Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

Mashabiki ya Chelsea siku hizi yamekiwa kama machizi tu
Sasa wewe unaleta ligi wakati sisi tunasema ukweli😂😂😂 hiyo mwanza labda Kilimanjaro au mbeya ndo mwaweza lingana. Achana na sisi kabisa, mwanza Tano ni Arusha moja.

Pamoja na kuwa Jiji mapema lakini Bado ushamba ni mwingi sana hapo nyegezi na nyamagana😂😂😂
 
Wasafari wa kimataifa wengi wanatoka kanda ya ziwa, namaanisha kanda ya ziwa kuna watu wanapata tabu kusafiri nje ya nchi adi waende Dar kuna gharama kubwa wanaingia, ndege kutoka Rwanda, somalia, uganda na sehemu nyingine za dunia zinatamani kutua kwenye jiji la sukari, maziwa na asali.
Sasa ki airport chenu si intaneshno, kwanini ndege zisitue pale😂😂😂😂
 
Ni kipi nyie punda wa Arusha mmeizidi Mwanza?
Ninyi munazaliana TU kama mambwa yani unakutana na familia mitoto kumi alafu munashindwa kuyasomesha yanaishia kuwa mafugaji na kuuza dagaa😂😂😂😂

Kiufupi mwanza imeizidi Arusha kwa umasikini na uchawi.
 
Sasa wewe unaleta ligi wakati sisi tunasema ukweli😂😂😂 hiyo mwanza labda Kilimanjaro au mbeya ndo mwaweza lingana. Achana na sisi kabisa, mwanza Tano ni Arusha moja.

Pamoja na kuwa Jiji mapema lakini Bado ushamba ni mwingi sana hapo nyegezi na nyamagana😂😂😂
Acha kuropoka we dogo, hiyo nyegezi huwa unaisikia tu kwenye vyombo vya habari, acha kujifungia huko maporini karibu jijini.
 
Ninyi munazaliana TU kama mambwa yani unakutana na familia mitoto kumi alafu munashindwa kuyasomesha yanaishia kuwa mafugaji na kuuza dagaa😂😂😂😂

Kiufupi mwanza imeizidi Arusha kwa umasikini na uchawi.
Hata wanyama hawawezi kuzaliana sehemu zenye ukame, watasubiri kipindi cha spring ndio wazaliane, ukiona sehemu wanazaliana jua kuwa kuna malisho na majani mabichi, unataka watu wazaliane sehemu isiyokuwa na malisho.
 
Mji mzuri ni ule ulio uzoea. Nimekaa majiji yote. Naweza kusema kitakachofanya mtu aamue mji upi ni mzuri ni mapenzi tu ila kiuhalisia battle ni ngumu. Ila kwa mimi ushindi naipa Mwanza
Huu ndio ukweli wale wa meno huwa hawataki kusikia, hii nyundo nimeipenda.
 
Kila kitu kasoro kuzaazaa hivyo na ushamba.
Hoja yenu ya kindezi imejikita kwenye ushamba hamna hoja mpya, mnakupa taarifa adi kufika 2030 mbeya itakuwa imeshawanyea kwasasa Dodoma imeshawazidi.
 
Takwimu za NBS zinasemaje? Arusha ni kama mbele.
 
IMG-20240301-WA0043.jpg
 
Back
Top Bottom