliandikwa na manabiii flan..HAKUNA anayeweza thibitisha hili bali tunaamini ndivyo ilivyokuwa kwa kuwa ni Imani). My take ni kuwa mkuu tafadhali umezaliwa kwenye dini flan ifate kwa nguvu zako zote lakini huna mamlaka ya kuwasemea watu wa dini tofauti nawe..please.

UKRISTO SIO DINI

Kajipange tena kijana
 
Upo usemi " mpumbavu hata ukimywanga kinuni pamoja na ngano upumbavu wake hautatoka" JIPANGE ULETE MADA: Umesema WEWE NI MUNGU YOU CAN CREATE je wajua kucreate ni nini? Umewahijiuliza unakumbuka nini ukiwa na miezi 4 tumboni mwa mamayo? Kwa nini ulikuwa hujisaidii haja ndogo ili hali cell zilikuwa zinzfznyzkazi? Nani anayefanya kuwepo pleasure ktk tendo la ndoa?
Lakini pia hujui chochote juu ya uislam na ukristo ni HEARSAY
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom