Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

Kidogo sana,
Madege makubwa hayawezi kutua hapo.
Ndugu Hamnazo.
Huna akili ndugu hamnazo, kipo listed kama international airport. Sema wameona hakuna maana hao waache wapambane na mabaiskeli na madaraja🤣
 
Kipo mbona. We hamnazo. Kipo kiwanja cha ndege cha kimataifa, madaraja makubwa. Sema ndio hivo tena pako kushoto.
We huwaga hujielewi, Kuna international airport pale?. Ngojeni ijengwe sasa ndo mtajua hamjui.
 
Huna akili ndugu hamnazo, kipo listed kama international airport. Sema wameona hakuna maana hao waache wapambane na mabaiskeli na madaraja🤣
Si ndivyo mnatuhadaa ili kisijengwe, mnatuchukulia poa sana yaani. Kuna international flights zipi pale we mwehu, Na siku wakikijengwa kikawa na standard ya kimataifa inakula kwenu. Hapo tu kilipo kina flights za ndani nyingi na ni Cha pili baada ya kile Cha Julius Nyerere international airport.
 
Habari wana JamiiForums,

Kwa muda mrefu kumekuwa na battle kati ya A-city Vs Rock City. Nimefuatilia kwa makini nimeona pande zote hakuna anayekubali kushindwa.

Lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida ukweli ndio huu:

01. Population Arusha city iko half of Mwanza rock city
02. Kujengwa kwa city Chuga iko 90% wakati rock city iko 50% wakati Dar city 100% na a-city 75%
03. Kwa ujanja a-city 80%, Dar city 99% na rock-city 40%.
03. Kwa mzunguko wa hela Dar-city 90%, A-city 70% na rock city 60%
04. kwa hali ya hewa A-city 100%, Dar-city 40% Na Rock City 50%

NOTE; I was born in a city but, I am living in Monrovia
Kujidanganya kwako ni kukubwa sana
 
Si ndivyo mnatuhadaa ili kisijengwe, mnatuchukulia poa sana yaani. Kuna international flights zipi pale we mwehu, Na siku wakikijengwa kikawa na standard ya kimataifa inakula kwenu. Hapo tu kilipo kina flights za ndani nyingi na ni Cha pili baada ya kile Cha Julius Nyerere international airport.
Mwanza, international airport. Kwahiyo unadharau kiwanja cha kimataifa? Basi ndio maana mwanza ni Kijiji kikubwa. Kama mnakataa habari ya international airport basi ata kuitwa jiji ni makosa makubwa sana maana hakuna standards pale. Ni iringa korogwe iliyochangamka.
 
Nyie ndio mnafanya figisu tusipate international airport alafu mnatukebei hapa.
 
Hapo ulipo ninukuu soma hizo sentensi mbili za kwanza.

Jitahidi ifike Mwanza.
Nipo Arusha kwa sasa.
Hata mm nipo Arusha kwasasa,sijawai kufika mwanza japo naamin imeizd Arusha kulingana na vyanzo mbalimbali,so napenda tu uniongeze mengine nisiyoyajua
 
Si ndivyo mnatuhadaa ili kisijengwe, mnatuchukulia poa sana yaani. Kuna international flights zipi pale we mwehu, Na siku wakikijengwa kikawa na standard ya kimataifa inakula kwenu. Hapo tu kilipo kina flights za ndani nyingi na ni Cha pili baada ya kile Cha Julius Nyerere international airport.

Hizo data za wapi unatumia?
 
Hata mm nipo Arusha kwasasa,sijawai kufika mwanza japo naamin imeizd Arusha kulingana na vyanzo mbalimbali,so napenda tu uniongeze mengine nisiyoyajua
Mwanza imeizidi Arusha population tu. Hakuna kingine. Tena ukome kabisa kusema mwanza inaizidi Arusha.
 
Kufata Mapanki.
Wasafari wa kimataifa wengi wanatoka kanda ya ziwa, namaanisha kanda ya ziwa kuna watu wanapata tabu kusafiri nje ya nchi adi waende Dar kuna gharama kubwa wanaingia, ndege kutoka Rwanda, somalia, uganda na sehemu nyingine za dunia zinatamani kutua kwenye jiji la sukari, maziwa na asali.
 
Back
Top Bottom