Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

Mara ya mwisho kuzunguka Arusha ni lini? Yani napenda uelezee mwanza imeizidi Nini Arusha,sijawaifika mwanza,ila bado naiona Dodoma inaizid Arusha
Hapo ulipo ninukuu soma hizo sentensi mbili za kwanza.

Jitahidi ifike Mwanza.
Nipo Arusha kwa sasa.
 
Embu fikiria hili
1/ Jiji lina population ya zaidi ya watu milioni moja na pembeni yake kuna wilaya za magu na misungwi zenye watu laki nne na zaidi
2/ Vyuo vikuu vitatu na matawi ya vyuo vingine na college zaidi ya kumi
3/ Jiji lipo kama 100km kutoka serengeti na limezungukwa na Vivutio vingi tu vya utalii
4/Jiji lina zalisha tone za kutosha tu za minofu ya samaki kwenda bara Asia na Ulaya
5/Airport ya Mwanza ni kiunganishi cha rout za ndege mikoa ya kanda ziwa
6/ Jiji lenye Viwanda Vikubwa zaidi ya 20
7/Wafanyabiashara madini zahabu almasi n.k wakutosha wanaosafiri mara kwa mara kwenda nnje
8/Jiji lipo karibu na nchi za kongo, Rwanda, Burundi, Uganda ,Kenya na hata South Sudan
9/ Jiji lina expert wa madini wanafanya kazi South Africa, Mauritius n.k na familia zao zipo hapa
10/ Jiji lina wafanyabiashara wa kutosha waendao nchi za nnje kufata na kupeleka bidhaa mbalimbali

Chakusikitisha ni kwamba tumefikisha wakuu wa mikoa wanne sasa kila anaekuja ni story za kukifanya kiwanja cha ndege kuwa cha kimataifa na mwingine alidai mwezi huu wa pili ujenzi unaanza lakini wapi hivi tukisema ni hujuma tutakuwa tumekosea
 
Mmebebwa sana na mwendazake lakini wapi. Capital of east Africa.
Nyerere aliwabeba sana mpka akasahu kwao pamoja na mkapa, diplomatic city ilitakiwa kuwa Mwanza hata makao makuu ya EAC, HQ yalipaswa kuwa Mwanza, Mwanza katikati ya nchi za EA na pia ina mandhari safina hali ya hewa ya kuvutia sema ukuda wa hii nchi.
 
Hii nchi ngumu na kwanini wanaofia kujenga Mwanza international airport?
 
Wakijenga tu hoteli zao zitakosa wateja wanajitahidi kusema Serengeti iko kaskazini wakati ukweli ipo kanda ya ziwa na Mkoa wa Mara haunuafiki sana na Serengeti kama watu wa Arusha
 
Mara na simiyu wanaambulia manyoya.
Arusha ;wanafanya figisu na kutuwangia kwasababu watalii wanaoenda Serengeti wataopt kutumia uwanja wa Mwanza hivyo arusha watalii watapungua
Dar; wanaofia abiria watapungua kwenye uwanja wao kwasababu wakazi wa Mwanza, Kagera, Mara na shinyanga watachagua kusafiri moja kwa moja kwenda nje kupitia uwanja wa ndege wa Mwanza na hawatapata shida ya kwenda Dar na pia mahotel ya Dar yataingia hasara kwa wateja kupungua.
 
Nyerere aliwabeba sana mpka akasahu kwao pamoja na mkapa, diplomatic city ilitakiwa kuwa Mwanza hata makao makuu ya EAC, HQ yalipaswa kuwa Mwanza, Mwanza katikati ya nchi za EA na pia ina mandhari safina hali ya hewa ya kuvutia sema ukuda wa hii nchi.
Mashenzini. Mwanza kuna nini bana we!? 😀 Arusha inatajwa Hollywood huko, Europa , Australia na kila Kona ya Dunia. Ingekuwa mbali sana kama sio siasa chafu za CCM. Maana kulikuwa na maendeleo makubwa sana kabla.
 
Siasa chafu wakati mnafaidi keki ya hii nchi, arusha inatajwa sana huko matejoo, ungalimited, mianzin, sanawari na ngaramtoni.
 
Mwanza kikijengwa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa, Biashara za Mikoa mingi ya Kaskazini na Magharibi ya Tanganyika zita zorota sana.
Yeyote aliyeishi Mwanza na Arusha analijua hili.
 
Mji mzuri ni ule ulio uzoea. Nimekaa majiji yote. Naweza kusema kitakachofanya mtu aamue mji upi ni mzuri ni mapenzi tu ila kiuhalisia battle ni ngumu. Ila kwa mimi ushindi naipa Mwanza
 
Mwanza kikijengwa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa, Biashara za Mikoa mingi ya Kaskazini na Magharibi ya Tanganyika zita zorota sana.
Yeyote aliyeishi Mwanza na Arusha analijua hili.
Kipo mbona. We hamnazo. Kipo kiwanja cha ndege cha kimataifa, madaraja makubwa. Sema ndio hivo tena pako kushoto.
 
Hii nchi ngumu na kwanini wanaofia kujenga Mwanza international airport?
Nyie kumbe machizi. Mwanza ina international airport sema ndio haina maana. Tena ya muda tu. Kile kibanda kimebadilishwa juzi juzi tu.
 
International airport uliiweka wewe?
 
Kipo mbona. We hamnazo. Kipo kiwanja cha ndege cha kimataifa, madaraja makubwa. Sema ndio hivo tena pako kushoto.
Kidogo sana,
Madege makubwa hayawezi kutua hapo.
Ndugu Hamnazo.
 
Back
Top Bottom