Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

Unajua ni jiji gani la pili kwa kuchangia pato la Taifa ?
Ukijibu hilo swali nd'o utapata majibu wapi kuna fursa nyingi za kiuchumi na kijamii . Itakusaidia kutokuandika kwa mihemko . Kwa kukusaidia ni kwamba mji wa Arusha ni mji wa shughuli za kitalii zaidi kuliko mji mwingine wowote Tanzania labda wanachuana na visiwa vya Zanzibar . Hivyo uchumi wa Arusha chanzo chake kikubwa cha mapato ni utalii . Pia wana Tanzanite , mifugo na Kilimo kiasi . Arusha haina uwanja mpana sana wa shughuli nyingi za kiuchumi ukilinganisha na Mwanza .
Mwanza Uchumi wake unatokana na vyanzo vifuatavyo :
1 . Ziwa Victoria - Ajira ni nyingi mno zilizo rasmi na zisizo rasmi ukilinganisha na Utalii wa Arusha
2 . Madini ( hasa dhahabu ) - Ajira rasmi na zisizo rasmi ni nyingi ukilinganisha na zile zinazotokana na Tanzanite
3 . Kilimo asilia : Pamba , Mahindi na Mpunga . Arusha ina mashamba makubwa ya kisasa ya Kahawa na Maua ingawa hayaajili watu wengi ukilinganisha na Mwanza
4 . Ufugaji - kwa sehemu kubwa Arusha inaweza kuwa na mifugo mingi ingawa hiizidi sana Mwanza .
Kwa kifupi Mwanza ni sehemu ya uhakika kuwekeza kutokana na population kuwa kubwa kuliko Arusha na hivyo Mza ni soko kubwa.
Arusha wamepakana tu na Kenya upande wa Kajiado na Nairobi lakini Mwanza imepakana na Kenya kwa sehemu kubwa zaidi . Pia Mwanza imepakana na nchi za Rwanda , Burundi , Uganda na hata Congo .
Mza ni jiji lililo katikati ya nchi za Great Lakes na hivyo kuwa na mwingiliano mkuu unaowafanya watu wengi wa kawaida kuwa na kipato kizuri ukilinganisha na Arusha yenye pengo kubwa mno kati ya wenye nacho na wasiokuwa nacho.
Nawasilisha kwa leo.
Kuna kitu umesahau
ubinafsi
A town 100%
Rock city 2%
 
Mara zote mti wenye matunda hurushiwa mawe naona mwanza unawanyima usingizi hawa wezi na matapeli was kazikazi . Na mlivo jaa rock city had aibu kama A town kuko poa mwakimbia kwa nini.mbona sisi wasuks hatuji kweeenu tupo mwanza, kahama. Simiyu namashimyagaaaaaa
Wasukusu mmerogwa na Ng'wana malundi[emoji84] [emoji84] [emoji84]
 
Wasukuma naona mnaanz kuleta kburi sababu ya huyo raisi wenu. Nyinyi sio watu wa majivuno na makidai na ubaguzi. Achani utoto,Tanzania ni ya watu wote ndani yake wajinga nyie
 
Habari wana jamii form
kwa muda mrefu kumekuwa na battle kati ya A-city Vs Rock City. Nimefuatilia kwa makini nimeona pande zote hakuna anayekubali kushindwa.
Lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida ukweli ndio huu
01. Population arusha city iko half of Mwanza rock city
02. Kujengwa kwa city Chuga iko 90% wakati rock city iko 50% wakati dar city 100% na a-city 75%
03. Kwa ujanja a-city 80%, dar city 99% na rock-city 40%.
03. Kwa mzunguko wa hela Dar-city 90%, A-city 70% na rock city 60%
04. kwa hali ya hewa A-city 100%, Dar-city 40% Na Rock City 50%
NOTE; i was born in a city but, i am living in monrovia
nashangaa dar imeingiaje ktk hii battle ya rock city vs a-city
 
Arusha ina laza wageni zaidi ya 3000 wenye hadhi ya nyota tano,Mwanza inalaza pungufu ya 1000.
Dar inalaza 5000,Nairobi 15000.
Japo Mwanza Wasukuma wengi
 
Hapo namba tatu sina hakika, maana ukiangalia vijana wengi wa Kilimanjaro na moshi wapo jirani na Arusha lakin hukimbilia Mwanza na Dar

Ulitaka wote wakae Arusha?
Alaf k’njaro na moshi ndo nini yan



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu jamaa mshamba WA jiji mwanza unaifananisha na chuga?? Bas dodoma hapo pazuri kuliko mwanza think big mwanza patamu kwa kila kitu unatumia google fanya uhalisia umetokea wapi WW ova
 
Habari wana jamii form
kwa muda mrefu kumekuwa na battle kati ya A-city Vs Rock City. Nimefuatilia kwa makini nimeona pande zote hakuna anayekubali kushindwa.
Lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida ukweli ndio huu
01. Population arusha city iko half of Mwanza rock city
02. Kujengwa kwa city Chuga iko 90% wakati rock city iko 50% wakati dar city 100% na a-city 75%
03. Kwa ujanja a-city 80%, dar city 99% na rock-city 40%.
03. Kwa mzunguko wa hela Dar-city 90%, A-city 70% na rock city 60%
04. kwa hali ya hewa A-city 100%, Dar-city 40% Na Rock City 50%
NOTE; i was born in a city but, i am living in monrovia
Izi taarifa umezipata kwenye chanzo kipi cha kuaminika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]niko chuga nao ukweli u mji ...ume banana nazani ndo sababu ya watu kuona ume endelea..hauna ata nafasi ya kupumua tofauti na mwanza mji ume tanuka afu auja banana Kama uku
 
Wengi waishio mwanza ni wachagga na waarusha wamefungua biashara za kila aina hasa mabaa sasa kama mwanza mbaya hailingani na arusha mbona mmejaa mwanza.ndio sawa na walee wanaoziponda vibaya ndege za makufuli halafu wao wakwanza kupanda.
 
Mkuu bila shaka umeandika kwa hasira, hizi data sidhani kama una chanzo chake. Issue ya ukahaba na umalaya haina kabila, mbaya ukienda kufanya tafiti huko malindi bar na diamond utashangaa 60% ya Malaya watakuwa sio hao uliyowasema
Ni waxaga na ndio mashoga yamejaa kno sinza tbt maxaga yana mitamaa sana
 
Mwanza na Arusha nimekaa hizo sehem kwa nyakati tofauti,

[emoji117]Arusha ni mkoa ambao si salama sana kwa Wageni,, nna rafiki yangu ye ni mzaliwa wa Chugga, Nlivokuwa Chugga jamaa alinsihi sana namnukuu

"1Kush, kuwa makini sana na watu wa arusha, ni ndugu zangu hawa lakini wana roho katili kwa wageni, wako tayari hata kukudhuru ili wapate chochote wanachoona kinafaa, wana kasumba ukiingia tu watataka wajue unataka kufanya nn? Kwa kifupi hawapendi mgeni awachape bakora,"

Ikabidi nisifanye harakati zozote zile hadi jamaa alipoingia Arusha ndo tukafanya yetu,, tulienda bampa tu bampa. Hadi pale nlipomaliza ishu zangu.

Kwa uzuri na kupangika kwa mji pako fresh tu Arusha,

[emoji117]Mwanza wazawa wake ni Wakarim sanaaaa,, hata ukiingia usiku wa manane unatembea chimbo zote bila wasiwasi,
Unaweza ukauliza ishu flan na ukapewa ABC zote kwa ushirikiano wote,, ni mkoa ambao wakuja yeyote ni rahisi kutoboa,, vyakula,mavazi ,Malazi n.k gharama ziko chini

Ni mkoa ambao pembeni hapajapangika vizuri, ila ni mkoa mkubwa sanaa

[emoji117]Arusha watu wake hupenda kujimwambafaii hasa wakiwa mikoa ya mbali na kwao, huamini kwao hakuna madhaifu

[emoji117]Mwanza watu wake wakarim sana hupelekea kuonekana washamba mbele ya wageni,
 
Back
Top Bottom