Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

nakuja mwanza next week .dada mwenyeji mzuri ani PM nipate rafiki wa kunionesha jiji
 
Mwanza kwa hali ya hewa ndio inaongoza maana sii baridi saana kama CHUGA wala sii joto kama DAR hivyo mtu yeyote anaweza kuishi ROCK CITY

2. Msimu wa joto watu wenye magonjwa ya moyo wanayeseka sana Dar

3.Msimu wa baridi watu wenye maradhi ya kifua kama pneumonia na mengine wanateseka sana huko CHUGA
arusha kuna joto tofauti na zamani.mwanza sijafika
 
Arusha na mwanza ni sawa na Nairobi vs dar
 
Hivi kamji ka Arusha kana upana gani make mwendo wa dakika 10 kwa gari kameisha. Na majengo kwasababu ya mji kuwa finyu yamerundikana sana tofauti na Mwanza kuko scattered.
 
Watakuja kusema waleta maada kama hizi wanatokea mwanza. Ushamba ni pamoja na kujidai unajua kumbe hakuna unachokifahamu.
 
Kariakoo ya Mwanza ni makoroboi! Mwanza ushamba umezidi Sana, hasa mabinti wa Mwanza ni washamba mno. Mwanaume ukiwa na rangi nyeupe nyeupe utawagounga hadi ukinai! Mwanza bana......
Kheri yao kuliko wachaga na wameru wanaojiuza dsm. Wengine wapo arusha wanajiuza hovyo hovyo. Kwa moshi nenda malindi bar na ile club ya diamond utashangaa wanaojidai kuwa wajanja wanagongwa kwenye vichochoro
 
Habari wana jamii form
kwa muda mrefu kumekuwa na battle kati ya A-city Vs Rock City. Nimefuatilia kwa makini nimeona pande zote hakuna anayekubali kushindwa.
Lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida ukweli ndio huu
01. Population arusha city iko half of Mwanza rock city
02. Kujengwa kwa city Chuga iko 90% wakati rock city iko 50% wakati dar city 100% na a-city 75%
03. Kwa ujanja a-city 80%, dar city 99% na rock-city 40%.
03. Kwa mzunguko wa hela Dar-city 90%, A-city 70% na rock city 60%
04. kwa hali ya hewa A-city 100%, Dar-city 40% Na Rock City 50%
NOTE; i was born in a city but, i am living in monrovia
Usemapo hali ya hewa 100%, 40% na 50% una maana gani?
 
Back
Top Bottom