Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

Attachments

  • Screenshot_20220916-123052.png
    Screenshot_20220916-123052.png
    159.4 KB · Views: 59
Eti wanataka kushindana na Arusha,hata aibu hawana..

On going construction of buildings with more than 10 floors in Arusha..👇
Hivi hii vita kumbe mzee ulishaimalizaga zamani kabisa? 🤣 🤣 🤣 Naona washamba wa mwanza walinywea wote wakalaza 😀😀🤣🤣🤣 na hizo ni rasharasha tu.
 
Hivi hii vita kumbe mzee ulishaimalizaga zamani kabisa? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Naona washamba wa mwanza walinywea wote wakalaza [emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hizo ni rasharasha tu.
The upcoming tourist destination
 
Hivi hii vita kumbe mzee ulishaimalizaga zamani kabisa? 🤣 🤣 🤣 Naona washamba wa mwanza walinywea wote wakalaza 😀😀🤣🤣🤣 na hizo ni rasharasha tu.
Endeleeni kujazana upumbavu na kujifariji.
 
ueaingiza ukanda sasa, mi nwanza napakubali kwa wingi wa watu ila kiuhalisia arusha + arumeru magharibi inazidi mwanza
Arusha inakuwa na half population ya mwanza sabab watu wanaokaa usa, tengeru, makumira, ngaramtoni, kisongo.sakina, kwa mrombo, njiro, moshono hawahesabiwa kama wakazi wa mjini others city ikaongezewa haya maeneo population خzinalingana na Mwanza.
 
Penda msipende eti stendi kubwa inaitwa nyegezi.
Yaani vitu vingi nimeshangaa hata ziwa nizuri ila ukilikaribia haijawekwa mkao wakuvutia mtu.
Angalia letu lake manyara or lake duluti inavutia kuliangalia.
Lake Victoria imekaa kama bwawa aise scenery is not attractive ndio maana watalii wataenda Manyara au eyasi na Natron
 
Arusha inakuwa na half population ya mwanza sabab watu wanaokaa usa, tengeru, makumira, ngaramtoni, kisongo.sakina, kwa mrombo, njiro, moshono hawahesabiwa kama wakazi wa mjini others city ikaongezewa haya maeneo population خzinalingana na Mwanza.
Na Mwanza vipi wakiweka wakazi wa Kisesa, Nyashishi, usagara, fella,kigongo😁😁😁 acheni kujichetua ndio maana tunataka manispaa ya tatu.
 
Hivi mkuu tuwe serio usagara na kisesa wanakolima maharage utapalinganisha na Njiro na Tengeru??
Kisongo
 
Usagara unaweza kulinganisha na ushuzi au hapo Nyashishi kwa wazito wa mji, toka huko kwenye mashamba ya bangi, acha kujifungia ukiwa unapiga misokoto tembea ujionee miji, na Mwaka 2025 Kahama itaanza ku battle na jiji la Arusha.
 
Hahaaahaha hapo usagara mnaishi kwenye mahandaki au??
Maana hata Tanga na Moshi wamewazidi kwa mojengo
 
Attachments

  • Screenshot_20240220-120822_Chrome.jpg
    Screenshot_20240220-120822_Chrome.jpg
    491.5 KB · Views: 11
Hahaaahaha hapo usagara mnaishi kwenye mahandaki au??
Maana hata Tanga na Moshi wamewazidi kwa mojengo
Unajua maana ya majengo, census ijayo mchaga hapati kitengo cha kuhesabu maghorofa tutampa kitengo cha kuhesabu vibanda umiza, sensa ya 2022 inaonesha mwanza inaongoza kwa majengo yanayojengwa na nje ya Dar hakuna sehemu yenye majengo mengi kama Mwanza, na inavyoonesha total ya majengo current na yanayojengwa Mwanza ndio inaongoza overall
 
Ndoto. Kwa hiyo Arusha wao wamepumzika? Mnasahau Arusha pia ni diplomatic city.
 
Mwanza ni kubwa, nzuri, na maisha nafuu kupita Arusha.
Nimeishi sana huko kote.
Watalii wa kizungu wanapenda Hali ya Ubaridi ya Arusha inayofanana na ya kwao.
Nimekumbuka supu ya Sato kila asubuhi kwa Bei nafuu sana.
Matunda ya kumwaga
Jiji la Mwanza sio la kulilinganisha na vitu vingine
 
Jiji la Mwanza sio la kulinganisha na vitu vya kiwendawazimu, hapa nakazia
 
Back
Top Bottom