Ila Mwanza hawana barabara nzuri kama za Arusha kama hii ya kwenda Namanga to Moshi.pia barabara ya kuingia mwanza toka nzega ni mashimo tuuuMtaacha lini kujisifia! Hivi kweli utaifananisha Mwanza na hicho kitakataka chenu Arusha! Sometimes muwe mnakaa kimya kuliko kujidhalilisha bwana....Arusha ifananishe na majiji yafuatayo Mbeya, Dom naTanga....na sio Dar na Mwanza....ukiwa unacompare majiji tafadhali Mwanza na dar weka pembeni.
arusha bara bara ipo moja tu ya maana ambayo ni bypas ya tengeru sakina. bara bara zingine pale kati ni hovyo sana. e.g barabara ya kuingia jijini ukitokea kisongo iko finyu mbovu ukifika tu majengo unakutana na foleni ya kijinga coz barabara ni finyu.bara bara ya airport mwanza ni njia nne na bara bara ya kutoka jijii mpaka igoma ni njia tatu so far bara bara za katikati ya jiji ziko poa sana ukilinganisha na za Arusha.Ila Mwanza hawana barabara nzuri kama za Arusha kama hii ya kwenda Namanga to Moshi.pia barabara ya kuingia mwanza toka nzega ni mashimo tuuu
Miradi kama hii inajengwa kwenye miji ya kisasa kama Arusha na sio mialo ya wavuvi 😃😃na leo natupia kwa mara yangu ya mwisho sirudi hapa ulichokuwa unakihitaji ushakipata na bila shaka umejifunza. nimepost picha ya buzuruga na nikianza kutoka mjini utaumia, acha nikunyooshe kwa picha za mjini kati
Arusha na Dodoma bila taasisi za kiserikali na mashirika binafsi haziwezi kuwa na kitu. Pamoja na hiyo favour bado hamtokaa kuipita Mwanza, zaidi Dodoma atakupiteni ni suala la mda tuMiradi kama hii inajengwa kwenye miji ya kisasa kama Arusha na sio mialo ya wavuvi 😃😃
View attachment 2110570
Natamani nikujibu sema nimeshajua IQ yakoKwani wewe ukiweka hapa hiyo picha utageuka Jiwe? Siko Arusha na siwezi acha shughuli zangu niende kupiga picha ya kukufirahisha wewe..
Wanatakiwa waziweke kwenye mtandandao.
Huna cha kujibu 😃😃Natamani nikujibu sema nimeshajua IQ yako
Hicho kijiji chako kikifika hapa unitag 👇KWAKHERINI NITAKUWA NAKUJA KUWACHEKI VILE MNAENDELEA KUDANGANYANA
Taasisi za Serikali na za Kimataifa hazijengwi kwenye mialo ya wavuvi 😃😃Arusha na Dodoma bila taasisi za kiserikali na mashirika binafsi haziwezi kuwa na kitu. Pamoja na hiyo favour bado hamtokaa kuipita Mwanza, zaidi Dodoma atakupiteni ni suala la mda tu