Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

Habari wana jamii form
kwa muda mrefu kumekuwa na battle kati ya A-city Vs Rock City. Nimefuatilia kwa makini nimeona pande zote hakuna anayekubali kushindwa.
Lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida ukweli ndio huu
01. Population arusha city iko half of Mwanza rock city
02. Kujengwa kwa city Chuga iko 90% wakati rock city iko 50% wakati dar city 100% na a-city 75%
03. Kwa ujanja a-city 80%, dar city 99% na rock-city 40%.
03. Kwa mzunguko wa hela Dar-city 90%, A-city 70% na rock city 60%
04. kwa hali ya hewa A-city 100%, Dar-city 40% Na Rock City 50%
NOTE; i was born in a city but, i am living in monrovia
Upuuzi
 
Hapo namba tatu sina hakika, maana ukiangalia vijana wengi wa Kilimanjaro na moshi wapo jirani na Arusha lakin hukimbilia Mwanza na Dar
 
Mwanza kwa hali ya hewa ndio inaongoza maana sii baridi saana kama CHUGA wala sii joto kama DAR hivyo mtu yeyote anaweza kuishi ROCK CITY

2. Msimu wa joto watu wenye magonjwa ya moyo wanayeseka sana Dar

3.Msimu wa baridi watu wenye maradhi ya kifua kama pneumonia na mengine wanateseka sana huko CHUGA
 
ni kweli mkuu lakini mwanza bila chuga hakuna competition
 
Kwa ujanja arusha hata dar haikanyagi... Halafu cha kushangaza arusha hata watoza ushuru wa parking wanaongea kiingereza kizuri,wahudumu wa bar ndio usiseme hata vile viingereza vyetu vya presentation chuo havikanyagi... Naona chuga kiingereza watu wanajua automatic hahhaaa
 
tourism inaibeba arusha kwa asilimia kubwa, nimepita leo mianzi-ngaramtoni road haujembei dk. 5 hujaona gari za tours
 
Mwanza kwa hali ya hewa ndio inaongoza maana sii baridi saana kama CHUGA wala sii joto kama DAR hivyo mtu yeyote anaweza kuishi ROCK CITY

2. Msimu wa joto watu wenye magonjwa ya moyo wanayeseka sana Dar

3.Msimu wa baridi watu wenye maradhi ya kifua kama pneumonia na mengine wanateseka sana huko CHUGA
Karibu na point japo si kweli kua wote wa Dar na Arusha wanateseka
 
Mwanza ni moja ya jiji tamu sana watu hawajui tu japo mimi si mzawa wa Mwanza nlkua naenda kikazi...pia ni wakarimu huwezi kuulizwa uenyeji wako nilipapenda nikaamua nitafte na kiwanja na makazi kabisa japo naenda mara chache na siishi apo..

Wapi uliulizwa wenyeji wako sasa.
 
Penda msipende eti stendi kubwa inaitwa nyegezi.
Yaani vitu vingi nimeshangaa hata ziwa nizuri ila ukilikaribia haijawekwa mkao wakuvutia mtu.
Angalia letu lake manyara or lake duluti inavutia kuliangalia.
Kiukweli stendi za mwanza ziko hovyo sanaa sio buzuruga sio nyegezi
 
Back
Top Bottom