Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,156
- 14,118
Asante umenisaidia mkuu
Stand ya ubungo vipi
Stand ya ubungo vipi
Wewe usiwe unalinganisha kijiji cha Arusha na Jiji la Mwanza. Arusha size yake ni akina Dodoma, morogoro na Iringa. Ukome usirudie tena kutupotezea muda kujadili ubishi wa kibangebangeAsante umenisaidia mkuu
TV imeingia mchelemchele[emoji3] eti mkuu dishi limeyumba nnWewe usiwe unalinganisha kijiji cha Arusha na Jiji la Mwanza. Arusha size yake ni akina Dodoma, morogoro na Iringa. Ukome usirudie tena kutupotezea muda kujadili ubishi wa kibangebange
Hv kmbe na ww mnyasa Ee Mwanza pazur Mwanza pazur huez lngansha na Arusha kwa wavuta bangiKiukweli mwanza nimeenda juzi kubaya
Mshamba ww mwanza wap na wap na hlo jiji la wavuta bangHabari wana jamii form
kwa muda mrefu kumekuwa na battle kati ya A-city Vs Rock City. Nimefuatilia kwa makini nimeona pande zote hakuna anayekubali kushindwa.
Lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida ukweli ndio huu
01. Population arusha city iko half of Mwanza rock city
02. Kujengwa kwa city Chuga iko 90% wakati rock city iko 50% wakati dar city 100% na a-city 75%
03. Kwa ujanja a-city 80%, dar city 99% na rock-city 40%.
03. Kwa mzunguko wa hela Dar-city 90%, A-city 70% na rock city 60%
04. kwa hali ya hewa A-city 100%, Dar-city 40% Na Rock City 50%
NOTE; i was born in a city but, i am living in monrovia
Lack of exposure bro ndo maana hamtoki unavoona wachina wamejaa dar na arusha ni kwamba dar imeizidi hongkong??Mara zote mti wenye matunda hurushiwa mawe naona mwanza unawanyima usingizi hawa wezi na matapeli was kazikazi . Na mlivo jaa rock city had aibu kama A town kuko poa mwakimbia kwa nini.mbona sisi wasuks hatuji kweeenu tupo mwanza, kahama. Simiyu namashimyagaaaaaa
Mangosha hawatakuelewa wakiongozwa na ngosha wao mkuu anaewajengea daraja la kuvuka ziwa akasahau kuwatoa kwenye umaskini.Ila mwanza inafeli wapi hadi inapitwa na arusha
Tangu miaka ya 70 mwanza ni jiji la pili arusha ilikua ya 9
Mwanza ilitakiwa ilinganishwe na nairobi lakini leo hii mwanza haina majengo ya 10+ hata 10 wakati arusha yapo zaidi ya 20 na bado yanaendelea kujengwa
Master plan ya mwanza ina km za mraba zile zile 422(na hiyo inajumuisha sehemu ya maji na saa nane island) arusha ina 608kmsq ikijumuisha halmashauri tatu na usisahau maeneo yanayozunguka mwanza yani mkoa wa mwanza na mkoa jirani wa geita ni mikoa yenye watu maskini zaidi Nchini ndio ulinganishe na arusha bro MWANZA MNAKWAMA WAPI??
Naipenda miji yote lakini private sector investments pamoja na mzunguko wa pesa arusha iko far ahead of mwanza
Airports zinazoingiza ndege nyingi ya pili kia ya tatu arusha airport na zote zinaserve arusha
NB. Utalii na madini sekta zinazoongoza kwa pato la taifa zote zipo arusha
Well said mkuuMangosha hawatakuelewa wakiongozwa na ngosha wao mkuu anaewajengea daraja la kuvuka ziwa akasahau kuwatoa kwenye umaskini.
Kiufupi 2025 Dom itaipita Mwanza kwa kila kitu except population,Arusha ndio hovyo inaikimbiza
kuua albinoWizi+utapeli
Mwanza 0.001%
Arusha90%
😀kuua albino
mwanza 100 arusha 0
kuuwa vikongwe
mwanza 100 Arusha 0
ndio utajua hujui 🤣🤣🤣
Kuna nn cha maana hapo mbona mshamba sana kagoogle za nwanza mwenyewe 😅😅😅ulete chuga ushamba sanaWakuu Mwanza ikifika hapa mni tag .
Arusha Baby 👇
View attachment 2056431
View attachment 2056432
View attachment 2056433
View attachment 2056434
View attachment 2056435
View attachment 2056436
View attachment 2056437
View attachment 2056438
View attachment 2056439
View attachment 2056440
View attachment 2056441
View attachment 2056442
View attachment 2056443
View attachment 2056444
View attachment 2056445
View attachment 2056446