SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,450
A failure God cant correct his/her own mistake! God doesnt exist likewise satan/devil. What real exist is human POINT OF VIEW to choose whether to be a god or satan by his/her own point of view.
Mungu aliumba dunia na watu kwa siku 6 TU, ILHALI ALIKUWEPO MILELE, alikuwa na haraka gani ya kufanya haya kwa muda mfupi kiasi hiko bila kufikiria outcomes?
Aliwezaje kuishi miaka mingi nyuma bila kufikiria kuumba? NI NINI KILIMPA WAZO LA KUUMBA TENA KWA HARAKA KIASI HIKO?
Na kama yeye ndiye muumbaji wa kila kitu, inakuwaje ashindwe kuedit kazi yake?
Kama ni yeye mweza wa yote ameshindwaje KUMSHINDA SHETANI?
Kama yuko mbinguni, je makazi yake kabla ya uumbaji wa mbingu na nchi yalikuwa wapi?
KUKUBALI KWAMBA MUNGU ALIKUWEPO NA HANA CHANZO, HAINA TOFAUTI NA KUKUBALI KWAMBA PIA DUNIA ILIKUWEPO NA HAINA CHANZO VIVYO HIVYO BINADAMU ALIKUWEPO NA HANA CHANZO
na kukubali kwamba Mungu pia ana chanzo ni kufuta uhai wake, course kila chenye mwanzo kina mwisho.
Mungu angekuwepo angehitaji chanzo, na chanzo hiko lazima kiwe more powerful than God,
BUT HOWCOME ONESELF AND OWN-CREATED GOD IS POWERLESS TO HIS OWN CREATURES, I MEAN HUMAN AND DEVIL?
ITS JUST BECAUSE GOD AND HUMAN ARE THE SAME, JUST ONLY CORRUPTED THINKING FADES THAT!
MziziMkavu Ishmael Aqua
Nimeshakupa Maana ya neno Mungu sio zaidi ya hapo nilipo kupa kwa imani yangu ni tosha kama hujatosheka zaidi katafute kwa watu wenye imani ingine wataweza kukusaidia unasemaje Mkuu Bennie 369
Nijuavyo Mimi Maana ya Mwenyeezi Mungu ni Hivi:
112. SURAT AL-IKHLAS'
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa.
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
Mkuu Pokofame Siwezi kupoteza muda wangu na kushindana na akili zako za ki pumba pumba jibu nimesha kupa sina muda wa kushindana na wewe tafuta watu wa kushindana na wewe kwa hizo akili zako za kipumbapumba mimi nimekujibu vizuri wewe unanijibu kipumba pumba ahh asante sana nimeishia hapo sina muda wa kupoteza wakati wangu na mtu kama wewe unayeonekana hujasoma na kuelewa vizuri na kile unachokisema.1. Yeye si mungu wa pekee kwani wapo miungu wengi duniani waliomshinda nguvu na uwezo hata akakuhitaji wewe MziziMkavu uje umtetee hapa.
2. Hakukusudiwa wala hana makusudi yoyote ya kuwepo kwani hana effects yoyote katika universe
3. Ili kukomboa kisichopotea alizaa na bikra Mariam, hivyo yeye ni baba wa damu ya mtoto mmoja wa kiume
4. Aliumba mwanadamu KWA MFANO WAKE hivyo anafanana nawe MziziMkavu
Hapo nimejaribu kutumia biblia (views) kuijibu mistari yako.
Sasa tazama kwa makini na ukubali kwamba mungu wenu ni mzembe kiasi kwamba kaandika vitabu viwili vinavyofanana kiasi hicho!!!
A failure God cant correct his/her own mistake! God doesnt exist likewise satan/devil. What real exist is human POINT OF VIEW to choose whether to be a god or satan by his/her own point of view.
Mungu aliumba dunia na watu kwa siku 6 TU, ILHALI ALIKUWEPO MILELE, alikuwa na haraka gani ya kufanya haya kwa muda mfupi kiasi hiko bila kufikiria outcomes?
Aliwezaje kuishi miaka mingi nyuma bila kufikiria kuumba? NI NINI KILIMPA WAZO LA KUUMBA TENA KWA HARAKA KIASI HIKO?
Na kama yeye ndiye muumbaji wa kila kitu, inakuwaje ashindwe kuedit kazi yake?
Kama ni yeye mweza wa yote ameshindwaje KUMSHINDA SHETANI?
Kama yuko mbinguni, je makazi yake kabla ya uumbaji wa mbingu na nchi yalikuwa wapi?
KUKUBALI KWAMBA MUNGU ALIKUWEPO NA HANA CHANZO, HAINA TOFAUTI NA KUKUBALI KWAMBA PIA DUNIA ILIKUWEPO NA HAINA CHANZO VIVYO HIVYO BINADAMU ALIKUWEPO NA HANA CHANZO
na kukubali kwamba Mungu pia ana chanzo ni kufuta uhai wake, course kila chenye mwanzo kina mwisho.
Mungu angekuwepo angehitaji chanzo, na chanzo hiko lazima kiwe more powerful than God,
BUT HOWCOME ONESELF AND OWN-CREATED GOD IS POWERLESS TO HIS OWN CREATURES, I MEAN HUMAN AND DEVIL?
ITS JUST BECAUSE GOD AND HUMAN ARE THE SAME, JUST ONLY CORRUPTED THINKING FADES THAT!
MziziMkavu Ishmael Aqua
WELCOME! Je Mungu wako anahitaji msaada wako kujitetea wenyewe? si umwambie anitumie radi? IDIOT!
Mkuu Pokofame Siwezi kupoteza muda wangu na kushindana na akili zako za ki pumba pumba jibu nimesha kupa sina muda wa kushindana na wewe tafuta watu wa kushindana na wewe kwa hizo akili zako za kipumbapumba mimi nimekujibu vizuri wewe unanijibu kipumba pumba ahh asante sana nimeishia hapo sina muda wa kupoteza wakati wangu na mtu kama wewe unayeonekana hujasoma na kuelewa vizuri na kile unachokisema.
Inahitajika akili ya ziada na uwezo wa ajabu wa akili ili kutetea jambo ambalo hali-exist na wala halina effect in real dimensions,
Lakini ukweli siku zote huwa mchungu na ni vigumu kuukubali kama
1. una maslahi na uongo
2. una akili isiyofikiri kwa kina
3. huna hakika na hakikisho lako
4. umepoteza matumain na unategemea matumaini hewa
5. woga usio na msingi
Fight for freedom of mind, Religion is a worst prison, coz it takes all you have got.
A Free Thinking Mind is A special Gift to Anyone who Deserves it, Including YOU!
God doesnt exist, but am sure YOU real exist,
why make non-existing myth rule your mind.
it will eat your mind, soul and badly YOUR POCKET
wake up people
cc MziziMkavu araretasludovicketasludovick

Umemaliza mkuu.
Even your god cannot do anything physically, To make it clear, I cant do it so that the nature continously remain unaltered, because every one even your god is benefiting from the natural solar system, and HE CANT ALTER IT, unless otherwise in a story written by a certain clever human god like you!
We jamaa n mwanadam kweli!?
We jamaa n mwanadam kweli!?
A failure God cant correct his/her own mistake! God doesnt exist likewise satan/devil. What real exist is human POINT OF VIEW to choose whether to be a god or satan by his/her own point of view.
Mungu aliumba dunia na watu kwa siku 6 TU, ILHALI ALIKUWEPO MILELE, alikuwa na haraka gani ya kufanya haya kwa muda mfupi kiasi hiko bila kufikiria outcomes?
Aliwezaje kuishi miaka mingi nyuma bila kufikiria kuumba? NI NINI KILIMPA WAZO LA KUUMBA TENA KWA HARAKA KIASI HIKO?
Na kama yeye ndiye muumbaji wa kila kitu, inakuwaje ashindwe kuedit kazi yake?
Kama ni yeye mweza wa yote ameshindwaje KUMSHINDA SHETANI?
Kama yuko mbinguni, je makazi yake kabla ya uumbaji wa mbingu na nchi yalikuwa wapi?
KUKUBALI KWAMBA MUNGU ALIKUWEPO NA HANA CHANZO, HAINA TOFAUTI NA KUKUBALI KWAMBA PIA DUNIA ILIKUWEPO NA HAINA CHANZO VIVYO HIVYO BINADAMU ALIKUWEPO NA HANA CHANZO
na kukubali kwamba Mungu pia ana chanzo ni kufuta uhai wake, course kila chenye mwanzo kina mwisho.
Mungu angekuwepo angehitaji chanzo, na chanzo hiko lazima kiwe more powerful than God,
BUT HOWCOME ONESELF AND OWN-CREATED GOD IS POWERLESS TO HIS OWN CREATURES, I MEAN HUMAN AND DEVIL?
ITS JUST BECAUSE GOD AND HUMAN ARE THE SAME, JUST ONLY CORRUPTED THINKING FADES THAT!
MziziMkavu Ishmael Aqua
Mungu Jina La Muumba, Ukitaka Kufahamu Kuwa Kuna Muumba Jiulize Chanzo Ya Vitu Vya Asili Mfano Jua, Nyota, Binadamu , Kifo, Uhai, Tetemeko, Mafuriko, Dunia Nani Kesha Fahamu?
1. Yeye si mungu wa pekee kwani wapo miungu wengi duniani waliomshinda nguvu na uwezo hata akakuhitaji wewe MziziMkavu uje umtetee hapa.