Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

bioto

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
1,261
2,095
Habari wana JamiiForums,

Kwa muda mrefu kumekuwa na battle kati ya A-city Vs Rock City. Nimefuatilia kwa makini nimeona pande zote hakuna anayekubali kushindwa.

Lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida ukweli ndio huu:

01. Population Arusha city iko half of Mwanza rock city
02. Kujengwa kwa city Chuga iko 90% wakati rock city iko 50% wakati Dar city 100% na a-city 75%
03. Kwa ujanja a-city 80%, Dar city 99% na rock-city 40%.
03. Kwa mzunguko wa hela Dar-city 90%, A-city 70% na rock city 60%
04. kwa hali ya hewa A-city 100%, Dar-city 40% Na Rock City 50%

NOTE; I was born in a city but, I am living in Monrovia
 
Penda msipende eti stendi kubwa inaitwa nyegezi.
Yaani vitu vingi nimeshangaa hata ziwa nizuri ila ukilikaribia haijawekwa mkao wakuvutia mtu.
Angalia letu lake manyara or lake duluti inavutia kuliangalia.
Avoid Personalization try to balance story ata mm napapenda Arusha..
 
Habari wana jamii form
kwa muda mrefu kumekuwa na battle kati ya A-city Vs Rock City. Nimefuatilia kwa makini nimeona pande zote hakuna anayekubali kushindwa.
Lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida ukweli ndio huu
01. Population arusha city iko half of Mwanza rock city
02. Kujengwa kwa city Chuga iko 90% wakati rock city iko 50% wakati dar city 100% na a-city 75%
03. Kwa ujanja a-city 80%, dar city 99% na rock-city 40%.
03. Kwa mzunguko wa hela Dar-city 90%, A-city 70% na rock city 60%
04. kwa hali ya hewa A-city 100%, Dar-city 40% Na Rock City 50%
NOTE; i was born in a city but, i am living in monrovia
Umetumia Formular gani kupata hizo numbers zako??
 
Back
Top Bottom