Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

Ndege sio simu we kilaza. Inabeba roho za watu. Au wataka na jinsi simu waweza kuitumia kioo kikiwa kimevunjika na ndege iwe hivyo??
 
Nashukuru.

Yaani ndio comments za hivi nazimiss humu JF.
Naona upo poa na mambo ya kama ... design thinking pia etc
 
Ndege sio simu we kilaza. Inabeba roho za watu. Au wataka na jinsi simu waweza kuitumia kioo kikiwa kimevunjika na ndege iwe hivyo??

Jisikitikie sana sana,

Kama ulitaka tu kujibu, kwa sababu ni Cocochanel basi kajitapikie, hapa huniwezi mimi na kaa na maneno yako machafu.
 
Watu wenye kujua kusoma na kuandika tu ndio wanao endesha nchi na haya mambo ya namna hii lazima yawepo.
 
Kama ndege ilikamilika mpk mwisho hakuna haja ya kusubiri kwa sab kasoro zake hazirekebishiki ndio maana ikauzwa bei rahisi as it is hiyo miaka mitano ni ya warrant ni kawaida hata kwa magari brand new.
Hivi unaelewa unachokizungumza?
Nani kakueleza kuwa Ndege hutengenezwa na kisha kuwekwa sokono kusubiri wateja kama vikombe vya wachina?
Kasorozipi zisizorekebishwa?
Hiyo bei rahis unayosema umei-quote wapi wakati Boeing imeandika kwanye tovuti yake kuwa ni US$224.6milioni?
 
Embu nifupishie kuwa nani ameitumia hiyo ndege na ilitumika kwa muda gani? Na pia hizo tarehe zote vipengele kwa kifupi vinaashiria nini hadi Dec 2016. macho yananiuma nimeshindwa kusoma yote vizuri.
Tatizo una kihelele lazima macho yakuume. Kama hujaelewa hapa, huko shuleni basi ulikuwa bashite. Hivi huko shule mlikuwa mnaenda kuimba kwaya?
 
Kwani ndege nne za Ethiopean Airways wanazipeleka wapi?

it's almost certain that the airlines received massive discounts on the 787-8's $224 million sticker price
almost certain; is this perception? Otherwise you are duty bound to disclose the reference that is credible and solid.
 
Kutupa misaada haina maana nao hawatumii vibovu, umeona magari wanayotengeneza? Nunua gari inaitwa porte uone
Between angalia Japan wanenunua kwa bei gani kisha linganisha na bei tuliyouziwa
Mmmmh Japan au Japanenga?Haya mda ni jibu zuri sana
 
Naona povu linakumwaika kwani kisu kimegisa penyewe
Sorry, nilidhani nina-debate na credible personality mwenye hoja thabiti, kumbe shabiki wa spin doctors....!
 
Umasikini ni tatizo mtambuka, kuanzia kwenye nia, mawazo na matendo, huathirika.
Chuki zisizo na msingi, ulimbukeni, ubaguzi na maamuzi ya hovyo vina uhusiano na umasikini.
Kwa pamoja tupige vita umasikini, kiroho na kimwili, mambo yetu yatakuwa safi.
 
samurai kwa ufahamu wako wa kitaalamu saidia kujibu swali lake SMU kuondoa utata wa ndege iliyolipiwa na Serikali na inazua mjadala unaoendelea humu jamvini.

Mkuu kuna mambo mawili.. Inawezekana kweli tumepigwa au hatujapigwa ni siasa tu..

Delivery time inawezekana ikawa kubwa kwa kufanywa hivyo makusudi ili tusistuke lakini ndege ikawa imepark to somewhere inasubiri hiyo time,
dunia ya sasa biashara ni umafia na hakuna anayeweza kukuonea huruma kama your head is not smart, na hapa ndipo tunapohitaji watu smart kwenye mifumo yetu ili tusiingie hasara za kipumbavu kwa kukosa kwetu akili...

Delivery time inaweza kuwa kubwa pia kama kweli tuliyonunua ni L19, na labda hiyo L19 inahitaji simple improvement ifanane na L21, simple product improvement tunaongelea vitu vidogo vidogo ambavyo sio redesign bali ni repair na components swapping kwa maana ya muingiliano wa spare za hiyo L19 na L21..

Sio dhambi sisi kumiliki hiyo series ya L19 ila cha muhimu ni kuzingatia advantage na disadvantage ya hiyo product against matumizi yetu tunayotaka kuitumia hiyo ndege, inawezekana wenzetu wengine wamenunua kwa calculation zinazolingana na matumizi yao, market, return, life span ya product yenyewe, running cost, maintanance cost, hizi taratibu kwenye engineering unapofanya manunuzi ya vitu kama hivi... Kama wataalamu wetu wamepita huku sina shida ila kama tumenunua kwa sababu fulani kasema, hela ipo na jirani anayo nina mashaka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…