Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Mmetununulia mtumbaWewe nae Mange kasema umeshupalia ndege kama una ngoma ya mwanao?
Serikali haina haja kukupa wewe maelekezo,tukutane 2020

I am really getting dissapointed with you. Missing through old Nyani Ngabu. As a learned fellow , you are capable of doing your own research to ascertain the informationThis whole thing regarding those planes is so terribly convoluted...
So much information...you don't know for sure who's telling the truth and who's not!
But oh well...nowadays anybody can be an expert on anything and everything.
Kumbe mitumba inaruhusiwa?Si usubiri tuone, unajua Raisi wetu mpendwa ana subira. Akikiwasha wanaojifanya wajanja wanamkoma.
Hapa kazi tu
Hivi wewe kila kitu kuhusu serekali una waka tuu vingine sio lazima unasoma kwa makini unafanya uchunguzi taratibu alafu ndio unatoa mtizamo wako! Mbiombio hata hujamaliza kusoma unataka usaidiwe na wakati links zimewekwa hapo. Ovyo kabisa na unafiki ulipita kipimo. Bora hata ukae kimya kuficha tabia zako. Mbaya zaidi wewe ni mwanaume.
Kumbe mitumba inaruhusiwa?
Naongea na wewe, usizibe masikio.Wewe Bujibuji unajijua mwenyewe uliye mayaei ya juu ulipo. Mimi ni member wa JF au tunalipwa humu?
I am really getting dissapointed with you. Missing through old Nyani Ngabu. As a learned fellow , you are capable of doing your own research to ascertain the information
Ccm ni chaka la madiliMtanyooka tu na Malaika wala hashuki.
Jamaa kaeleza vizuri sana. Kama huelewi basi tenaEmbu nifupishie kuwa nani ameitumia hiyo ndege na ilitumika kwa muda gani? Na pia hizo tarehe zote vipengele kwa kifupi vinaashiria nini hadi Dec 2016. macho yananiuma nimeshindwa kusoma yote vizuri.
Shalom watanzania wenzangu!
Disemba 12, 2016 ilikuwa siku ya furaha kwa baadhi yetu tuliomchagua JPM na Tutamchagu tena 2020 Mungu akitujaalia na wengine mlinuna baada ya taarifa kutoka serikali imeweka oda Boeing, ili kununua ndege ya kisasa kabisa 787-8.
Na yakwamba serikali itatoa $224.6Millioni ili kupata ndege hiyo.
Kumekuwa na taarifa mbali mbali, kwamba manunuzi haya yana chembe chembe za ufisadi. Na kwakuwa sipendi kuamini vitu bila kufanya utafiti nami nimeona nizame kwenye websites mbali mbali kutafuta ukweli.
Kwa ufupi kama wengine wasemavyo ni kweli hata Mimi nimeshaamini "SERIKALI IMEPIGWA"
lakini hadi kufikia hii Conclusion kuna mambo ya msingi unatakiwa kuyajua.
1. SERIAL NUMBER(SN) NA LINE NUMBER.
-Kila ndege huwa na serial number yake kama yalivyo magari. Ndege tulioagiza serial number yake ni 35508
-Line number ni ndege ya ngapi kutengenezwa. Kwa mfano kama zimetengenezwa ndege 10. Ndege ya kwanza itakuwa LN1, ya pili LN2 nakuendelea.
2. TERRIBLE TEENS NI NINI?
Terrible teens ni zile ndege za mwanzo kutengenezwa za Boeing 787-8. Hizi ndege zilikuwa 20. Kwahiyo hiyo ni Line number 1-20 (Kuwa makini hapa). Na hizi ndege zilifanyiwa majaribio mengi na matengenezo mengi mapya ili kupata ndege bora zaidi.
Kwa kifupi tunaweza sema zilikuwa sample ya kutengenezea ndege zingine. Kutokana na kufanyiwa modification za mara kwa mara hizi ndege zilipitiliza uzito uliotakiwa. Kutokana na kuongezeka uzito ndege hizi hata uwezo wake wa Masafa ukawa Umepungua kwa Maili 1000 au KM 1609.344
Kutokana na hili makampuni yaliotaka order za mwanzo kama All Nippon, Maroc etc. yaligoma kuchukua hizi ndege bali yalichukua ndege zilizotengenezwa baada ya zile 20 za mwanzo yaani Line number 21 na kuendelea.
Terrible teens zingine ziliwekwa kwenye majumba ya kumbukumbu na baadhi ya kampuni walizichukua. Zikabaki 12 uwanjani miaka mitano bila mnunuzi toka 2009 zilipoanza tengenezwa.
Kutokana na aibu iliyokuwa inaipata Boeing ya kukaa na mindege isiyo uzika. Ikaamua yafuatayo
(a) Kutafuta Wateja ambao hawatajali issues ya kikomo cha masafa ya ndege
(b) Kuziuza hizi ndege kwa bei rahisi ( karibu nusu bei kutoka $224M hadi $99M)
CONCLUSION
Kutoka katika websites ya Boeing na na web zingine za usafiri wa anga zimeweka wazi Ndege tulio iwekea order ni Boeing 787-8, serial number 35508, Line number 19.
Sasa kwa maelezo niliyotoa Line number 19 IPO ndani ya Line number 1-20. Kwa kifupi ndege tuliogiza ndio zile ndege za mwanzo 20 zilizopachikwa jina la Terrible Teens.
Swali lingine la kujiuliza kwanini tumeuziwa ndege iliyo doda ,iliyoshushwa bei hadi kufikia $99M kwa bei ya ndege mpya yaani $224.6M?
Bila kupepesa macho hapa tumepigwa $124M na ushee ambazo tungeweza nunua Boeing 737-800 Next Generation mpyaaaa ya 2016.
Kama nilivyokwisha sema Nina imani na Rais Magufuli ni mtu makini anayeipenda Tanzania. Na imani hili litatolewa maelekezo na kufanyiwa kazi.
Nimewawekea link na picha mbali mbali kusappoti uzi.
![]()
![]()
![]()
Boeing 787 Register - Welcome
www.airliners.net/forum/viewtopic.php?t=1335649
www.airportspotting.com/boeing-finding-homes-terrible-teen-787s/
www.boeing.com/commercial/customers/air-tanzania/air-tanzania-787-order.page
Kazi ya kulamba visigino?Utanyooka wewe unaepata stress kila uchao.sisi tunapiga kazi tu,tukutane 2020
Wewe ndio debe tupu yaani hujui huu uzi unahusu kitu ganiKwan wakipanda unaingiza nini kwako.
Asante The Tomorrow people umetoa analysis nzuri. Japo nina mashaka kama wabongo wanaweza kuukubali ukweli huu.Shalom watanzania wenzangu!
Disemba 12, 2016 ilikuwa siku ya furaha kwa baadhi yetu tuliomchagua JPM na Tutamchagu tena 2020 Mungu akitujaalia na wengine mlinuna baada ya taarifa kutoka serikali imeweka oda Boeing, ili kununua ndege ya kisasa kabisa 787-8.
Na yakwamba serikali itatoa $224.6Millioni ili kupata ndege hiyo.
Kumekuwa na taarifa mbali mbali, kwamba manunuzi haya yana chembe chembe za ufisadi. Na kwakuwa sipendi kuamini vitu bila kufanya utafiti nami nimeona nizame kwenye websites mbali mbali kutafuta ukweli.
Kwa ufupi kama wengine wasemavyo ni kweli hata Mimi nimeshaamini "SERIKALI IMEPIGWA"
lakini hadi kufikia hii Conclusion kuna mambo ya msingi unatakiwa kuyajua.
1. SERIAL NUMBER(SN) NA LINE NUMBER.
-Kila ndege huwa na serial number yake kama yalivyo magari. Ndege tulioagiza serial number yake ni 35508
-Line number ni ndege ya ngapi kutengenezwa. Kwa mfano kama zimetengenezwa ndege 10. Ndege ya kwanza itakuwa LN1, ya pili LN2 nakuendelea.
2. TERRIBLE TEENS NI NINI?
Terrible teens ni zile ndege za mwanzo kutengenezwa za Boeing 787-8. Hizi ndege zilikuwa 20. Kwahiyo hiyo ni Line number 1-20 (Kuwa makini hapa). Na hizi ndege zilifanyiwa majaribio mengi na matengenezo mengi mapya ili kupata ndege bora zaidi.
Kwa kifupi tunaweza sema zilikuwa sample ya kutengenezea ndege zingine. Kutokana na kufanyiwa modification za mara kwa mara hizi ndege zilipitiliza uzito uliotakiwa. Kutokana na kuongezeka uzito ndege hizi hata uwezo wake wa Masafa ukawa Umepungua kwa Maili 1000 au KM 1609.344
Kutokana na hili makampuni yaliotaka order za mwanzo kama All Nippon, Maroc etc. yaligoma kuchukua hizi ndege bali yalichukua ndege zilizotengenezwa baada ya zile 20 za mwanzo yaani Line number 21 na kuendelea.
Terrible teens zingine ziliwekwa kwenye majumba ya kumbukumbu na baadhi ya kampuni walizichukua. Zikabaki 12 uwanjani miaka mitano bila mnunuzi toka 2009 zilipoanza tengenezwa.
Kutokana na aibu iliyokuwa inaipata Boeing ya kukaa na mindege isiyo uzika. Ikaamua yafuatayo
(a) Kutafuta Wateja ambao hawatajali issues ya kikomo cha masafa ya ndege
(b) Kuziuza hizi ndege kwa bei rahisi ( karibu nusu bei kutoka $224M hadi $99M)
CONCLUSION
Kutoka katika websites ya Boeing na na web zingine za usafiri wa anga zimeweka wazi Ndege tulio iwekea order ni Boeing 787-8, serial number 35508, Line number 19.
Sasa kwa maelezo niliyotoa Line number 19 IPO ndani ya Line number 1-20. Kwa kifupi ndege tuliogiza ndio zile ndege za mwanzo 20 zilizopachikwa jina la Terrible Teens.
Swali lingine la kujiuliza kwanini tumeuziwa ndege iliyo doda ,iliyoshushwa bei hadi kufikia $99M kwa bei ya ndege mpya yaani $224.6M?
Bila kupepesa macho hapa tumepigwa $124M na ushee ambazo tungeweza nunua Boeing 737-800 Next Generation mpyaaaa ya 2016.
Kama nilivyokwisha sema Nina imani na Rais Magufuli ni mtu makini anayeipenda Tanzania. Na imani hili litatolewa maelekezo na kufanyiwa kazi.
Nimewawekea link na picha mbali mbali kusappoti uzi.
![]()
![]()
![]()
Boeing 787 Register - Welcome
www.airliners.net/forum/viewtopic.php?t=1335649
www.airportspotting.com/boeing-finding-homes-terrible-teen-787s/
www.boeing.com/commercial/customers/air-tanzania/air-tanzania-787-order.page
Sababu ya kutopanda ikiwa....?Hakuna mtalii atakaye panda hiyo ndege maana wengi wanajitambua
Naomba unisaidie hiyo link aliyorusha yenye bei ya 99m ni ipi? Umeiona na mimi nikajisomee.
KindururuHa ha haaaa
Sasa wewe mpinzani maji inakuwaje unajali yangu kiasi hiki, unataka kunibadilishia ubongo au?
Mna maneno machafu sana na mnatia kinyaaaa, kila kitu kudakia hata la kujiongeza hamna. Kinyaa