Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

Kuna nn cha maana hapo mbona mshamba sana kagoogle za nwanza mwenyewe 😅😅😅ulete chuga ushamba sana
Ni google,si ulete uswazi wenu hapa.

Hiki hapa cha maana,hutokaa upate barabara kama hii huko Jiji la maskini.

3038946_2998829_IMG_6057.jpg


3034491_1769045_DdsvXNjVwAIurET.jpg
 
Mi nawaza bill gate namfikiaje nimguse hata 0.001% huku mtoa mada analeta research ambayo haina kichwa wala miguu.
 
Naona umeamua ku-copy na kupaste japo uma cutomize [emoji1]
 
Tuwanyooshee hapa hapa naamka nao kesho wameona tupo kimya wanaleta dharau bangi sana hawa watu.
nenda mwanza photo gallery ukajionee maan zitjaa hapa kama hta stendi hamna ni matom boys tu ,,amguo ya mitumba mpaka boxer
 
2960930_FB_IMG_1633546235832.jpg
2960928_FB_IMG_1633546350059.jpg
TACH]
Natest mitambo tukiingia full hapa mtatuachia Uzi huu

2960928_FB_IMG_1633546350059.jpg


1539791_d1327033978def0b434320e1d225926f.jpg
 
Habari wana JamiiForums,

Kwa muda mrefu kumekuwa na battle kati ya A-city Vs Rock City. Nimefuatilia kwa makini nimeona pande zote hakuna anayekubali kushindwa.

Lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida ukweli ndio huu:

01. Population Arusha city iko half of Mwanza rock city
02. Kujengwa kwa city Chuga iko 90% wakati rock city iko 50% wakati Dar city 100% na a-city 75%
03. Kwa ujanja a-city 80%, Dar city 99% na rock-city 40%.
03. Kwa mzunguko wa hela Dar-city 90%, A-city 70% na rock city 60%
04. kwa hali ya hewa A-city 100%, Dar-city 40% Na Rock City 50%

NOTE; I was born in a city but, I am living in Monrovia

Mtaacha lini kujisifia! Hivi kweli utaifananisha Mwanza na hicho kitakataka chenu Arusha! Sometimes muwe mnakaa kimya kuliko kujidhalilisha bwana....Arusha ifananishe na majiji yafuatayo Mbeya, Dom naTanga....na sio Dar na Mwanza....ukiwa unacompare majiji tafadhali Mwanza na dar weka pembeni.
 
Back
Top Bottom