Kushinda hapa unatumia Pesa zipi?Kama sina ,huu mda na pesa za kushinda mtandaoni ningeutoa wapi? 😆😆
Bando ananinunulia baba yako? TaahiraKushinda hapa unatumia Pesa zipi?
Hivi kati ya masikini na Tajiri, nani ana 'muda'?
Kati ya Mo Dewji na Yule mkaanga chipsi jirani yako, ni yupo unaweza kumbadilishia ratiba yake ya kesho?
Bando la jero unajiita Tajiri?Bando ananinunulia baba yako? Taahira
Nimejiira lini tajiri? Siku hizi hakuna bando la jeroBando la jero unajiita Tajiri?
Sawa mkuu don't take personal..ni jokesNimejiira lini tajiri? Siku hizi hakuna bando la jero
Kiwanja Cha Morocco kiliishiwa wap....paper project are nosense untill on the groundTanzania ina Majiji 3 tuu ambayo ndio haya hapa [emoji116]
Arusha Jiji la Kimataifa 👇Kiwanja Cha Morocco kiliishiwa wap....paper project are nosense untill on the ground
Duu yaani Mwanza ni aibu tupu..
Nyie wasukuma mmezaliana sana[emoji23][emoji23]Kimbilio la wanasiasa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].kirumba vs furahishaView attachment 2322450View attachment 2322451
Huu ni uchafuMwanza suburbs ..kishiri km 20 Toka mjinView attachment 2322457