Kuna miji ni kama imesahaulika sana kutokana na umwinyi uliopitiliza, imagine kama lindi, back in 2013 nikiwa kwenye mission fulani ktk mambo ya gesi pipeline pale ng' apa lindi, lodge nzuri kabisa just for 10- 15k! Ufukweni kabisa only 20 to 25 meters kutoka ufukweni.
Mji umekaa kikoloni,hata kupata nyama buchani ni shida na ni city center kabisa! Hongera kea majiji yetu pendwa rock C. Ara-bama sehemu kama lindi ni mkoa wa hovyo sana! Niliopata kufika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.